Hakuna mahusiano ya kirafiki ya mwanamke na mwanaume

Hakuna mahusiano ya kirafiki ya mwanamke na mwanaume

Mpaka hapa nilipofikia nimeamua niwape maua wanaume wote duniani

Yaani kila unapogusa pawe pa urafiki wenzangu wanataka utamu tu…

Halafu nilichogundua ni kuwa hizi charting charting na kwa WhatsApp zinatengeneza kakitu fulani kwa wanaume wanajuaga ni kama mwanamke anamtaka

Kuna wengine wastaharabu ukiwakataa basi hana shida ila wengine wanachukia mpk wanafuta na namba wananuna kabisaa

Nyie wanaume mnatupa ugumu sisi ambao tunatamani muwe marafiki zetu… unaponitongoza unaniondolea ile confidence ya kuwasiliana na wewe

Wakati mwingine sisi wadada huwa tuna matatizo ambayo unaogopa kumwambia mwanamke mwenzio kwasababu wengi wa wanawake hawanaga siri so tunatakaga urafiki hata wa kupeana ushaurii


Hivi ni kweli urafi wa mwanamke na mwanaume hauwezekani [emoji854][emoji854]
Tatizo ni kwamba wanawake wanataka urafiki wa kaka na dada lakini inafikia mahala wao wanaanza kukutegemea financially kama mtu na mpenzi wake. Hapo mwanaume unajiongeza na wewe ufaidike walau na papuchi tu. Maana kama pesa utatoa sana ile kujifanya gentleman.
 
Mwanamke anakuambia kabisa kwamba leo naenda kuikalia ya kidume halafu wewe unajibuje? Na unaona kawaida tu? Jitafakari ndugu. Tangu lini hasi na chanya zikawa na urafiki? Na unajitapa mbele ya JF kuwa una urafiki na ke? Ni sifa? Yaani fisi na mbuzi wakae zizi moja? Haaaa!
Urafiki upo. Mimi nina marafiki zangu wa kike siri zao zangu zangu zao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Urafiki upo bhana...mbona mie ninao,tena hawajawahi hata kunitaka

Haters watasema mie pisi mbovu....kwa taarifa yenu sina ubovu wowote dadeq!
Ila habari ndio hiyo,marafiki wa kiume ninao na tunaheshimiana kinyama
hakuna pisi kali inatumia Jf zote ni zile pisi mungu saidia😂😤😤😤😤
 
Ukiona kuna urafiki kati ya mwanaume na mwanamke ambao hakuna kukulana( na hakuna kuomba hela) hapo kuna mambo matatu

1. Mwanaume anakuheshimu au kakuzoea kupita kiasi mpaka anakuona kama ndugu yake anakuheshimu kama dada yake, mdogo wake, mfanyakazi wenzake, bosi wake, mfanyabiashara mwenzake, yaani anakuwa na mipaka na mwanamke na wala hana tamaa na mwanamke.


2. Itakuwa mwanamke ni mbovu sana, yaani hana mvuto kabisa, sura mbovu, rangi mbovu, shepu mbovu mno. Yaani mwanamke ni mbovu mno hata mwanaume akila Viagra dozi 5, na dawa za nguvu za kiume mbalimbali mashine inagoma kusimama kabisa.

3. Mwanaume hapo anamlia mwanamke timing, yaani mwanamke akilegea tu anapigwa mashine.



Halafu kuna urafiki ambao hakuna kukulana ila mwanamke anaombaomba hela. Aina hii ya urafiki una mambo mawili

1. Mwanaume hapo anamlia mwanamke timing, yaani akilegea tu anapigwa MASHINE. Tena ataliwa vya kutosha.


2. Rudia namba 1




NB: kuna mashoga, kuna madomo zege, kuna watu wenye changamoto ya nguvu za kiume. Hizo changamoto zipo nje ya uwezo wao.


Sina urafiki na mwanamke. Bora puli, kwako dronedrake
 
Ndo iko hivyo...
nina best friend wangu wa toka kindergarten ni boy, nampenda sana yani alikua hata darasa zima au shule nzima iniseme vibaya yeye atakua upande wangu na atanitetea hata ikibidi kuwapiga wengine atawapiga but tukiwa pekeyetu ananikanya ananirekebisha bila unafki..

Yani naweza nikawa na shida ambayo naogopa hata kuzungumza na mama yangu mzazi lakini yeye anakua tayari kuniskiliza..he is the one ambaye nikiwa na stress naweza nikampgia simu nikalia tuuuu bila kuongea chochote nikimaliza ananibembeleza ananicomfort na maisha mengine yanaendelea...
Ni mtu ambaye nikiwa na changamoto yoyote anaweza akanotice bila hata kumwambia. amenifundisha vitu vingi sana ambavyo nlikua sijui....nakumbuka hata wakati tuko shule alikua hakubali yeye afaulu mimi nifail alikua anahakikisha by any means nafanya vizuri na mimi...
he is kindly wise , caring and ako na good heart to me, hajawahi kunisnitch hata siku moja na hajawahi hata kunitongoza, naweza kusema anachangia pia kunawirisha mahusiano yangu na mtu wangu cause ananiambiaga kila kitu men wanataka kufanyia na vitu kama hivyo...mpenzi wake anabahati sana kuwa nae

So guys urafiki upo, chamsingi tu ni kuzingatia mzivuke mipaka na kujiheshimu na kumuheshimu kila mmoja basi[emoji3526][emoji3526]
Kuna Watu watasema
"Uyo alikua Domo zege"[emoji4]
 
Mpaka hapa nilipofikia nimeamua niwape maua wanaume wote duniani

Yaani kila unapogusa pawe pa urafiki wenzangu wanataka utamu tu…

Halafu nilichogundua ni kuwa hizi charting charting na kwa WhatsApp zinatengeneza kakitu fulani kwa wanaume wanajuaga ni kama mwanamke anamtaka

Kuna wengine wastaharabu ukiwakataa basi hana shida ila wengine wanachukia mpk wanafuta na namba wananuna kabisaa

Nyie wanaume mnatupa ugumu sisi ambao tunatamani muwe marafiki zetu… unaponitongoza unaniondolea ile confidence ya kuwasiliana na wewe

Wakati mwingine sisi wadada huwa tuna matatizo ambayo unaogopa kumwambia mwanamke mwenzio kwasababu wengi wa wanawake hawanaga siri so tunatakaga urafiki hata wa kupeana ushaurii


Hivi ni kweli urafi wa mwanamke na mwanaume hauwezekani [emoji854][emoji854]
Naunga mkono hoja 1oo%. Kuna kujuwana tu, urafiki wa mwanamke na mwanamme hakuna.

Rekebisha juu hapo, naamini ulitaka kuandika "chatting chatting".
 
Binafsi nipo selective sana Kuna watu nawaweka kwenye urafiki zone mpaka yesu arudi hasa ninaokutana nao katika mazingira ya utafutaji.

Wengine hata iweje ntafanya mazingira hadi nikunyandue🤣
 
Back
Top Bottom