BJEVI
JF-Expert Member
- Jan 19, 2011
- 1,359
- 251
Tunakoelekea ni kubaya sana.
Zamani kilio cha mmoja ni cha wote, lakini siku hizi watu wanauliza itikadi .
Huu ni msiba mkubwa sana.
Siku hizi naona unajirekebisha...kidogo mwalimu wako wa kiswahili amekufunza matumizi mazuri ya maneno tafsida ,hekima,huruma,uzalendo na busara.Hongera.