Hakimu amchomolea Lema kutoka, asema mpaka Jumatatu

Alaaaah!! kwahiyo unataka kusema jamaa wamem..ra? tungoje tuchunguze tembea yake
Ukikutana na MENDE barabarani, kwa jinsi anavyokuwa msafi huwezi amini kama analala juu ya kinyesi kule chooni ............. Ndivyo nikutazamavyo wewe, stinger na wengine wafananao na nyie........
 
huu mchakamchaka chinja wa CDM magamba lazima yatoe ulimi nje. Siasa za CDM ni next level...
 
Chadema bana kwa hiyo hata majambazi, wahalifu mnawatetea? Kwa hiyo Chadema mkichukuwa nchi mnawaachia wafungwa wote..

Na magereza yote mnayafunga tuchinjane hovyo
 
yaaani polisi wanafanya kazi kama hawana ubongo..ndo maana nilikwepa sana kuoa mke polisi...maana madhara yake ndo haya
 
Ukikutana na MENDE barabarani, kwa jinsi anavyokuwa msafi huwezi amini kama analala juu ya kinyesi kule chooni ............. Ndivyo nikutazamavyo wewe, stinger na wengine wafananao na nyie........
Very straight forward statement,
 
Vijana ndo wanaingia hapa mahakaman na bodaboda nying kwa mbwembwe za kila haina wakiwa na masale wakimaanisha aman. Watu ni wengi sana na ndo tunamsubiria mwari wetu mpendwa lema haingie. Nasikia barabara zote mjin kati zimejaa watu na polis wamekosa njia ya kumpitisha mana itakuwa maandaman. Akifika ntawajuza nawasilisha. Natumia cm hivyo technolojia ya kuattach picha sijaiweza.
 
Leo naona jiji la Arusha litarindima kwa shangwe na furaha. Yaani CCM itabidi ijiulize kama Lema kwenda gerezani kajinukisha au kajisafishia njia ya kura zaidi?
 
Chadema bana kwa hiyo hata majambazi, wahalifu mnawatetea? Kwa hiyo Chadema mkichukuwa nchi mnawaachia wafungwa wote..

Na magereza yote mnayafunga tuchinjane hovyo

tutahakikisha mafisadi na huyo anayekulipia hela ya modem anaenda rumande
 
Amani na haki visipo kuwa sambamba hakuna kitu.
Tunazima moto kwa gessi ndo kinachofanyika nchiiiiii
 
Leteni habari zaidi,hongera mleta post hii japo tumehabarika kidogo japo ndo kwanza unanitamanisha kuona mengi kama si kusikia mengi.
 
Back
Top Bottom