Grace Mbowe afariki ajalini - Kabuku, Segera - Tanga

Grace Mbowe afariki ajalini - Kabuku, Segera - Tanga

Poleni sana wafiwa.

Baada ya yote, sisi wote ni watanzania. Tofauti zetu kisiasa hazihusiani na misiba kama vile makamanda wa Chadema walivyokuwa wakimuombea kifo Waziri Mbawala jana, leo kwangu kesho kwako.

umenena!
 
Kuna ajali mbaya imetokea asubuhi hii eneo la Segera ambapo gari aina ya GX100 limepinduka na kuuwa watu watatu ambao walikuwa abiria wa gari hilo.Card ya gari inasemekana ina jina la mmiliki aitwae Grace aikaeli Mbowe. Nitawapa taarifa kamili baabaye.
Ni Yule aliyejiunga CCM?
Mungu amulaze mahali pema
9892981_orig.jpg

DADA wa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Grace Mbowe​
 
Poleni sana wafiwa.

Baada ya yote, sisi wote ni watanzania. Tofauti zetu kisiasa hazihusiani na misiba kama vile makamanda wa Chadema walivyokuwa wakimuombea kifo Waziri Mbawala jana, leo kwangu kesho kwako.

Ni kweli, tukifika hapa tunaungana, umoja wetu ni zaidi ya siasa, Mungu awape faraja wafiwa
 
Poleni sana.

Mleta mada ungerudi ujibu hoja kama
wachangiaji walivyouliza ili kupata ufafanuzi.
 
Jana usiku Mbarawa, waziri wa Sayansi Mawasiliano na Teknolojia amenusurika kufariki akiwa njiani kuelekea Bukoba kikazi. Wengi wamejeruhiwa akiwepo Mkurugenzi wa TTCL kanda ya Ziwa kamanda Mabula. Ajali haiangalii chama wala wadhifa. Waliofariki Mungu awaweke mahali wanapostahili na walionusurika Mungu awape uponyaji
 
Ndg yangu Criss umebadilika sana. Hongera kaka.
Mimi sio kama makamanda wanaochekelea ajali za wana CCM na kuwaombea wafe.

Lakini pia nawaomba polisi wachunguze mazingira ya hii ajali, isije ikawa ya Chacha Wangwe tena, si unajua dada alihama chadema na kujiunga na CCM?????
 
Jana usiku Mbarawa, waziri wa Sayansi Mawasiliano na Teknolojia amenusurika kufariki akiwa njiani kuelekea Bukoba kikazi. Wengi wamejeruhiwa akiwepo Mkurugenzi wa TTCL kanda ya Ziwa kamanda Mabula. Ajali haiangalii chama wala wadhifa. Waliofariki Mungu awaweke mahali wanapostahili na walionusurika Mungu awape uponyaji
Na mkachekelea sana hapa.
 
roho za marehemu zipate pumziko mahali panapostahili. Ameeen!!
 
kuna ajali mbaya imetokea asubuhi hii eneo la segera ambapo gari aina ya gx100 limepinduka na kuuwa watu watatu ambao walikuwa abiria wa gari hilo.

Card ya gari inasemekana ina jina la mmiliki aitwae grace aikaeli mbowe.

Nitawapa taarifa kamili baadaye.

------

9892981_orig.jpg

apepe.
 
Back
Top Bottom