Hakimu amchomolea Lema kutoka, asema mpaka Jumatatu

Hakimu amchomolea Lema kutoka, asema mpaka Jumatatu

Leo naona jiji la Arusha litarindima kwa shangwe na furaha. Yaani CCM itabidi ijiulize kama Lema kwenda gerezani kajinukisha au kajisafishia njia ya kura zaidi?

mkuu utakuwepo? maana naona pameanza kupambazuka..
 
Karibu uraiani kamanda! piga kazi kamanda.
Hakuna kulala mpaka kieleweke!
 
Nashukru sana mzee lakini usisahau kutuwekea picha. Mtindo ndiyo huo huo mpaka 2015. Endelea na kazi na salimia wote wanamapinduzi
 
wewe huwa huelewi lolote......

Vipi Dr Slaa, ataongelea suala la ushoga la wafadhili wa Chadema Conservative, au anaogapa shindikizo la kunyimwa masaada..

Navyowajua Conservative, Chadema wakisema chochote juu ya ushoga ni hatari kwao.

Wataambiwa warudishe Magari, Pikipiki, Baiskeli, na pesa za kampeni walizopewa mwaka 2005 na 2010...

Nyie endeleeni tu kukumbatia ushoga
 
Chadema bana kwa hiyo hata majambazi, wahalifu mnawatetea? Kwa hiyo Chadema mkichukuwa nchi mnawaachia wafungwa wote..

Na magereza yote mnayafunga tuchinjane hovyo
Mbona majambazi mengine mengi yaliyojificha kwa mavazi ya kijani na yellow yamejaa huku mtaani na huwa wakati wa uchaguzi yanatuvamia kutafuta pesa ya kampeni? achilia mbali wale wanaoiba ndani ya benki zetu na wanaoiba madini yetu mchana kweupe!
Ni bora walio jela nao wakapata msamaha wa bure wale nchi.
 
Vipi Dr Slaa, ataongelea suala la ushoga la wafadhili wa Chadema Conservative, au anaogapa shindikizo la kunyimwa masaada..

Navyowajua Conservative, Chadema wakisema chochote juu ya ushoga ni hatari kwao.

Wataambiwa warudishe Magari, Pikipiki, Baiskeli, na pesa za kampeni walizopewa mwaka 2005 na 2010...

Nyie endeleeni tu kukumbatia ushoga
Wewe unazungumzia habari za conservative tena? Mbona wengi ccm ni mashoga? nadhani na wewe waweza kuwa mmoja wa wasengenyaji.
 
Wewe wakati mahabusu wanaongea wewe ulikuwa wapi? Usilete porojo sheria zinakataza raia kuongea na mahabusu mpaka ruhusa maalumu.. Wewe ulipewa ruhusa ya kuongea na mahaubusu?[/QU wesio muelewa.af mwalimu.wako alikua anapata tabu sana kukuelewesha.du!.kaziipo yan hujaelewa2. We huja wahi kuona migomo ya wafanya kazi? Hua wanakua namabango.ila hawa hawana mabango mabango yao nilele nakukataa kushuka kwenye gari. Mkuu nazani umeelewa au bado kama bado sema .
 
poa mkuu, CCM hawana hamu..........najua wamejuta kwann walimwacha GL rupango,

hamna kurudi nyuma,,,,,,vijana wa tz, twende mbele
 
Wewe wakati mahabusu wanaongea wewe ulikuwa wapi? Usilete porojo sheria zinakataza raia kuongea na mahabusu mpaka ruhusa maalumu..

Wewe ulipewa ruhusa ya kuongea na mahaubusu?
Kwani wanavyoombaga watu hela au misaada wakiwa kwenye gari hawajui kuwa hawaruhusiwi hilo sembuse kusema? Mahabusu midomo yao haijafungwa mpaka watu washindwe kuelewa nini madai yao.
 
Vipi Dr Slaa, ataongelea suala la ushoga la wafadhili wa Chadema Conservative, au anaogapa shindikizo la kunyimwa masaada..

Navyowajua Conservative, Chadema wakisema chochote juu ya ushoga ni hatari kwao.

Wataambiwa warudishe Magari, Pikipiki, Baiskeli, na pesa za kampeni walizopewa mwaka 2005 na 2010...

Nyie endeleeni tu kukumbatia ushoga

Upuuzi.
 
hivi hii hali ngumu ya kiuchumi, kijamii na kisiasa iliyopo tanzania kuna watu haiwagusi na bado wapo tanzania. Polisi najua kwa nidhamu na ahadi ya utii mliyoweka lazima mtii amri. Lakini baada ya kutuvulumishia virungu kumbuka ukirudi hme kwako, njaa inasonga kama ilivyo kwangu. Nadhani vyombo vya dora visidhubutu kuitega subira tuliyonayo,,,,,hayo mnayoyaona na ugumu wa maisha ya watz ni dalili tu, mvua yenyewe bado.
 
Mi niko kwenye hatua za mwisho za kuandaa mazingira ya kuumwa ghafla na kuprocess sick sheet!

mimi nimefika nmc watu wemeshafika wengi pamoja na jua kuwaka kama limetumwa lakini watu wanasema tunamsubiri kamanda..
 
Wewe unazungumzia habari za conservative tena? Mbona wengi ccm ni mashoga? nadhani na wewe waweza kuwa mmoja wa wasengenyaji.
Kwanza kwa mbali ID yako inafanana na PAW, pili wasengenyaji naona kama umezunguka mbuyu tu lakini nia yako ilikuwa ..........
 
Back
Top Bottom