Hakuna kitu kinaitwa “mume wa mtu”

Hakuna kitu kinaitwa “mume wa mtu”

Duuuh halali ya hatari. ndugu yetu kipenzi chetu mume wa mtu huyu ameanza kula karanga ili maisha yaendelee.
Kila anachotumia nyumbani kwake mama anawasiwasi kuingizwa kwenye grid ogopa sana TAMAA.
Pole yake maisha yaendelee
 
Mmh sasa hiyo mpya tena😊
Hujuwi kuwa tunapeana raha za milele na upako mtakatifu? Jiangalie wewe hapo ulipo, umeliwa na wanaume wangapi ambao ni waume za watu na wewe si mke wa mtu siyo, sasa unashangaa nini? Wanaliwa wabunge na viongozi wengine sembuse wewe usiyejulikana? Angalia malkia wa Uingereza hivi sasa huyu Camilla, alikuwa anatombwa kwenye mabanda ya farasi wakati Charles akiwa na mke wa ndoa, Princess Diana. Tumepewa ili tupeane ila kwa uangalifu si kwa kukomoana.
 
Asili ya mfumo wa Mahari ilikuwa ni kama zawadi kuwapa heshima wazazi na kuthaminisha ubikira wa anaolewa na kulipa thamani tendo la kuolewa
 
Lugha ya picha eeeh!?

Na kila mtu yuko huru kutafsiri kivyake ama?

Wewe ni nani alikwambia kuwa ni lugha ya picha imetumika?

Maana halisi iliyokusudiwa ni ipi? Na tutajuaje kuwa hiyo ndiyo maana halisi iliyokusudiwa?
Mwanamke anatumika kama kanisa kimaandiko, mwanaume utumika kama Yesu.
Chakula utumika kama mafundisho.
Nakupa maana yake.
Andiko hilo lina maanisha .
Siku za mwisho patakuwepo na makanisa mengi sana ya Kikristo yakijifanya kufundisha habari za Kristo
 
Wewe nani amekwambia kwamba linamaanisha hivyo? Ni akili zako tu ama? Akija mwingine na tafsiri tofauti tutampinga kwa vigezo gani? Huu si ndiyo mwanzo wa mkanganyiko tunaouona kwenye ukristo kila mmoja akihubiri la kwake? Na hiyo maana uliyoitoa wala hai-make sense ukiangalia muktadha wa andiko hili!

Ili kuwa safe mimi nalichukulia kama lilivyo hasa ukizingatia jamii husika ya wakati ule, nafasi ya ndoa na nafasi ya mwanamke kipindi kile.

20250512_215723.png
 
Haimaanishi wanawake kama women bali wametumika kama lugha ya picha.
Lugha ya picha eeeh!? Wakimaanisha nini?

Hiyo lugha ya picha ina tafsiri moja? Ni nini kitamzuia Mwamposa kuja na tafsiri tofauti na yako au ya Mwakasege katika kutafsiri fungu hili hili kama iliyotumika ni lugha ya picha? Nani atakuwa na mamlaka ya kusema kuwa tafsiri yake ndiyo sahihi zaidi ya mwingine; hasa kama tafsiri hizo zinasigana? Kuna mahubiri mazima ya Marehemu Getrude Rwakatare akiongelea fungu hili kwa kina na kulingana naye hakuna cha lugha ya picha wala nini. Je, alipotosha? Fungu hili linamaanisha nini katika hiyo lugha yako ya picha?
 
Mwanamke anatumika kama kanisa kimaandiko, mwanaume utumika kama Yesu.
Chakula utumika kama mafundisho.
Nakupa maana yake.
Andiko hilo lina maanisha .
Siku za mwisho patakuwepo na makanisa mengi sana ya Kikristo yakijifanya kufundisha habari za Kristo
Umefikiaje katika tafsiri hiyo? Kuna mwongozo uliosimikwa katika ukweli (wa kihistoria ama vinginevyo) uliokufanya ufikie tafsiri hiyo? Wewe ni Msabato? 😉

Ngoja nikutafutie mafundisho makali kuhusu fungu hili kutoka kwa Mchungaji Rwakatare......
 
Hujuwi kuwa tunapeana raha za milele na upako mtakatifu? Jiangalie wewe hapo ulipo, umeliwa na wanaume wangapi ambao ni waume za watu na wewe si mke wa mtu siyo, sasa unashangaa nini? Wanaliwa wabunge na viongozi wengine sembuse wewe usiyejulikana? Angalia malkia wa Uingereza hivi sasa huyu Camilla, alikuwa anatombwa kwenye mabanda ya farasi wakati Charles akiwa na mke wa ndoa, Princess Diana. Tumepewa ili tupeane ila kwa uangalifu si kwa kukomoana.
Mmh😌 sijawahi tembea na mme wa mtu, pili unajuaje kama sijulikani😂
 
Asili ya mfumo wa Mahari ilikuwa ni kama zawadi kuwapa heshima wazazi na kuthaminisha ubikira wa anaolewa na kulipa thamani tendo la kuolewa
Sasa sikuhizi bikira hazipo itakuwaje sasa🥺
 
Back
Top Bottom