Hakuna mahusiano ya kirafiki ya mwanamke na mwanaume

Ni mashoga tu ndio wanaweza kumantain huo urafiki.
Mpaka hapa nilipofikia nimeamua niwape maua wanaume wote duniani

Yaani kila unapogusa pawe pa urafiki wenzangu wanataka utamu tu…

Halafu nilichogundua ni kuwa hizi charting charting na kwa WhatsApp zinatengeneza kakitu fulani kwa wanaume wanajuaga ni kama mwanamke anamtaka

Kuna wengine wastaharabu ukiwakataa basi hana shida ila wengine wanachukia mpk wanafuta na namba wananuna kabisaa

Nyie wanaume mnatupa ugumu sisi ambao tunatamani muwe marafiki zetu… unaponitongoza unaniondolea ile confidence ya kuwasiliana na wewe

Wakati mwingine sisi wadada huwa tuna matatizo ambayo unaogopa kumwambia mwanamke mwenzio kwasababu wengi wa wanawake hawanaga siri so tunatakaga urafiki hata wa kupeana ushaurii

Hivi ni kweli urafi wa mwanamke na mwanaume hauwezekani [emoji854][emoji854]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Urafiki upo bhana...mbona mie ninao,tena hawajawahi hata kunitaka

Haters watasema mie pisi mbovu....kwa taarifa yenu sina ubovu wowote dadeq!
Ila habari ndio hiyo,marafiki wa kiume ninao na tunaheshimiana kinyama
sawa pisi kali, lakini kuna raia anatumia picha yako halisi humu kama avatar yake, je ulikua na habari hii?
 
Kama upo dar hapo sawa, wanaume wa dizaini hiyo wapo lakini mikoani utaliwa kimasikhara
Urafiki upo bhana...mbona mie ninao,tena hawajawahi hata kunitaka

Haters watasema mie pisi mbovu....kwa taarifa yenu sina ubovu wowote dadeq!
Ila habari ndio hiyo,marafiki wa kiume ninao na tunaheshimiana kinyama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nina marafiki zangu wawili haoooo Mungu awaweke kwakweli yaan sisi ni washikaji miaka zaidi ya 15 hawajawai taka utelezi....ndo wale tunaitana umbwa, Fala, hadi mume wangu ashawazoea anajua ni kama tu wadada cha ajabu sio age mates wao ni wakubwa kunizid yaan ni kaka zangu ila mengi tunasaidiana kama washikaji

Mi si mchawi ila moja wapo hapo atakuwa anasura chachu sana hasa hao wazee 😄😄😄
 
Ona unavyorahisisha maisha sasa[emoji23][emoji23][emoji23]...Anyways kama anapangika just go on[emoji2368], but ningekua mimi urafiki wetu ndo ungeishia hapo[emoji2]
Ni kweli hawezi kuvuja urafiki wangu kwa mere sex sidhani, tulisha wahi kushindia miono na maji tukiwa shule, alishawahi kukosana na mme wake akaja kuishi kwangu zaidi ya mwezi tukawa tunaka sembuleni mpaka saa saba tuna piga stori, lazima tutafute end point tumekua wa kubwa sasa labda tusubili watoto wetu waowane
 
Mpaka hapa nilipofikia nimeamua niwape maua wanaume wote duniani

Yaani kila unapogusa pawe pa urafiki wenzangu wanataka utamu tu…

Halafu nilichogundua ni kuwa hizi charting charting na kwa WhatsApp zinatengeneza kakitu fulani kwa wanaume wanajuaga ni kama mwanamke anamtaka

Kuna wengine wastaharabu ukiwakataa basi hana shida ila wengine wanachukia mpk wanafuta na namba wananuna kabisaa

Nyie wanaume mnatupa ugumu sisi ambao tunatamani muwe marafiki zetu… unaponitongoza unaniondolea ile confidence ya kuwasiliana na wewe

Wakati mwingine sisi wadada huwa tuna matatizo ambayo unaogopa kumwambia mwanamke mwenzio kwasababu wengi wa wanawake hawanaga siri so tunatakaga urafiki hata wa kupeana ushaurii

Hivi ni kweli urafi wa mwanamke na mwanaume hauwezekani [emoji854][emoji854]
NB. Hakuna urafiki kati ya mwanamkd na mwanaume, bali kuna urafiki kati ya mwanaume na mwanamke" 🤔 Najaribu kuwaza kwa sauti.
 
Mpaka hapa nilipofikia nimeamua niwape maua wanaume wote duniani

Yaani kila unapogusa pawe pa urafiki wenzangu wanataka utamu tu…

Halafu nilichogundua ni kuwa hizi charting charting na kwa WhatsApp zinatengeneza kakitu fulani kwa wanaume wanajuaga ni kama mwanamke anamtaka

Kuna wengine wastaharabu ukiwakataa basi hana shida ila wengine wanachukia mpk wanafuta na namba wananuna kabisaa

Nyie wanaume mnatupa ugumu sisi ambao tunatamani muwe marafiki zetu… unaponitongoza unaniondolea ile confidence ya kuwasiliana na wewe

Wakati mwingine sisi wadada huwa tuna matatizo ambayo unaogopa kumwambia mwanamke mwenzio kwasababu wengi wa wanawake hawanaga siri so tunatakaga urafiki hata wa kupeana ushaurii

Hivi ni kweli urafi wa mwanamke na mwanaume hauwezekani [emoji854][emoji854]
Umenena vyema
 
Urafiki wa namna hiyo haupo na wala hautakuwepo. Unless otherwise, mmoja siyo mzima kwenye afya ya via vya uzazi. Zifuatazo ni baadhi ya sababu zainazopelekea urafiki wa namna hiyousiwepo;

1. Washkaji
Washkaji wa mwanaume wakishaona jamaa yao ana ukaribu na wewe, kinachotembea vichwani mwao ni kuwa mnabanduana. Lakini wakija sikia kuwa si kweli, wataanza kutilia shaka nguvu za kiume za mwana au udomo zege wake. Hapa, hakuna mwanaume anayetaka kutazamwa kwa jicho la hivyo. Hata kama yeye hayupo hivyo. Kwa sababu hivyo, atakutongoza, ukilegeza umenyanduliwa.

2. Mademu
Mademu wenzio na wanaomzunguka yeye, nao huwa na mtazamo kama wa washkaji. Nao husababisha mwisho uwe kama wa washkaji. Hili lipo hadi kwa wewe ambaye unataka urafiki. Mwanaume lazimi awaze utamchukuliache asipokubandua..!! Mbaya zaidi, kunakuwa na mademu ambao yeye atataka awatongoze, lakini wanaweza wakampiga chini kisa wewe. AU kuna mademu wanaomtaka yeye, wataogopa uwepo wako

3. Jamii.
Kama ilivyo kwa washkaji na mademu wanaowazunguka, jamii nayo imelelewa kwenye mtazamo huo. Ukizingatia nguvu za kiume ni siri ya mwanaume husika. Jamii hupima hilo kwa kutazama mwanaume anajichanganya na akina nani. Sasa wakija sikia kuwa rafiki yako wa kiume mliyeshibana kwa miaka 10, hajawahi hata kukutongoza, wanaanza kumtilia shaka. Hili lipo hata kwa wazazi. Yaani kuna umri kama hawamuoni mtoto wao anajichanganya na videmu, basi huwa wanaanza kukagua kama walimdondoshea kitovu.

4. Mwanaume ambaye ndiye rafiki
Kila mwanaume hataki kuonekana hana lolote, hata kama ni kweli ipo hivyo. Kutokukutongoza wengi huona ni kama kipimo cha kuonyesha nguvu za kiume hazipo. Sasa kukuonyesha kuwa anazo, atakutongoza. Ni rahisi kujitetea baada ya wewe kukataa kuliko kutokukutongoza halafu akupe nafasi ya kuwaza hivyo.

Jua tu kwamba huyo unayemwita rafiki wa kiume kwa sasa, is just a matter of time, lazima atakutongoza..!!
 
Back
Top Bottom