Asemacho mtoa mada ni kweli. Shujaa wetu bado hajatoka
JK mbona hatoi kauli kuhusu ushoga
Vipi Dr Slaa, ataongelea suala la ushoga la wafadhili wa Chadema Conservative, au anaogapa shindikizo la kunyimwa masaada..
Navyowajua Conservative, Chadema wakisema chochote juu ya ushoga ni hatari kwao.
Wataambiwa warudishe Magari, Pikipiki, Baiskeli, na pesa za kampeni walizopewa mwaka 2005 na 2010...
Nyie endeleeni tu kukumbatia ushoga
wewe kweli kilaza, kama alitoka gerezani na kuja pale tayari aliletwa hapo mahakamani kwa removal order, sasa aliyogoma kusaini ni ipi tena?
Fafanua mkubwa!katika suala hili la Mh. Lema kuchagua kwenda rumande serikali/ccm walikuwa na uwezo wa kumwongoza mtuhumiwa (Lema) na CDM kujifunga bao. Lakini sasa hapa kinachotokea ni sawa na Beki kudaka mbira alioanzishiwa na kipa tena ndani ya 18. Adhabu na matokeo yake.........sote tunaijua.