Hakimu amchomolea Lema kutoka, asema mpaka Jumatatu

Hakimu amchomolea Lema kutoka, asema mpaka Jumatatu

Nakwambia lema hang'oki lupango ndo ajue kyombo cha dola manake nini na atakaetishia usalama wa taifa nae ataenda kunyea ndoo lockup BUNGE BILA WABUNGE WA CDM LINAWEZEKANA

Zamu yako itafika tu au ndugu yako wa karibu sana na atadhulumiwa zaidi ya Lema maneno haya utayasema bila kutaka mkuu huwezo osha maiti za wenzio siku zote nawe iko siku utaoshwa .Zombe alizoea kubambika lakini uliona siyo ? Nawe na huyo hakimu ngojeeni .
 
@lunyungu...KUTESA KWA ZAMU NDO MPANGO MZIMA,huh...
Eeh hata hilal clinton aliechekelea kifo cha gadaf hadi gego la mwisho nae ATAKUFA so nothing new,na wala usidhani mie sisiem SIPIGAGI KURA so hata hao kina lema NI WALEWALE TU
 
CCM inazidi kujimaliza yenyewe

Wakishauriwa hawasikii

katika suala hili la Mh. Lema kuchagua kwenda rumande serikali/ccm walikuwa na uwezo wa kumwongoza mtuhumiwa (Lema) na CDM kujifunga bao. Lakini sasa hapa kinachotokea ni sawa na Beki kudaka mpira alioanzishiwa na kipa tena ndani ya 18. Adhabu na matokeo yake.........sote tunaijua.
 
Back
Top Bottom