Grace Mbowe afariki ajalini - Kabuku, Segera - Tanga

Grace Mbowe afariki ajalini - Kabuku, Segera - Tanga

Poleni sana wafiwa kwa kuwapoteza wapendwa wenu. Msiba wa jirani ni msiba wako.

Ukisoma comment za baadhi ya watu kwenye thread hii, inatia simanzi na kinyaa kufikiri kama wanao post ni binadamu wenye fikra na mtazamo sahihi kimaisha hata wakiwa nje ya siasa.

Siasa za Tanzania zimevamiwa na kupata wenyewe ambao hawafahamu hata mpaka wake na cha kushangaza wengi wao wanajinasibisha kama ni wacha Mungu.

With God's grace, they should understand the concept of humanity and care.
 
ero mayeu engai orchagaaa,tatzo cyo cdm tatzo ni ukabila ndo shida

Mikiyeu sininje Njaga aamu ore ilo kurum lino etongwa nen'gu naleng!! Tanava egela etivat idialo olorubumenye lonya Layok!! Midimumu yook Chadema ailong.
 
Mwenyenzi Mungu mwingi wa Rehema awape Marehemu wote pumziko la milele katika shamba lake BWANA WETU anayeishi na kumiliki na hata sasa!

Hakika misemo inasema Dunia inapita na mambo yake yote!
 
Rest in where you deserved to be Grace.

Bahati mbaya uliikimbia nuru ukakimbia gizani. Abdallah Bulembo anakunywa damu zenu
Marehemu ni dada yake Mbowe?
 
By TRIPPLE H. Ujuha utakuwa ww, sijui umri wako lkn kama unaamini ktk Mungu usingeshangaa wananchi/binadamu kutakiana R.I.P kwani ni lakiimani na utamaduni.
 
Ndugu zangu watanzania Ajali za barabarani Mara nyingi zinasababishwa na sisi wenyewe! Sisemi hivi kuwasimanga wahanga wa ajali hapana lengo ni kupeana elimu ili wengine tujifunze! Barabara zetu hasa Hizi kuu madereva wake wengi wanajijali wao tu!! Ni bora kiss folia bus au gari kubwa kuweka gari ndogo Kama GX100 barabaran ni kuyaweka rehani maisha kosa kidogo tu gari inaacha njia
 
chanzo cha ajali hiyo ni nini? napia mazingira ya ajali hiyo yakoje? je kuna mahasiano yoyote na siasa zetu chafu?
 
Poleni sana wafiwa. Baada ya yote, sisi wote ni watanzania. Tofauti zetu kisiasa hazihusiani na misiba kama vile makamanda wa Chadema walivyokuwa wakimuombea kifo Waziri Mbawala jana, leo kwangu kesho kwako.
Usisahau kumeza dawa.
 
Ndio maana tunawaomba polisi wachunguze kwa karibu sana hii ajali, nina wasi wasi sana na hawa chadema, wako tayari kufanya lolote hawa, hakuna tofauti kati yao na alshabaab
Wewe ni bingwa wa kuropoka! Hata sijui unapata nini kwa hizo kauli unazozitoa.
 
Ndugu zangu watanzania Ajali za barabarani Mara nyingi zinasababishwa na sisi wenyewe! Sisemi hivi kuwasimanga wahanga wa ajali hapana lengo ni kupeana elimu ili wengine tujifunze! Barabara zetu hasa Hizi kuu madereva wake wengi wanajijali wao tu!! Ni bora kiss folia bus au gari kubwa kuweka gari ndogo Kama GX100 barabaran ni kuyaweka rehani maisha!! Kosa kidogo tu gari inaacha njia!
 
Poleni sana wafiwa.

Baada ya yote, sisi wote ni watanzania. Tofauti zetu kisiasa hazihusiani na misiba kama vile makamanda wa Chadema walivyokuwa wakimuombea kifo Waziri Mbawala jana, leo kwangu kesho kwako.
Kama mimi ninavyokuombea wewe kidudu mtu
 
Nimesoma michango ya wana JF wengi pamoja na pro-Chadema lakini nashangaa hakuna hata pro-Chadema mmoja aliyempa pole Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe.
 
Back
Top Bottom