Hakuna kitu kinaitwa “mume wa mtu”

Hakuna kitu kinaitwa “mume wa mtu”

Jamani tambueni hakuna kitu kinaitwa mume wa mtu, ndioo najua unashangaa..

Ndio maana huwa hatuwatolei mahali hawa viumbe, tofauti na sisi tunakuja kuzolewa juu juu kwa mabadilishano ya kifedha (barter trade).

Huu mfumo ndio unefanya wanawake baadhi wananyanyasika sana kwakigezo Mume anasema "kwani ulikuja bure hapa?? si nilikulipia mahali"🥺

Sawa namaliza kwakusema tena hakuna mume wa mtu ila kuna mke wa mtu, so ukipata wa kuruka nae we ruka nae tu bt at your own risk😂
Kisses
Wacha nije turuke pamoja kwaajiri ya kukuza kifaranga nilichokikamata😂kwa pamoja tukileee mpk kikue nachokianzishe kayak yake ya makinda
 
Kwaiyo upo tayar mwanaume wako awe shared na wanawake wengine Kwa kigezo hakuna mume wa mtu sio ?
Unaujua uchungu wa mume wewe? Nadhan unaongea bila experience
Jaribu kugusa mume wa mtu mwenyewe ajue yaan gusa halafu mwenye mume ajue alooh sikuhizi watu hawatak utan na watu wao utaanza kuokota makopo chap
 
Jamani tambueni hakuna kitu kinaitwa mume wa mtu, ndioo najua unashangaa..

Ndio maana huwa hatuwatolei mahali hawa viumbe, tofauti na sisi tunakuja kuzolewa juu juu kwa mabadilishano ya kifedha (barter trade).

Huu mfumo ndio unefanya wanawake baadhi wananyanyasika sana kwakigezo Mume anasema "kwani ulikuja bure hapa?? si nilikulipia mahali"🥺

Sawa namaliza kwakusema tena hakuna mume wa mtu ila kuna mke wa mtu, so ukipata wa kuruka nae we ruka nae tu bt at your own risk😂
Kisses
Janelle naomba namba yako,turuke.
 
Mungu anakupa wa kufanana, hata ukiruka na mwingine ni lazima atakuwa wa kufafanana nawe,, utaendelea kuruka ruka hadi uzeeni, mana hata warukaji nao wanazeeka, endelea
 
Mkuu; ninyi wanawake mnajuana mlivyo wakatili... Unataka kuwaponza wenzio?
 
Jamani tambueni hakuna kitu kinaitwa mume wa mtu, ndioo najua unashangaa..

Ndio maana huwa hatuwatolei mahali hawa viumbe, tofauti na sisi tunakuja kuzolewa juu juu kwa mabadilishano ya kifedha (barter trade).

Huu mfumo ndio unefanya wanawake baadhi wananyanyasika sana kwakigezo Mume anasema "kwani ulikuja bure hapa?? si nilikulipia mahali"🥺

Sawa namaliza kwakusema tena hakuna mume wa mtu ila kuna mke wa mtu, so ukipata wa kuruka nae we ruka nae tu bt at your own risk😂
Kisses
Ila jannelle unapenda kujilipua, tutakua tunashindwa kukutetea wakikuvaa humu kwenye replies.
Anyway mimi ukimgusa mume wangu, wewe na yeye wote nawanavunja miguu 😂
 
Jamani tambueni hakuna kitu kinaitwa mume wa mtu, ndioo najua unashangaa..

Ndio maana huwa hatuwatolei mahali hawa viumbe, tofauti na sisi tunakuja kuzolewa juu juu kwa mabadilishano ya kifedha (barter trade).

Huu mfumo ndio unefanya wanawake baadhi wananyanyasika sana kwakigezo Mume anasema "kwani ulikuja bure hapa?? si nilikulipia mahali"🥺

Sawa namaliza kwakusema tena hakuna mume wa mtu ila kuna mke wa mtu, so ukipata wa kuruka nae we ruka nae tu bt at your own risk😂
Kisses
Sanamu lako la Dhahabu lipo njian nakutengenezea, utachagua location tuliweke wap mtoto mzr 😘😘
 
Baada ya kusema hayo....
Naomba kuwasha....😋
 
Attachments

  • downloadfile-26.jpg
    downloadfile-26.jpg
    56.6 KB · Views: 23
  • downloadfile-13.jpg
    downloadfile-13.jpg
    59 KB · Views: 26
  • IMG-20191107-WA0003.jpeg
    IMG-20191107-WA0003.jpeg
    32.8 KB · Views: 22
Back
Top Bottom