Hakuna mahusiano ya kirafiki ya mwanamke na mwanaume

Hakuna mahusiano ya kirafiki ya mwanamke na mwanaume

Mpaka hapa nilipofikia nimeamua niwape maua wanaume wote duniani

Yaani kila unapogusa pawe pa urafiki wenzangu wanataka utamu tu…

Halafu nilichogundua ni kuwa hizi charting charting na kwa WhatsApp zinatengeneza kakitu fulani kwa wanaume wanajuaga ni kama mwanamke anamtaka

Kuna wengine wastaharabu ukiwakataa basi hana shida ila wengine wanachukia mpk wanafuta na namba wananuna kabisaa

Nyie wanaume mnatupa ugumu sisi ambao tunatamani muwe marafiki zetu… unaponitongoza unaniondolea ile confidence ya kuwasiliana na wewe

Wakati mwingine sisi wadada huwa tuna matatizo ambayo unaogopa kumwambia mwanamke mwenzio kwasababu wengi wa wanawake hawanaga siri so tunatakaga urafiki hata wa kupeana ushaurii


Hivi ni kweli urafi wa mwanamke na mwanaume hauwezekani [emoji854][emoji854]
Nirafiikiane na wewe mwanamke ili iweje?
Yaani mimi nikuheshimu na kukuchukulia kama rafiki, halafu jamaa yako akifika anakushika matako na kukunyonya ulimi? Kwamba mnaniona ndondocha sana au?
 
Mwanaume ameumbwa na tamaa za kijinga yaani mtu anatongoza hadi mkee wa ndugu yake tumbo moja ndio ukafanye nae urafiki halafu uwe pisi kali nyie acheni masiala labda mwanaume mwenyewe awe type ya akina juma lokole
 
Ninae mmoja huyo hanitafutagi[emoji2], Utaona tu wiki hiyo anakuchangamkia balaa halafu anakuja kukuomba hela, ukimnyima utaona hadi WhatsApp status anaweka kuna watu wako busy for nothing na nini nini , nachekaga[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]
Hao ni waswahili friendship yao its for their covinience, achana nao watu kama hao wana dhani wakikosa pesa wewe ndo unao. Ukimwabia sina ana chukia.
 
Mwanaume ameumbwa na tamaa za kijinga yaani mtu anatongoza hadi mkee wa ndugu yake tumbo moja ndio ukafanye nae urafiki halafu uwe pisi kali nyie acheni masiala labda mwanaume mwenyewe awe type ya akina juma lokole
Kama kuku anazaliwa af anakuwa jogoo wiki ijayo anampanda mama ake vipi kwa kiumbe kama binadamu ni sheria tu zinazo tuongoza
 
Urafiki upo bhana...mbona mie ninao,tena hawajawahi hata kunitaka

Haters watasema mie pisi mbovu....kwa taarifa yenu sina ubovu wowote dadeq!
Ila habari ndio hiyo,marafiki wa kiume ninao na tunaheshimiana kinyama

Kwakua umesisitiza wewe si pisi mbovu basi hao jamaa zako watakuwa sura zao zimefifia sana so huwapi mazingira ya utelezi 😄😄
 
Kwani hilo ni dogo kwake hana shida nalo kabisa mwili wake ni kama wa kwangu, ni kumvua kama nataka na hawezi kuuliza kwanini na mvua she trust me I trust her na ana jua am not geedy abt women or sex.
Ona unavyorahisisha maisha sasa😂😂😂...Anyways kama anapangika just go on🤷‍♀️, but ningekua mimi urafiki wetu ndo ungeishia hapo😃
 
Kuwa mzungu wewe
Uwe Uzungu Wa Ngozi Au Wa Moyo Wa Kistaarabu ? Vyote Siwezi Mbele Ya Pisi Kali Tena Ipo Karibu Yangu Kabisa,mimi Hapana Siwezi,

labda Ningekuwa Malaika,
Japo Wkt Wa Nuhu Napo Malaika Nao Walishindwa Kujizuia Wakawala Binadamu,fanya Masihara Na Mishepu Ya Kiafrika Nn,ni Asili,
Usirudie Kutushauri Maana Ni Impossible Kwa Mwanaume Kamili.
 
Nlikuwa na rafikiyangu moja wa kike siku moja akaniambia anajiskia kupata bia mbili ...... basi nikamchukua tukaenda sehem tukacheki mpira akagiza savana ya kwanza story zikanza.

Savana ya pili akawa anacheka hku ananipiga mabega, story zikaendelea, savana ya tatu akanza kuongea kingereza. Mjuba nikajiongeza, kwanzia siku hiyo mpaka leo ananita baby
Safi mkuu, achana na hizi boya zinatumwa mpk pedi dukani na hao marafiki zao wakike 😄😄😄
 
Back
Top Bottom