TIQO
JF-Expert Member
- Jan 8, 2011
- 13,786
- 2,104
Huna akili
Tutegemee magamba kuuteka msiba huu na kuwa na nguvu kuliko mfiwa Freeman Mbowe
Huna akili
Vielelezo vinasema ajali zimeongezeka. Mtanzania anakupa majibu ya sababu za ajali, kwamba "ni mwezi wa shetani."
Unajua, wengine labda tuna ka bahati mbaya fulani ka kutembelea kidogo nchi za wenzetu za waliopiga hatua, sasa wanapokuwa wanaongelea takwimu zimeonyesha ajali zime spike mwaka huu, au mwezi huu, huwezi kusikia hata kidogo, hata siku moja, katika nchi ya watu milioni mia moja, huwezi kusikia hata kiumbe kimoja kinakwambia "ni mwezi wa shetani." Kwa hiyo wengine tukisikia hayo hushtuka.
Sasa unapokuwa na jamii ya watu wa aina hii, wenye ma imani na mapokeo ya ajabu ajabu kama haya, jamii ya kizazi ambacho bahati mbaya hatukupata elimu nzuri, then huwezi kupunguza ajali, huwezi kupiga maendeleo ya infrastructure safety, huwezi kufanya chochote kama nchi. Mchangiaji mmoja mwenye imani kali, Max Shimba, huuliza, kama wewe huna imani then inakusumbua nini mpaka kuhangaika kujaribu ku disprove na kupinga imani za wengine za mamungu na mashetani ambayo unasema hayapo anyway?
Well, ni mambo kama haya sasa, yani ma imani haya yanatu-affect wote kama taifa. Badala ya kujiuliza kiweledi tufanye fanye fanyeje tupunguze ajali, tuongeze usalama barabarani, tuepuke vifo vinavyozuilika, Mtanzania anakwambia mwezi wa tisa "ni mwezi wa shetani." Nothing short of ridiculous.
Kwa lipi?
Jina lake lihimidiwe kwa wale waliopona au kwa wale waliokufa au kwa kuumba watu ili waje wafe kikatili kwenye ajali au ni kwa lipi hapa hasa hasa tunalotaka jina la bwana lihimidiwe kwalo? Kwa nini atoe halafu atwae kikatili kwa watu kuchomwa na mavyuma mazito machoni na shingoni na sehemu za siri na midomoni mpaka wafe? What's his point? Ahimidiwe kwa lipi?
Then there is no point ya kuwa makini.
Huwezi kutuambia madereva twende mwendo mzuri, tuwe makini, halafu unasema sisi ni wa Mungu na kwa Mungu tutarejea. Inakuwa hakuna faida ya kuwa makini, why bother?
Manake kwa Mungu tutarejea anyhow!
One of these days tuwe makini tusiwe makini Mungu atatupangia kifo cha kikatili na cha kishetani barabarani anyhow! Na ni kitu chema kabisa kufa kikatili kwa mipango ya Mungu kwa sababu kazi ya Mungu haina makosa!
Huyu Mama amekufa na jambo zito kuhusu chadema, Nina mashaka na ajali hii.
Huyu Mama amekufa na jambo zito kuhusu chadema, Nina mashaka na ajali hii.
Huyu Mama amekufa na jambo zito kuhusu chadema, Nina mashaka na ajali hii.
Huyu Mama amekufa na jambo zito kuhusu chadema, Nina mashaka na ajali hii.
Huyu Mama amekufa na jambo zito kuhusu chadema, Nina mashaka na ajali hii.
huyu lazima atakuwa aliondoka na siri nzito ndani ya CDM.
ukifuatilia kwa undani unaweza kukuta alikuwa mbioni kugombea kiti fulani CCM baada ya kushawishiwa kuhamia CCM sasa mhhh! Pole kaka F.A MBOWE kwa kuondokewa na dada yote ni mipango ya muumba.
ukifuatilia kwa undani unaweza kukuta alikuwa mbioni kugombea kiti fulani CCM baada ya kushawishiwa kuhamia CCM sasa mhhh! Pole kaka F.A MBOWE kwa kuondokewa na dada yote ni mipango ya muumba.
Ndio maana tunawaomba polisi wachunguze kwa karibu sana hii ajali, nina wasi wasi sana na hawa chadema, wako tayari kufanya lolote hawa, hakuna tofauti kati yao na alshabaab
Liccm limoja linapokufa hata malaika wanashangilia, huwa sisikitishwi na kifo cha liccm lolote lile kwani maccm yote yameshapoteza ubinadamu akitoka Lucifer wao ndio wanafuatia.
Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe, tunakuomba ukatishe ziara yako Denmark rudi nyumbani umzike dada yako hata kama mlikuwa mmekosana yeye kurudi CCM.Kuna ajali mbaya imetokea asubuhi hii eneo la Segera ambapo gari aina ya GX100 limepinduka na kuuwa watu watatu ambao walikuwa abiria wa gari hilo.
Card ya gari inasemekana ina jina la mmiliki aitwae Grace Aikaeli Mbowe.
Nitawapa taarifa kamili baadaye.
------
![]()