Hakimu amchomolea Lema kutoka, asema mpaka Jumatatu

Hakimu amchomolea Lema kutoka, asema mpaka Jumatatu

weye ulisema haiendelei mbona bado umo!duh kina nape mpo wengi, vp wazir wenu pungest?Weye yao wameelewa ila weye changu neh rudi shule tena ila watawala fisadi Tz wameelewa nenda kwao toto lao wakuweke sawa.

jaribu kujibu swali nililokuuliza.
 
Wakuu niko Arusha nikiongozana na viongozi wa kitaifa waliokuja hapa kumpokea Kamanda Lema atoke, yapigwe maandamano mpaka NMC, kisha mkutano mkubwa. Aisee hali ni tete. Slaa katinga Mahakamani hapa wakati Mbowe akijiandaa kuzungumza na wana wa Arusha waliokuwa mahakamani. Kashangiliwa rais, rais, rais, rais...Kamanda mbowe ndiye pekee alikuwa anasubiriwa na watu waliokuwa nje ya mahakama atoe command ya nini kifanyike. Si polisi, wala mtu mwingine angeweza kuwasogeza watu wale hatua hata moja kutoka getini.

Rais Dkt. Slaa ameandamana na Kamanda Lissu. Patatosha hapa leo NMC.

Kilichotokea; hakimu aliyetakuwa kusaini COURT ORDER kachomoa. Nafikiri kwa maadili ya kazi zao kasema kuwa atakuwa amechukua uamuzi huo kwa shinikizo (kuwa ameshinikizwa), hivyo kachomoa na Lema hawezi tena kutoka kwa leo, mpaka Jumatatu. Ndo tuko hapa NMC, kusikiliza viongozi wanatumabia nini. Tutapata taarifa kamili ya nini hasa kilichojiri. Niko hapa rasmi kuwapatia upadates.

Samahanini wakuu. Nimesahihisha pale nilipoandika REMOVAL ORDER, ilipaswa kuandikwa COURT ORDER. Nshukuru wote waliojaribu kuhoji usahihi wa thread kwa maneno hayo yaliyoawachanganya. Nimefanyia kazi critiques zenu.
 
Aisee kweli CHADEMA funiko mbovu Arusha,huku magamba hawana chao kabisa nguvu ya uma leo nimeiona,ANGUKO LA MKOLONI MWEUSI CCM LIMETIMIA.
 
wewe kweli kilaza, kama alitoka gerezani na kuja pale tayari aliletwa hapo mahakamani kwa removal order, sasa aliyogoma kusaini ni ipi tena?
 
wewe kweli kilaza, kama alitoka gerezani na kuja pale tayari aliletwa hapo mahakamani kwa removal order, sasa aliyogoma kusaini ni ipi tena?
Si kila taarifa ni sahihi lakini siwezi kuidharau hii
 
Huyu mtu ananichanganya,Removal oder inayopelekwa gerezani huwa tayari imeshasainiwa sasa najiuliza saini gani tena imemiss,maana kule magereza wanachokifanya sio kupokea barua au hati kutoka polisi bali ni kuipokea hiyo order inayokuwa imetayarishwa mahamakamani,sasa wewe vipi tena na hiyo post yako?sikuelewi una maanisha nini au ndo kama vile?
 
Makamanda ni vema sasa tuelewe kuwa Serikali yetu haina chombo hata kimoja nikimaanisha mihimili ambayo inafuata Haki na Sheria,inatakiwa kufanya maamuzi mazito Sana kwa hatma ya nchi hii.
 
Wakuu niko Arusha nikiongozana na viongozi wa kitaifa waliokuja hapa kumpokea Kamanda Lema atoke, yapigwe maandamano mpaka NMC, kisha mkutano mkubwa. Aisee hali ni tete. Slaa katinga Mahakamani hapa wakati Mbowe akijiandaa kuzungumza na wana wa Arusha waliokuwa mahakamani. Kashangiliwa rais, rais, rais, rais...Kamanda mbowe ndiye pekee alikuwa anasubiriwa na watu waliokuwa nje ya mahakama atoe command ya nini kifanyike. Si polisi, wala mtu mwingine angeweza kuwasogeza watu wale hatua hata moja kutoka getini.

Rais Dkt. Slaa ameandamana na Kamanda Lissu. Patatosha hapa leo NMC.

Kilichotokea; hakimu aliyetakuwa kusaini removal order kachomoa. Nafikiri kwa maadili ya kazi zao kasema kuwa atakuwa amechukua uamuzi huo kwa shinikizo (kuwa ameshinikizwa), hivyo kachomoa na Lema hawezi tena kutoka kwa leo, mpaka Jumatatu. Ndo tuko hapa NMC, kusikiliza viongozi wanatumabia nini. Tutapata taarifa kamili ya nini hasa kilichojiri. Niko hapa rasmi kuwapatia upadates
Karudishwa gerezani?Jumatatu unayoizungumzia ni ipi?Ukwapi wewe?Uko sayari gani?

Hujaeleweka bado,leo jumatatu,lakini hujasema,unasema atatoka jumatatu,lakini hujasema ni ipi.Hizi habari za kuunga unga tu.

Tulia kwanza ulete habari yenye kueleweka.
 
Kamuulize Jk kwa nini kamteua wazir shoga? chunguza yako kabla ya kujambajamba hapa JF

hivi serikali ya vasco da gama ina waziri shoga? Uko serious mkuu au ni utani?
 
Back
Top Bottom