Mstahiki Mea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 5,611
- 10,174
Haya unavyomwita mama yako ulimtolea mahari ?😝😅😂Kabisa maana sidhani kama alimoenda mama yangu tu, labda kama mgeni na wanaume
Haya unavyomwita mama yako ulimtolea mahari ?😝😅😂Kabisa maana sidhani kama alimoenda mama yangu tu, labda kama mgeni na wanaume
nyie ndio tunasikia kafumaniwa kachomwa kisuKwani ukiruka ndio huzeeki? Mawazo mazito
😂 Unapenda ujinga tuWakubwa huyu binti tumpe ulinzi wa kutosha, atasafiri bure mabasi yote SGR na ndege za ATC wakati wowote atakapohitaji, aende vacation mara tatu kwa mwaka popote pale anapotaka on top of that atapewa fursa ya kuchagua chenye anataka
Hakuna hiyo
Ahahaaaa mkataba wa kitapeliKATAA NDOA LINDA MAISHA YAKO
KATAA NDOA LINDA UHURU WAKO
KATAA NDOA LINDA UCHUMI WAKO
KATAA MKATABA WA KITAPELI
Hauko sahihi, hakuna mke wala mume wa mtu....wote wanaliwa tu tena bila kachumbari kama ulikuwa hujuwi.Jamani tambueni hakuna kitu kinaitwa mume wa mtu, ndioo najua unashangaa..
Ndio maana huwa hatuwatolei mahali hawa viumbe, tofauti na sisi tunakuja kuzolewa juu juu kwa mabadilishano ya kifedha (barter trade).
Huu mfumo ndio unefanya wanawake baadhi wananyanyasika sana kwakigezo Mume anasema "kwani ulikuja bure hapa?? si nilikulipia mahali"🥺
Sawa namaliza kwakusema tena hakuna mume wa mtu ila kuna mke wa mtu, so ukipata wa kuruka nae we ruka nae tu bt at your own risk😂
Kisses
Kampeni zinaanzaUmeanza utapeli..?
Muone 😅
Sio kweliAhahaaaa mkataba wa kitapeli
🤣🤣🤣🤣 naomba ubuyu.Hili swali aulizwe Nabii Isaya aliyeandika hayo maneno....
Na mimi siyo furuuu bana! Kuna siku utajihakikishia - tena siyo mbali...,
View attachment 3332174