Hakimu amchomolea Lema kutoka, asema mpaka Jumatatu

vijana walishafika kule gerezani na sasa wanajiandaa kurudi
 
Mods hizi thread za Lema zimekuwa nyingi kila Chadema-kata anaanzisha thread..ziunganisheni
 
Chadema bana kwa hiyo hata majambazi, wahalifu mnawatetea? Kwa hiyo Chadema mkichukuwa nchi mnawaachia wafungwa wote..

Na magereza yote mnayafunga tuchinjane hovyo

Umeelewa sentensi hii? "Nimetokea mahakamani arusha ambapo maabusu walioletwa kusikiliza mwendelezo wa kesi zao wamekataa kushuka kwenye karandinga. Wamesema wanafanya hivyo kupinga uonevu unaofanywa dhidi ya mbunge wa Arusha, na wanapinga kucheleweshwa kusikilizwa kesi zao ambazo zimechukua miaka zikitajwa tu."

Kabla hujaandika kitu jitahidi kusoma na kuelewa ili uwe na hoja. Si vyema kukurupuka na kuzungumza mambo yasiyo na mantiki. Asante
 
ccm inawauma sana wakiona kila mbinu wanayotumia inashindikana na cdm inazidi kupaaa
 
Lema anaweza akawa amekomesha kabisa tabia ya polisi kuzuia raia kwenda mahakamani kusikiliza kesi za mtu/watu wao! Pia kuna uwekano polisi hawatathubutu tena kumfuatafuata Lema ofisini kwake na matishio ya kumpeleka jela. They know Lema akisema lebeshi hamaanishi kijiko!
 
Chadema bana kwa hiyo hata majambazi, wahalifu mnawatetea? Kwa hiyo Chadema mkichukuwa nchi mnawaachia wafungwa wote..

Na magereza yote mnayafunga tuchinjane hovyo

Ndiyo tunawaachia wote halafu tunawafunga nyie mafisadi. Hahaha Siku zako uraiani zinahesabika!
 
[QUkOTE=Kyachakiche;2772585]Mkuu PJ tunasubiri picha.[/QUOTE]
kwa jeuli ya lema anaweza kurudi gerezani.
 
dah kumekucha....ndio watujua pia panya haogopi nyau wakati mwingine
CCM na Polisi wao ndio wakome kunyanyasa Watanzania. Wanatakiwa waelewe kuwa Mtanzania wa Leo si wa 1961. Hongera sana Lema kwa "Kupasua pazia la hekalu". Kama chama cha Siasa CCM walishakufa wamebakiwa na kitengo kimoja tu ambacho ni Polisi kutisha watu kila uchao. Sasa wamekutana na wasiotishiwa Nyau.
 
Umeelewa sentensi hii? "Nimetokea mahakamani arusha ambapo maabusu walioletwa kusikiliza mwendelezo wa kesi zao wamekataa kushuka kwenye karandinga. Wamesema wanafanya hivyo kupinga uonevu unaofanywa dhidi ya mbunge wa Arusha, na wanapinga kucheleweshwa kusikilizwa kesi zao ambazo zimechukua miaka zikitajwa tu."

Kabla hujaandika kitu jitahidi kusoma na kuelewa ili uwe na hoja. Si vyema kukurupuka na kuzungumza mambo yasiyo na mantiki. Asante

Wewe wakati mahabusu wanaongea wewe ulikuwa wapi? Usilete porojo sheria zinakataza raia kuongea na mahabusu mpaka ruhusa maalumu..

Wewe ulipewa ruhusa ya kuongea na mahaubusu?
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom