Grace Mbowe afariki ajalini - Kabuku, Segera - Tanga

Grace Mbowe afariki ajalini - Kabuku, Segera - Tanga

poleni sana wafiwa.

Baada ya yote, sisi wote ni watanzania. Tofauti zetu kisiasa hazihusiani na misiba kama vile makamanda wa chadema walivyokuwa wakimuombea kifo waziri mbawala jana, leo kwangu kesho kwako.

mkuu hadi kwenye msiba unaingiza siasa?
Ungeingiza na kwenye tanzazo lako la biashara pia tujue moja!
 
Yaani cku ya leo ni majanga tu kwa7bu nimepokea misiba mi3.wa kwanza classmate wangu primary xul ameondoka na wapili classmate wangu wa facult of humanities and social science(fahe)kaondoka leo watatu ni huyu dada yake mbowe.mungu awafariji wafiwa wote ameni.
 
Back
Top Bottom