Hakuna kitu kinaitwa “mume wa mtu”

Hakuna kitu kinaitwa “mume wa mtu”

Kwa hiyo una maana mume ni mteja na mke ni bidhaa toka dukani mwa baba mwanangu?
Ndio baba, hiyo haikwepeki, huwa mnafanya window shopping na kununua mnaetaka (mwanamke hana maamuzi ya kuoa bali wewe)
 
Jamani tambueni hakuna kitu kinaitwa mume wa mtu, ndioo najua unashangaa..

Ndio maana huwa hatuwatolei mahali hawa viumbe, tofauti na sisi tunakuja kuzolewa juu juu kwa mabadilishano ya kifedha (barter trade).

Huu mfumo ndio unefanya wanawake baadhi wananyanyasika sana kwakigezo Mume anasema "kwani ulikuja bure hapa?? si nilikulipia mahali"🥺

Sawa namaliza kwakusema tena hakuna mume wa mtu ila kuna mke wa mtu, so ukipata wa kuruka nae we ruka nae tu bt at your own risk😂
Kisses

Baelezee…

Wanakariri sana kwa maelekezo ya mkoloni
 
Wakubwa huyu binti tumpe ulinzi wa kutosha, atasafiri bure mabasi yote SGR na ndege za ATC wakati wowote atakapohitaji, aende vacation mara tatu kwa mwaka popote pale anapotaka on top of that atapewa fursa ya kuchagua chenye anataka
 
Back
Top Bottom