Yericko Nyerere
Platinum Member
- Dec 22, 2010
- 17,027
- 20,519
Nini kinaendelea hapo jamani?
shoga ni yule anelipiwa chumba na kununuliwa suti na waarab..
Akili za kuambiwa changanya na za Mmeo wewe.Chadema bana kwa hiyo hata majambazi, wahalifu mnawatetea? Kwa hiyo Chadema mkichukuwa nchi mnawaachia wafungwa wote..
Na magereza yote mnayafunga tuchinjane hovyo
shoga ni yule anelipiwa chumba na kununuliwa suti na waarab..
Hii thread, kama kawaida, haina maendeleo.
Wamekuja kumshangilia muhuni mwenzao.
Vipi Dr Slaa, ataongelea suala la ushoga la wafadhili wa Chadema Conservative, au anaogapa shindikizo la kunyimwa masaada..
Navyowajua Conservative, Chadema wakisema chochote juu ya ushoga ni hatari kwao.
Wataambiwa warudishe Magari, Pikipiki, Baiskeli, na pesa za kampeni walizopewa mwaka 2005 na 2010...
Nyie endeleeni tu kukumbatia ushoga
mhuni ni mama yako aliekuzaa siyo hawa walioko hapa nmc
Sababu zilizomfanya agome dhamana zimesharekebishwa?.
wacha kulialia kwa Mods!
Eti huyu ndio anategemewa kuwa First Lady...Dr Slaa akichukuwa nchi