Mwalimu wa tuisheni
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 5,492
- 8,636
Wakati hujajua kilichokuwa kinafanyika ulikuwa ukihoji?Makinikia tuliyoambiwa yana madini ya thamani kubwa sasa yanasafirishwa kama awali na bado watu wanashangilia
Sio kila ishu iende kwenye suluhu za kimahakama. Kama unaweza malizana na mgomvi wako unatusua tu.Zikiingia tu hata zile ndogo, zinatosha kusema JPM Ni jasiri wa mambo magumu yasiyotabirika
Binafsi Kwa kipindi kile niliamini kabisa ni lazima Jambo hili lifike MiGa na litaleta sintofahamu kwenye serikali ya JPM
Sasa hiyo inatosha kuwaambia waoga wote wa Tanzania kuwa hawafai kuongoza nchi hii, si Lisu Wala Vyama vinavyoongoza kutetea majizi na majambazi ya ngozi nyeupe
"Japo deni letu la makinikia ya Barrick lilikuwa Dola bilioni 190 ambazo zingetosha kumnunulia Noah kila Mtanzania, tukaahidiwa kishika Uchumba cha dola milioni 300!''Lissu alisema tutapelekwa MIGA lakini Mh. Rais Magufuli kwanza amewafulumsha wezi Acacia pia sasa tunafanyakazi na Barrick na wameanza kutulipa pesa yetu bado faida ya madini yetu ya kila mwaka lazima pia tuzipate! Pesa zote zinawekwa hapahapa kwenye Benki zetu. Mungu atupe nini jamaniiii. Heko Rais wetu Magufuli.
Nini faida ya kufahamu mchakato halafu wewe kuambulia kidogo? Ubovu wa mikataba ni ule ule sawa na uliokuwa under ACACIAKwani hayo mauzo wanafanya Barrick peke yao? Au yanafanyika kama mali ya Twiga gold corp kwa hiyo hata serikali itakuwa inafahamu mchakato mzima.
Una uhakika? Wakati wa Acacia kulikuwa na Twiga minerals ltd?Nini faida ya kufahamu mchakato halafu wewe kuambulia kidogo? Ubovu wa mikataba ni ule ule sawa na uliokuwa under ACACIA
Ripoti ipi CAG inaonyesha hizo fedha hazijulikani zilipo? Nenda kwanza kajadili mil.50 anazolipwa mbowe kila mwezi kwa deni hewa.Ripoti mbili za CAG zinaonyesha 2.7 trillions hazijulikani zilipo. Bunge DHAIFU limenyuti halafu mtu anashangilia kupata $300 millions. Aliyewaroga baadhi ya Watanzania uchawi wake si wa kawaida hata kidogo.
Smelter ijengwe na nani? Na mabeberu? Thubutu!!!Na makinikia naona yanaendelea na safari yake ya kwenda ughaibuni
kuchenjuliwa. Vipi ile smelter imeshajengwa?
Peleka vindege vyako ulaya ndo itaijua MIGAHopeless comment ever! Vipi Baba yako Lissu alisema tutapelekwa MIGA!! Lini mnatupeleka huko MIGA wewe msaliti namba moja??
Asante Rais Magufuli
Umetufanya Watanzania tuheshimike duniani
Hiyo uliyomalizia mwisho ilikuwa zamani. Makinikua yanaoekekwa kwa utaratibu maalum kuanzia upakiaji.Ni kweli makinikia yaendelea kusafirishwa nje?
Pascal Mayala nimekuwa nikijua wewe ni msomi kumbe ni wale wale.
Barrick wamelipa $100million kati ya $300m waliohaidi kulipa.
$100million imetokana na mauzo ya kwanza ya container 1600 za makinikia zilizokuwa zimezuiwa na serikali.
$200million zilizobaki wamehsidi kulipa ndani ya miaka 5. Yani kila mwaka ni $40mln.
Kupigwa kupo pale pale.
Kama safari moja ya container 1600 wamefanya mauzo nakupata faida ya zaid ya $100million. Jiulize kwa mwaka wanapeleke contsiner ngapi? Na kila mwaka tunaambulia $40m only!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli makinikia yaendelea kusafirishwa nje?
Pascal Mayala nimekuwa nikijua wewe ni msomi kumbe ni wale wale.
Barrick wamelipa $100million kati ya $300m waliohaidi kulipa.
$100million imetokana na mauzo ya kwanza ya container 1600 za makinikia zilizokuwa zimezuiwa na serikali.
$200million zilizobaki wamehsidi kulipa ndani ya miaka 5. Yani kila mwaka ni $40mln.
Kupigwa kupo pale pale.
Kama safari moja ya container 1600 wamefanya mauzo nakupata faida ya zaid ya $100million. Jiulize kwa mwaka wanapeleke contsiner ngapi? Na kila mwaka tunaambulia $40m only!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Barrick pays Tanzania initial $100 million after gold shipments resumeUpo serious kweli na hizi pongezi au unabariki wizi wa raslimali za Taifa