Hakuna kitu kinaitwa “mume wa mtu”

Hakuna kitu kinaitwa “mume wa mtu”

Jamani tambueni hakuna kitu kinaitwa mume wa mtu, ndioo najua unashangaa..

Ndio maana huwa hatuwatolei mahali hawa viumbe, tofauti na sisi tunakuja kuzolewa juu juu kwa mabadilishano ya kifedha (barter trade).

Huu mfumo ndio unefanya wanawake baadhi wananyanyasika sana kwakigezo Mume anasema "kwani ulikuja bure hapa?? si nilikulipia mahali"🥺

Sawa namaliza kwakusema tena hakuna mume wa mtu ila kuna mke wa mtu, so ukipata wa kuruka nae we ruka nae tu bt at your own risk😂
Kisses
Hata mama ako hana mume 😅😁😅😅
 
Kwaiyo upo tayar mwanaume wako awe shared na wanawake wengine Kwa kigezo hakuna mume wa mtu sio ?
Unaujua uchungu wa mume wewe? Nadhan unaongea bila experience
Jaribu kugusa mume wa mtu mwenyewe ajue yaan gusa halafu mwenye mume ajue alooh sikuhizi watu hawatak utan na watu wao utaanza kuokota makopo chap
Ni upuuzi kabisa kudeal na mwanamke mwenzako kisa mwanaume, miki nitajuaje kama huyo mwanamke alietongozwa na mume wangu kama anajua ana mke? Wanaume hawana shukrani, utaokotesha makopo wangapi?🚮 Deal na mmeo na si huyo anaetongozwa napengine hajui lolote
 
Jamani tambueni hakuna kitu kinaitwa mume wa mtu, ndioo najua unashangaa..

Ndio maana huwa hatuwatolei mahali hawa viumbe, tofauti na sisi tunakuja kuzolewa juu juu kwa mabadilishano ya kifedha (barter trade).

Huu mfumo ndio unefanya wanawake baadhi wananyanyasika sana kwakigezo Mume anasema "kwani ulikuja bure hapa?? si nilikulipia mahali"🥺

Sawa namaliza kwakusema tena hakuna mume wa mtu ila kuna mke wa mtu, so ukipata wa kuruka nae we ruka nae tu bt at your own risk😂
Kisses
Mume wa mtu yupo, wapo , wataendelea kuwepo. But hiyo title iko reserved kwa wale wanao stahili

Kama umekutana na ambae sie,pole but dont generalize
 
Mungu anakupa wa kufanana, hata ukiruka na mwingine ni lazima atakuwa wa kufafanana nawe,, utaendelea kuruka ruka hadi uzeeni, mana hata warukaji nao wanazeeka, endelea
Kwani ukiruka ndio huzeeki? Mawazo mazito
 
Jamani tambueni hakuna kitu kinaitwa mume wa mtu, ndioo najua unashangaa..

Ndio maana huwa hatuwatolei mahali hawa viumbe, tofauti na sisi tunakuja kuzolewa juu juu kwa mabadilishano ya kifedha (barter trade).

Huu mfumo ndio unefanya wanawake baadhi wananyanyasika sana kwakigezo Mume anasema "kwani ulikuja bure hapa?? si nilikulipia mahali"🥺

Sawa namaliza kwakusema tena hakuna mume wa mtu ila kuna mke wa mtu, so ukipata wa kuruka nae we ruka nae tu bt at your own risk😂
Kisses
Kwa hiyo una maana mume ni mteja na mke ni bidhaa toka dukani mwa baba mwanangu?
 
Back
Top Bottom