Hakuna kitu kinaitwa “mume wa mtu”

Hakuna kitu kinaitwa “mume wa mtu”

Aaaah Hani mtu unatoa mahali Kwa mwanamke ambae wahuni wengine walikuwa wachapa Bure na free delivery mpaka getoni Kwa mhuni
 
Aaaah Hani mtu unatoa mahali Kwa mwanamke ambae wahuni wengine walikuwa wachapa Bure na free delivery mpaka getoni Kwa mhuni
😊 Si wote used. Mtumba Original
 
Jamani tambueni hakuna kitu kinaitwa mume wa mtu, ndioo najua unashangaa..

Ndio maana huwa hatuwatolei mahali hawa viumbe, tofauti na sisi tunakuja kuzolewa juu juu kwa mabadilishano ya kifedha (barter trade).

Huu mfumo ndio unefanya wanawake baadhi wananyanyasika sana kwakigezo Mume anasema "kwani ulikuja bure hapa?? si nilikulipia mahali"🥺

Sawa namaliza kwakusema tena hakuna mume wa mtu ila kuna mke wa mtu, so ukipata wa kuruka nae we ruka nae tu bt at your own risk😂
Kisses
Njoo turuke aisee........... 😀
 
Back
Top Bottom