Hakimu amchomolea Lema kutoka, asema mpaka Jumatatu

Hakimu amchomolea Lema kutoka, asema mpaka Jumatatu

mwenye wimbo naomba mtuwekee hapa wakubwa tujumuike nanyi kukesha!!
 
Huyu Lema ni nani? Leo kapiga chini ameshindwa kutoka mahabusu.

CDM poleni, subirini Prince Charles arudi kwao.

Source: Channel Ten, taarufa ya habari saa moja jioni ya leo!!
 
Huyu Lema ni nani? Leo kapiga chini ameshindwa kutoka mahabusu.

CDM poleni, subirini Prince Charles arudi kwao.

Source: Channel Ten, taarifa ya habari saa moja jioni ya leo!!
 
habari zilizonifikia hivi punde: Wanachadema kukaa uwanjani NMC kwa siku kadha bila kuondoka, kufuatia kitendo cha serikali na mahakama kukataa kumtoa Lema gerezani!
Labda huko Arusha hilo ni jipya, lakini kwa hapa Dar ni ya kawaida tu hayo kwani hata Askofu Kakobe alikesha na wafuasi wake kuzuia TANESCO kupitisha nyaya za umeme pale kwa church....lakini hata hivyo, baada ya kubana sana, hatimae wakaachia!! Mie nipeni tenda ya kutengeneza T-shirt za HATOKI MTU, HADI KAMANDA AACHIWE!!!!
 
Huyu Lema ni nani? Leo kapiga chini ameshindwa kutoka mahabusu.

CDM poleni, subirini Prince Charles arudi kwao.

Source: Channel Ten, taarufa ya habari saa moja jioni ya leo!!

Hovyo! Hiki ulichokiandika inaonesha jinsi gn elimu yako ilivokuwa ya ku-unga-unga, yani uharo..mods ondoa upupu huu!
 
Hovyo! Hiki ulichokiandika inaonesha jinsi gn elimu yako ilivokuwa ya ku-unga-unga, yani uharo..mods ondoa upupu huu!

Forget his education and whatever, but what is in his mind is what channel ten come up with; so think about that.
 
Acheni kutuzingua nyie ndugu zake na david cameroon, lema ni jeshi la m2 m1
 
hivi mahakimu wa arusha ni kichaka cha vilazaa eeh..dhamana yake si ilikuwa wazi ni kiasi cha kukubali na kupokea masharti ya wadhamini? nionesheni mimi huyo hakimu anapokaa nikamfunge kengele
 
hivi hawa mahakimu si ni raia miongoni mwetu au wametokea nchi jirani........au niseme ndo hao hao kama polisi?
 
Wa nchi gani vile?

magamba ya zambia UMD yaliwahi kuuliza hivyo hivyo juu ya Sata. Sasa cha moto wanakiona. Na nyie subirini hivyo hivyo dr original akiingia madarakani. Kudadadeki we.
 
jamani mi nauliza huyo hakimu katokea dar? kama yupo hapo njiro,themi,sekei,mianzini ni kumtokea tu
 
Huyu Lema ni nani? Leo kapiga chini ameshindwa kutoka mahabusu.

CDM poleni, subirini Prince Charles arudi kwao.

Source: Channel Ten, taarifa ya habari saa moja jioni ya leo!!
mkuzu unawasha sio! Acha ungese we mafilili!
 
Mashujaa wanzangu tuko pamoja tupambane hadi mwisho na magamba kupinga unyanyasaji.
 
Hebu ngoja kwanza, ktk utekelezaji wa mambo ya kisheria kuna maxim inasema "HAKI SI ITENDEKE TU, BALI IONEKANE KUWA IMETENDEKA". Hapa najiuliza ni nani anayepaswa kuona kuwa hiyo haki imetendeka. Ni Jamii au Hakimu?

Wanaarusha wameona si tu kwamba haki haijatendeka bali haijaonekana kama imetendeka ktk kitendo hiki. Na kwa kuthibitisha hilo wameamua kuacha familia zao, starehe zao, matatizo yao, vitanda vyao, mikeka yao na kwenda kukesha uwanjani ili kupaza sauti zao kwa Muumba wao, Taifa lao na Jamii za kimataifa. Hakika ni kitendo cha kishujaa kinachopaswa kuungwa mkono na wapenda haki, watetea UTU na wanaharakati wote.

Ingawa kisheria hakimu habanwi na kifungu chochote kutoa hati husika, lakin kwa mazingira ya kesi hii na kwa kuzingatia majukumu na nafasi ya Mh. Lema ktk jamii alipaswa kumuachia huru.

Naona siasa zimeingia mahakamani, na hii inazidi kufuta, (kama ufutio ufutavyo maandishi ya penseli) ile chembe ndogo ya iman tuliyokuwa nayo katika muhimili huu wa dola.
 
Nakwambia lema hang'oki lupango ndo ajue kyombo cha dola manake nini na atakaetishia usalama wa taifa nae ataenda kunyea ndoo lockup BUNGE BILA WABUNGE WA CDM LINAWEZEKANA
 
Back
Top Bottom