Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 46,322
- 114,624
Kwanza mkuu mwenyewe😅Huko kwenye miji ya watu mkuu
Pili hao wenye mji wao msihangaike nao
Kwanza mkuu mwenyewe😅Huko kwenye miji ya watu mkuu
Naomba namimi niwe wa 3, sitokuangushaNinao wawili tu ndio hawajawahi niletea hizo habari ila wengine wote ni wale wale tu.
😂😂🙌🏽🙌🏽 shida ndo inapoanzia hapo aisee uone vyote hivyo af eti uwe mpole hata mimi siwezi aiseeSiwezi yaani nione tako, lipsi, chuchu, miguu, mapaja nikuache, naomba shoo, na ukikataa ukisema tuwe marafiki sitaki hata salamu, nakwambia nakublock na kweli dakika hio nakublock fasta
Zinabaki ni za kwetu tu.....Eeh wewe hivi inakuaje hii maana my man nae hanaga rafiki huwa nawaza anaishije duuh siri zenu mnAmwambia nanii
[emoji23][emoji23] si unampasia mwenzio jamani kwani lazima ule wewe
UmejihamiUrafiki upo bhana...mbona mie ninao,tena hawajawahi hata kunitaka
Haters watasema mie pisi mbovu....kwa taarifa yenu sina ubovu wowote dadeq!
Ila habari ndio hiyo,marafiki wa kiume ninao na tunaheshimiana kinyama
Ni kweli,,, urafiki upo tena strong sana tofauti na ambao niko nao na wadada
Labda kweli 😃😃😃Utakua na sura ya mjomba
[emoji41][emoji41]Naomba namimi niwe wa 3, sitokuangusha
Hahaha hatari sanaNilitaka nicoment kama wewe ila wacha nikazie tu
Nakazia coment #1
Wanapata nini kuwa na wewe kama rafiki....??!Urafiki upo bhana...mbona mie ninao,tena hawajawahi hata kunitaka
Haters watasema mie pisi mbovu....kwa taarifa yenu sina ubovu wowote dadeq!
Ila habari ndio hiyo,marafiki wa kiume ninao na tunaheshimiana kinyama
Sikuiona hii comment mchana😂😂😂😂...mkuu tuachee tafadhali 😃hakuna pisi kali inatumia Jf zote ni zile pisi mungu saidia😂😤😤😤😤
Hutaki tuwe marafiki au 😄raraa reree mshamba_hachekwi , notifications zenu zinanisumbua😃😃😃
[emoji23][emoji23][emoji38]
Unamjibu mtu message kawaida, ghafla unaanza kuitwa mke na kupewa majukumu[emoji23][emoji23]
Unawezekana kabisa. Karibu kwangu mamamzungu. Nilisha wahi kuwa na marafiki wa kike, na sijawahi kuwaomba utamu. Utamu wao wanabaki nao na wanakuwa salama wakiwa na mimi.Hivi ni kweli urafi wa mwanamke na mwanaume hauwezekani [emoji854][emoji854]