Hakuna mahusiano ya kirafiki ya mwanamke na mwanaume

Hakuna mahusiano ya kirafiki ya mwanamke na mwanaume

Sawa ila end point nyingine zaidi ya kuzaa ni ipi? Kama no outing tulishawshi kuenda wote sehemu mbili japo tulikua hatujapata majukumu yoyote tulikua chuo, sijui tufanye nini kuacha arama ya kudumu, dini zetu ni tofauti kabisa RC na Muislamu ila nika hazipo kabisa, she loves ilove her deeply ila never ever think abt sex or kissing loh.
Kwa yeye unavyomuonaona hilo suala atalipokeaje😃😃
 
Urafik kati ya mwananke na mwanaume upo tena huwa mzur sana tena sana tu. Mm nimewah kuwa marafk kadhaa wa kike kwa kwel ni mzur sana. Kuna urafk upo wa aina tatu kati ya mwanamke na mwanaume. Ngoja nianze kuelezea

1. Urafk ambao huja automatically yaan hakuna hisia za mapenz kati ya ke na me
Urafk huu huwa mzur sana tena sana. Nimewah kuwa na marafk kadhaa wa kike, ikifka stage akakuamini bas huwa urafk strong sana kuliko huu urafk wetu sisi kwa sisi. Mtasaidiana mambo mengi mno hasa ya kimaendeleo. Urafk huu huwa mzur sana. Uzur wa urafk huu wanawake wana tabia ya kuwaamin sana wanaume kuliko wanawake wenzao. Wao huamin kuwa akigombana na mwanamke mwenzie kinachofuata bas huwa ni kuvujishiana siri. Ila kwa wanaume huwa tofaut sana. Urafk huu huwa ni kuambiana ukwel zaid. Mfano unaweza kuwa una mshikaji wako, wa mwanume mwenzako, then ukawa na una madem hata watano lakin mwanaume mwenzio ni ngumu sana kukushaur kuhusu kupunguza hizo mambo. But akiwa mwanamke anaconfidence sijui huwa inatoka wap kwao anakushaur vizur kuwa fulan hii sio poa hebu punguza. Hata ww mwanume ukiona mwanamke Ana mambo hayaelewek na ni rafk yako unamwambia na wala huwa hawajisikii vibaya kabisa. Ngoja nitoe mfano mm kuna mdada ni rfk yang sana na ameolewa, kulitokea changamoto katika ndoa yao mpka mwanamke akawa anawaza atafute mchepuko ili ajiliwaze. So akaja kwang kuniomba ushaur, nilimshauri hicho anachotaka kukifanya ni kitu hatar zaid mumewe akija kujua ajue itakuwa changamoto kubwa sana kweny ndoa yake na alinisiki.


2. Urafk ambao huja baada ya kumtongoza mwanamke then akakutaa. Huu urafk huja umemtaka demu then akakujibu kistaarabu tuu, Brother haiwezekan ila kama utapenda tuwe marafk tuu. Hapa pia wanaume wengi huwa wanashindwa sana. Anaweza akakubal wakawa marafk ila kila wakat akawa anaomba mbususu. Huu urafk huwa haudumu sana but ikitokea tuu mwanaume akakubal kuwa rafk na mwanamke nayo huwa iko pouwa sana. Ngoja niwaambie kitu kama mwanaume una rafk wa kawaida wa mwanamke then siku ukapata shida ndo utajua umuhim wao kuliko marafk zetu wa kiume kipind cha shida wao husepa kabisaa. But hawa huwa wapo na ww muda wote.


3. Urafk ambao mapenz huanza then baadae mkaja kuachana mkaamua kuwa marafk wa kawaida tu! . Urafk huu huwa una mambo mawili either mtakuwa mkipata hamu mnakulana or mkawa marafk tuu labda kwa sababu kadhaa ambazo zitawafanya msifike huko. Huu urafk huwa haudumu kabisaa.

Urafk wa mwanamke na mwanaume upo sana tuu kwa sababu pia huwa hauna unafk, hauna wivu wa maendeleo yaan uko pouwa sana. Jarib siku mtaleta mrejesho humu

Nautamani huo wa namba 1 but sijawah kubahatika wengi wanaangukia hizo namba za chini
 
Back
Top Bottom