Godbless Lema avuliwa ubunge

Godbless Lema avuliwa ubunge

Status
Not open for further replies.
hiki ni kitanzi kwa ccm, itawalazimu kutoa hukumu sawa na hii kwa jimbo la segerea, kigoma mjini, shinyanga etc.. chadema inauhakika wa kubeba majimbo zaidi ya 10
 
Mbona hukumu ilioyotolewa na kosa lililokuwa linajadiliwa ni tofauti. Kwani kumkashifu mtu ni sawa na kuiba kura.

Kama ni kosa la kukashifu angefunguliwa kosa la kuzalilisha na hilo halihusiani na ubunge wake,

Nafikiri mahakama hapa ilikuwa inachanganya mambo.
 
Lema ni rais wa ARUSHA,aibu nyingine ya CCM inakuja tena kubwa sana,kwa ARUSHA hata CHADEMA waweke mbwa harafu CCM waweke MAWAZIRI wao wote ni LAZIMA CHADEMA ishinde
 
Lema amepigwa chini. Reasoning ya jaji inaonyesha alihongwa. The way forward ni kwenda Court of Appeal. Hata hivyo ccm wahangaika bure maana hata uchaguzi ukirudiwa leo watapigaragazwa kwa mbali
Hapo naona wameamua arusha iwe Benghazi/ T. Square ya Misri.
 
Wananchi tuwe wastahamilivu na watulivu kwani wewe unao ndugu wangapi ambao wamezulumiwa? Msiingize vyama vingine katika hiyo kesi. Kama ni makosa yake basi wacha aadhibiwe na tusubiri Makongoro nae itakuwaje kwani naye kesi inanguruma mahakamani
 
Wananchi tuwe wastahamilivu na watulivu kwani wewe unao ndugu wangapi ambao wamezulumiwa? Msiingize vyama vingine katika hiyo kesi. Kama ni makosa yake basi wacha aadhibiwe na tusubiri Makongoro nae itakuwaje kwani naye kesi inanguruma mahakamani
Huwezi ku'separate kesi ya Lema na vyama vingi, maana vyama vingi ndivyo vinavyomla Lema!
Utafananishaje ishu hii na ndugu wa mleta post wa huko Igungulugwa, na public figure kama Lema?
Unaota mchana huu eeh?...Au huko uliko sasa hivi ni saa 7 za usiku!
 
Wembe gani!
Mkitaka CDM ifutike mumcague agombee tena! Wale madiwani 5 wa CDM waliofukuzwa tutawatumia vyema this time maana walikuwa na bifu na LEMA


Sasa mbona kama inaonyesha unamuogopa Lema! nakuhakikishia yule mama hatathubutu tena kushindana na Lema. kama unabisha bisha! Na hao madiwani watashindwa wote hamna hata mmoja atakayeshinda
 
wale wana bifu na Lema....sisi tuna bifu nao.....hebu niambie wataongea na mwananchi gani wamshauri asimchague Lema.....?
Kutembea mtaani yenyewe ilikuwa tatizo....ndio leo wafanye kampeni...?....
fikiria mara mbili jombaaa........
Hata kunywa walikuwa wanakunywa MERU-INN, sasa hivi wote wanajificha Sekei, Twiga & Kaizari Club kule na !..tena wana kaunta yao peke yao!
 
nashindwa na mimi kuelewa adhabu ya kukashifu ni kuvuliwa ubunge?. kwanini watu kama wassira na lusinde wasivuliwe kama ndiyo hivyo?
 
Cha msingi hali ya amani iendelee kudumishwa lakini shughuli iwe ni kwa mtindo uleule kama ARUMERU yaani dawa ya mwizi ni kumkimbiza kimyakimya tu mwisho wa siku habari/shughuli yake ataipata kisawsawa. Kingine ni kuwa makini na hawa wala nchi yaani isije kukosewa hata kidogo mgombea wa CDM akawekewa pingamizi ambalo from no where linaweza kukubaliwa kiulaini tu. Nimefurahi pia kwamba Lema kakubaliana na matokeo. Swali langu ni je CCM inaweza kuhimili muziki wa wanaArusha?
 
Kwa hukumu ya leo imedhihirisha kuwa CHADEMA ni chama cha amani. Vurugu zote na umwagaji damu unasababishwa na wana SSM na dola ambao ni vibaraka wake. Hebu tujikumbushe yale mazishi ya wanachadema na wasio wanachadema waliokuwa wapita njia kipindi kile arusha, kuwa CHADEMA ilifanya mazishi yale bila hata askari kuwafuata na yalienda kwa amani kuanzia maandamano ya kubeba majeneza hadi viwanja vya unga limited na kumalizika kwa amani. Kumbuka uchaguzi wa URAIS wakati Dr. Slaa alishinda kwa mbali sana na matokeo kuchakachuliwa ya ubunge na udiwani katika majimbo mengi but aliwasishi watanzania wasilte fujo na amani ikawepo. Hata Arumeru mashariki jumapili ni kundi la vijana wa ssm walikuwa wanaleta fujo baada ya kuona vijana wa chadema wanalinda wizi wa kura. But big up msimamizi wa uchaguzi kwa kutenda haki. Ila sijui kama watakupa tena kazi maana uliapa kutenda haki hata baada ya vigogo fulani kutaka utangaze SSM imeshinda wakaaamuliane mahakamani!!!!!!!! Kweli I hate politics. Ndo maana tunaendelea kuwa poor, the poorest!!!
 
Lema anasema kuwa ameshakuwa anashawishiwa sana agombee kwa tiketi ya ccm, lakini amekuwa anakataa, ndiyo maana hasira za Ikulu zimemshukia kwa nguvu zote!

PJ hata Lema akachukue fomu ya CCM agombee Ubunge arusha hapo ndipo utajua CCM hawapendwi CCM itapata kula za mabalozi wake tuu na wale vihelehele wa CCM wote wa maslahi
 
.....yaani CCM wanawapa CDM umaarufu wa bure.......aisee CCM ni ma-zero kabisa.........sijui party strategists wao ni akina nani........please don't tell me..that..among them ni lijinga Lusinde........
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom