Eddo Sambai
JF-Expert Member
- Aug 1, 2013
- 2,412
- 1,928
Pole sana wafiwa wote.
ILa ilishanenwa " MAKATAA PEMA PABAYA PANAMUITA"
Alitoha chadema akaamia ccm
ILa ilishanenwa " MAKATAA PEMA PABAYA PANAMUITA"
Alitoha chadema akaamia ccm
Huyu Mama amekufa na jambo zito kuhusu chadema, Nina mashaka na ajali hii.
watu wengine kama wachawi.....Kwa nini kahama chadema ndiyo kafa?
grace alipojiunga tu na watu wa kafara nilijua hawezi kudumu.wapi salome mbatia.kolimba kombe mahinda malima ni wengi kwa kuorodhesha.
mkuu, si kila ajali inatokana na uzembe wa madereva. ajali nyingine zinakuwa za kupangwa kama ilivyokuwa ya marehemu chacha wangwe. naunga mkono wazo la chris Lukosi
sure mkuu. halafu kifo cha grace kinafanana kwa kiasi kikubwa na cha chacha wangwe
Kwa nini kahama chadema ndiyo kafa?
Ndio maana tunawaomba polisi wachunguze kwa karibu sana hii ajali, nina wasi wasi sana na hawa chadema, wako tayari kufanya lolote hawa, hakuna tofauti kati yao na alshabaab
Kwa nini kahama chadema ndiyo kafa?
Wewe Christopher lukosi ni mnafiki sanaaa...acha kuleta unafiki hadi kwenye misiba.RIP mama yetu grace mbowe.Poleni sana wafiwa.
Baada ya yote, sisi wote ni watanzania. Tofauti zetu kisiasa hazihusiani na misiba kama vile makamanda wa Chadema walivyokuwa wakimuombea kifo Waziri Mbawala jana, leo kwangu kesho kwako.