Haji Manara, ajiunga rasmi na WASAFI FM

Haji Manara, ajiunga rasmi na WASAFI FM

secretarybird

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2024
Posts
15,361
Reaction score
28,704
Haji Manara amejiunga na WASAFI FM na kuuangana na Oscar Oscar, Edo Kumwembe, na Adela Tilya kwenye kipindi Cha Leo na Jana.

Mara baada ya kukaribishwa, ameshaanza kuwa domokaya kiasi cha kutotaka kuwaachia wenzake nafasi ya kuongea huku akijaribu kufanya uchambuzi wa hapa na pale kuhusu kupanda kwa bei ya mafuta.

Kwa kweli kazi ipo!

King Kong III, jipange.
 
Haji Manara amejiunga na WASAFI FM na kuuangana na Oscar Oscar, Edo Kumwembe, na Adela Tilya kwenye kipindi Cha Leo na Jana.

Mara baada ya kukaribishwa (mzungu huyo pori), ameshaanza kuwa domokaya kiasi cha kutotaka kuwaachia wenzake nafasi ya kuongea huku akijaribu kufanya uchambuzi wa hapa na pale kuhusu kupanda kwa bei ya mafuta.

Kwa kweli kazi ipo!

King Kong III, jipange.

images (3) (20).jpeg
 
Leo Kazi ipoooooo halooooooooo!!
 
Safi sana ,Zembwela ,Mende ,Kipanya na Kitenge Combo safi sana ,Wapige Shule haraka aisee hata Dip ya miezi 6 wapate ithibati hao Ndimu na Chumvi.
Kwani Musa Kipanya hana ithibati? 🤔.

Ila Mimi nilikuwa naikubali Ile combo ya Ian Dialo, David Rwenyagira, na DJ McCay (Make) pale Drive show ya EA radio, na Ile ya Bobby Mongi, Evance Bukuku, na Chris Lugoe kwenye Supa breakfast.
 
Back
Top Bottom