Grace Mbowe afariki ajalini - Kabuku, Segera - Tanga

Grace Mbowe afariki ajalini - Kabuku, Segera - Tanga

Joined
Jul 27, 2013
Posts
29
Reaction score
5
Kuna ajali mbaya imetokea asubuhi hii eneo la Segera ambapo gari aina ya GX100 limepinduka na kuuwa watu watatu ambao walikuwa abiria wa gari hilo.

Card ya gari inasemekana ina jina la mmiliki aitwae Grace Aikaeli Mbowe.

Nitawapa taarifa kamili baadaye.

------
Grace Mbowe mwanamama aliyedaiwa humu Jamvini kuhamia CCM wilayani Hai Amefariki kwenye ajali mbya iliyotokea Kabuku mkoani Tanga mapema asbuhi hii.

Tutaendelea kuwajuza zaidi.
9892981_orig.jpg
 
Grace Mbowe mwanamama aliyedaiwa humu Jamvini kuhamia CCM wilayani Hai Amefariki kwenye ajali mbya iliyotokea Kabuku mkoani Tanga mapema asbuhi hii.

Tutaendelea kuwajuza zaidi.
 
Pole sana Mwenyekiti wetu kwa kufiwa na dada yako, mungu ni mwema, hakuna atakayezuia mabadiliko ambayo ni mkono wa mungu bila kukutana nao mkono huo, najua ni mungu amemwita Grace, apumzike kwa Amani.
 
Maisha ni mapito jamani!

Tusijisahau hapa duniani.

Pumzika kwa amani mwenzetu!
 
Poleni wafiwa Mungu aziweke roho za marehemu mahala pema amen !
 
Mwezi huu ajali zimekua nyingi sana Mungu atusaidie,pole kwa wafiwa wote...i pray wasiwe wote kutoka familia moja
 
Kiuhalisia mwezi wa tisa unaitwa ni mwezi wa shetani
mabalaa yote hutokea mwezi huu, mwezi huu huwa una vifo vingi sana
 
Poleni sana wafiwa.Madereva nendeni mwendo mzuri.kuweni makini barabarani.Tumepoteza wa Tanzania wenzetu wengi,inasikitisha.Hakika sisi ni wa Mwenyeenzi Mungu,na kwake tutarejea.
 
Dada yake na mbowe pamoja na mtu mwingine ambae bado sijajua ni nani wapata ajali na kufariki dunia na majerui wamepelekwa hospitali.

Bwana ametoa na bwana ametwaa jina la bwana lihimidiwe'

tutaendelea kuwapa taharifa zaidi.
 
Wapi walikopatia ajali hebu fafanua hueleweki hata kidogo.
 
Ajali imetokea wapi?lini?imehusisha gari gani?hebu funguka acha kuwaweka watu roho juu.
 
... ....Kamanda poleni sana.....endelea kutupa update ...... ...Asante kwa taarifa.....
 
Poleni sana wafiwa.

Baada ya yote, sisi wote ni watanzania. Tofauti zetu kisiasa hazihusiani na misiba kama vile makamanda wa Chadema walivyokuwa wakimuombea kifo Waziri Mbawala jana, leo kwangu kesho kwako.
 
Back
Top Bottom