Grace Mbowe afariki ajalini - Kabuku, Segera - Tanga

Grace Mbowe afariki ajalini - Kabuku, Segera - Tanga

Mungu awape uvumilivu familia nzima ya kamanda Mbowe...kufiwa na watu watatu kwa pamoja si jambo rahisi kubebeka. Mungu atupe wepesi.
 
poleni sana wafiwa.

Baada ya yote, sisi wote ni watanzania. Tofauti zetu kisiasa hazihusiani na misiba kama vile makamanda wa chadema walivyokuwa wakimuombea kifo waziri mbawala jana, leo kwangu kesho kwako.

tuendelee kuwashukuru madaktari ambao wanaonekana kukusaida ili uwe upone na kuwa na mawazo ya utu uzima pamoja na kuwa na akiri. Tafadhari endelea na matibabu lukosi ili afya yako iimarike. Hongera maendeleo ni mazuri!!
 
Poleni sana wafiwa.

Baada ya yote, sisi wote ni watanzania. Tofauti zetu kisiasa hazihusiani na misiba kama vile makamanda wa Chadema walivyokuwa wakimuombea kifo Waziri Mbawala jana, leo kwangu kesho kwako.
Umerogwa wewe sio bure.....zamani wakati nakua nilijua kukaa ng'ambo unakuwa na upeo mkubwa kumbe unaweza ukakaa ng'ambo na bado akili ikawa kama ya huyu mbeba maboksi
 
@Anheuser

Mkuu unajua unajichanganya mwenyewe its like unapinga suala hili kama halipo its okay ni imani yako kuamini au kutokuamini its up to you sikulazimishi ...

huo u western ambao uko ndani yako hakuna mtu ambaye hajakukatalia ila kaa tu ukijua kila taifa katika dunia hii ina imani yake weather ni imani ya kidini au ni imani isiyo ya kidini...

umeongelea kuwa umekaa nje fine sasa ngoja nikupe mfano mdogo wa mie niliouona huko nje ambako wewe umepasema

wazungu kuna kitu wanakiita
FRIDAY THE 13th

Hii siku wazungu wanaiogopa kuliko hata ukoma
wanakwambia ni siku ambayo imelaaniwa
"cursed day"

watu zaidi ya milioni 21 wamekuwa affected na siku hii.... duniani kote
watu hawasafiri siku hii....
makampuni kama delta airlines na america airlines wanalia kila ifikapo siku hii kwa jinsi wanavyopata loss ya ajabu siku hii

kwanini?

kwa sababu ijumaa ni unlucky day since 14 century
wazungu wanaamini ijumaa ni siku mbaya kuanza biashara au kuanza safari



na kumbuka kuwa

christians commemorate the crucifixation of jesus on Friday before Easter adding additional unpopularity to the weekday


back to topic haya mambo sio kama yametoka kwa mganga wa kienyeji, wala sio mambo ambayo yanasemwa na kizee kilichoshika mizimu huko kijijini
hapana ila haya maneno ni maneno ambayo yanasemwa na wanajimu (ikumbukwe unajimu ni elimu unayosomea na kukaa darasani)

hayajaanza leo yameanza tokea miaka mingi iliyopita

naomba tu niishie hapa ila tu mkuu

soma vitabu mbalimbali mkuu, soma sana vitabu


Huko uzunguni ulipo kaa labda ni uzunguni ya mashetani. Lakini kama ni wazungu tunao wajua hakuna kitu kama hicho. Usitake kudanganya watu kwa mambo ambayo hayapo. Ulaya ninayo ishi mimi, hakuna siku ngumu kupata nafasi ya ndege au usafiri wa aina yoyote kwa sababu watu wengi wanaksafiri kwenye mapumziko ya mwisho wa juma. Na tiketi za kila aina ya usafiri zinakuwa ghali kuliko kawaida.

Na kuhusu bashara za madukani ndio usiseme maana kila mtu anafanya manunuzi ya mwisho wa juma kwani wanakwenda kupumzika baada ya uchovu wa juma zima. Leo hii unakuja na uongo usio na kichwa wala miguu.

Labda Ulaya unayo isema ni ya akina Prof. Maji Marefu na MAGAMBA yenu.
 
Umerogwa wewe sio bure.....zamani wakati nakua nilijua kukaa ng'ambo unakuwa na upeo mkubwa kumbe unaweza ukakaa ng'ambo na bado akili ikawa kama ya huyu mbeba maboksi

Kiongozi!

Muonee huruma huyo. Ngoma inakula ubongo kwa kasi sana. Wewe subiria utaona kituko kikubwa na cha aina yake muda si mrefu!!
 
Huyu Mama amekufa na jambo zito kuhusu chadema, Nina mashaka na ajali hii.

stupidest comment of the year

she wasnt anywhere near executive position

You should be ashamed of yourself
 
Bora wewe umeona dada yangu huyu kidudu sijui anaumri gani msaada plz
Nadhani huwa anaona sifa sana. Badala ya kutoa pole aishie zake amebaki kuleta habari zake za uchochezi wa kisiasa. Anachefua sana.
 
Rest in peace dada grace. Kada wa chama cha mapinduzi. Bwana ametoa bwana ametwaa. Machadema km kawaida yao hapa yanadhangilia
Duu! YANADHANGILIA,,'Ukiwa ccm shida sana sijui wanapata wapi mijitu mijinga mijinga kama hii.
 
Hiki kifo kingewahi kidogo kama mwezi hivi kipindi huyu mama ni kamanda mvaa gwanda, this time angekua anakula tu bata peponi .
Maskini sijui nani kamdanganya, sasa anasubiria moto tu kwa kukubali kwake kuvaa gamba.
 
Back
Top Bottom