Plate no ya gari plsss
Poleni sana wafiwa.
Baada ya yote, sisi wote ni watanzania. Tofauti zetu kisiasa hazihusiani na misiba kama vile makamanda wa Chadema walivyokuwa wakimuombea kifo Waziri Mbawala jana, leo kwangu kesho kwako.
Naungana na wewe kwa kumpa pole Mwenyekiti wetu (Freeman Mbowe) lakini naona unataka kuleta siasa wakati wa majonzi! au niulize hayo maneno hapo kwenye red yana maana gani?Pole sana Mwenyekiti wetu kwa kufiwa na dada yako, mungu ni mwema, hakuna atakayezuia mabadiliko ambayo ni mkono wa mungu bila kukutana nao mkono huo, najua ni mungu amemwita Grace, apumzike kwa Amani.
Ndio maana tunawaomba polisi wachunguze kwa karibu sana hii ajali, nina wasi wasi sana na hawa chadema, wako tayari kufanya lolote hawa, hakuna tofauti kati yao na alshabaab
Nadhani mwenyekiti wako anaisoma hiiYeyote atakayejiunga na magamba au kufaidika nao lazima afe mapema kwani yeye kufanya hivyo anashirikiana na shetani..
Grace Mbowe mwanamama aliyedaiwa humu Jamvini kuhamia CCM wilayani Hai Amefariki kwenye ajali mbya iliyotokea Kabuku mkoani Tanga mapema asbuhi hii.
Tutaendelea kuwajuza zaidi.
Nadhani mwenyekiti wako anaisoma hii
Poleni sana wafiwa, BWANA awafariji, awape nguvu.
Mchawi na Gaidi Mwigulu Chemba hayupo nchini ajipatie umaarufu?!
Acheni uzushi ina maana mtu akuwa adui wa Mbowe au Chadema anaishi milele!??? Kifo hakichagui chama, hadhi, dini au kabila . Kila mtu lazima siku moja ata R.I.Pasingeweza kuishi muda mrefu na vile alikuwa na siri nyingi za chadema na mbowe ,yamemkuta ya regia mtema,kibanda na chacha wangwe ni vigumu kutoka kwa mbowe au kupambana naye salama
Huyu alikuwa gamba ama!
Kishu, toka kwenye majitaka njoo huku kwenye real world! Toka kishu, kishu toka plz, am crying for you plz!
Vyama pembeni, poleni poleni sana familia ya Mh. Mbowe kwa kumpoteza dada.
RIP GRACE MBOWE.
Acheni uzushi ina maana mtu akuwa adui wa Mbowe au Chadema anaishi milele!??? Kifo hakichagui chama, hadhi, dini au kabila . Kila mtu lazima siku moja ata R.I.P