Zzulu
Senior Member
- May 11, 2025
- 120
- 138
sio uwoga kwa mfano nakuja kukula wewe alafu mme wako ananimwagia tindikali nani mwenye hasara? au mke wangu anatufumania mimi na wewe, anakupiga kisu ? itakuaje?Acha uoga wako😄
sio uwoga kwa mfano nakuja kukula wewe alafu mme wako ananimwagia tindikali nani mwenye hasara? au mke wangu anatufumania mimi na wewe, anakupiga kisu ? itakuaje?Acha uoga wako😄
Nilijua tu kwenye ubuyu huwezi kuchomoa. Tena kuna huu nimeuona unatoka Madagascar. Utamu wake unaambiwa ni mpaka kwenye vidole 😜🤣🤣🤣🤣 naomba ubuyu.
Utume kule kule kwa siku zote🤣🤣🤣Nilijua tu kwenye ubuyu huwezi kuchomoa. Tena kuna huu nimeuona unatoka Madagascar. Utamu wake unaambiwa ni mpaka kwenye vidole 😜
Nikutumie wapi sasa? Huko jangwani kwenye mibuyu mingi si ulishamalizana nako au bado? Toa mwongozo tu....
Shem kashasemaShauri yenu, mtakuja kuomba maji …
Semeji semeji 😀Shem kashasema
😅😅 kama CCM !Kampeni zinaanza
Duuuh halali ya hatari. ndugu yetu kipenzi chetu mume wa mtu huyu ameanza kula karanga ili maisha yaendelee.Jamani tambueni hakuna kitu kinaitwa mume wa mtu, ndioo najua unashangaa..
Ndio maana huwa hatuwatolei mahali hawa viumbe, tofauti na sisi tunakuja kuzolewa juu juu kwa mabadilishano ya kifedha (barter trade).
Huu mfumo ndio unefanya wanawake baadhi wananyanyasika sana kwakigezo Mume anasema "kwani ulikuja bure hapa?? si nilikulipia mahali"🥺
Sawa namaliza kwakusema tena hakuna mume wa mtu ila kuna mke wa mtu, so ukipata wa kuruka nae we ruka nae tu bt at your own risk😂
Kisses
Naam😅😅 kama CCM !
We kuweza😜
Sahivi sio Maji, ni Togwa. 😂😂😂😂Shauri yenu, mtakuja kuomba maji …
Mpe mbegeSahivi sio Maji, ni Togwa. 😂😂😂😂
😂😂😂😂Mpe mbege