Godbless Lema avuliwa ubunge

Godbless Lema avuliwa ubunge

Status
Not open for further replies.
Hakika nimeshindwa kusoma kwa taarifa hii.Nimetoka mahakamani kwenye kesi yangu moja ambayo nilishtakiwa na hukumu ilitoka nimeishinda serikali.Nitakuja kuelezea mbele ya safari.Nimetoka kwenye kesi mbio kukimbilia laptop yangu kusikia kilichojiri mahakamani.Nakutana na breaking News lakini Mungu yupo upande wetu.
 
Kuna haja ya kubadilisha katiba kwa sababu we will put a lot of money that we could use for something else badala ya kuitisha uchaguzi, because Lema will win for sure, lakini CCM wanaweza kuwa wameweka njia ya kurudisha imani kwa wananchi kwa kushinda huo uchaguzi, chadema lazima wawe makini, but it was a sad moment reading this, na sasa mnyika and lisu, hii ni democracy ya aina Yake, only applicable in TZ, nchi maskini kinara duniani!
 
Poor him!

Rejao kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni, lakini kila siku huwa najiuliza, hivi wewe ni mtanzania kweli?
 
Alpha plan of Magamba: kampeni chafu zilizojaa matusi , rushwa ununuzi wa shahada za kupigia kura.
Bravo plan : wizi wa kura na kujaribu kuhonga wasimamizi na mawakala wa vyama pinzani
Charles company: kwa sababu ya umiliki wa dola kuvitumia vibaya vyombo vya haki kama mahakama kupindisha maamuzi ya wananchi .
Hiyo inaondoa maana nzima ya democrasia na chaguzi zinakuwa kiinimacho

Fedha fedheha mkuu.
 
Ccm hata ikisimamisha jiwe itashinda Lema hajafanya chochote tangu awe mbunge zaidi ya sifa za kijinga za kukataa dhamana na kupelekwa mahabusu!
Wewe unaota mchana, kwa Arusha niijuavyo mimi, CCM hawashindi hata wakatambike!
 
tangu mwanzo nilishangazwa sana na magamba kukubali ghafla kushindwa jimbo la arumeru mashariki, nilijua kuna jambo linatafutwa kisayansi hapo. wameshapata kauli ya kujibu tayari, loh!
''mbona arumeru tumelubali? mbona segerea pia tumekubali??'' jimbo la arusha lina siri nzito sana, tangu Lema achaguliwe JK sidhani kama alishawahi kufika arusha na kuongea hata na makatibu wa CCM wilaya, achilia mbali wananchi. someni alama wakuu.

CDM hatuwez kukubali kirahis hata siku moja!
 
Kutengua uchaguzi kwa jimbo la Arusha Mjini ni ufujaji wa rasilimali za umma, ni wazi kuwa CDM watachukua, Je kamanda Lema ataruhusiwa kugombea tena?
 
[TABLE="class: arc90_altrows-Blue"]
[TR]
[TD="bgcolor: #B3D5E6, colspan: 4"]ARUSHA
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #B3D5E6, colspan: 4"]JIJI LA ARUSHA
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #B3D5E6, colspan: 4"]ARUSHA MJINI
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Candidate
[/TD]
[TD="width: 20%, bgcolor: #B3D5E6"]
Political Party
[/TD]
[TD="width: 20%, bgcolor: #B3D5E6"]
Number of Votes
[/TD]
[TD="width: 15%, bgcolor: #B3D5E6"]
Percentage Votes
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%"]LEMA GODBLESS JONATHAN
[/TD]
[TD="width: 20%"]
CHADEMA
[/TD]
[TD="width: 20%"]56,196
[/TD]
[TD="width: 15%"]57.68
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%"]BATILDA DR. SALHA BURIAN
[/TD]
[TD="width: 20%"]
CCM
[/TD]
[TD="width: 20%"]37,460
[/TD]
[TD="width: 15%"]38.45
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%"]YUSSUPH BAALAWAY GHARIB
[/TD]
[TD="width: 20%"]
CUF
[/TD]
[TD="width: 20%"]2,022
[/TD]
[TD="width: 15%"]2.08
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%"]JOSEPH MARK MAFUATA
[/TD]
[TD="width: 20%"]
MAKIN
[/TD]
[TD="width: 20%"]456
[/TD]
[TD="width: 15%"]0.47
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%"]MACMILLIAN ELIFATIO LYIMO
[/TD]
[TD="width: 20%"]
TLP
[/TD]
[TD="width: 20%"]179
[/TD]
[TD="width: 15%"]0.18
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%"][/TD]
[TD="width: 20%"][/TD]
[TD="width: 5%"][/TD]
[TD="width: 15%"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 10%"]SPOILT VOTES
[/TD]
[TD="width: 20%"][/TD]
[TD="width: 20%"]1,115
[/TD]
[TD="width: 15%"]1.14
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 10%"]TOTALS
[/TD]
[TD="width: 20%"][/TD]
[TD="width: 20%"]97,428
[/TD]
[TD="width: 15%"]100
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

uchaguzi ukirudiwa hizi kura zitaongezeka mara dufu kwa chadema na kupungua mara dufu kwa magamba, mfano wa arumeru na igunga!
 
Hello wana-Jf:
Ccm wameendelea kuonyesha matumizi mabaya ya dola.Lkn kwa kuwa tunaamini ukweli utasimama,acha uchaguzi urudiwe ili Ccm waumbuliwe.
 
Poa sana Tanzania ndiyo nchi ya haki Lema kavuna alichopanda bado Mnyika.Jimbo tutachukua kwa mbinu zote

Matahira utawajua tu huyu naye ni miongoni mwao!,ccm hamna njia mpya yeyote ya kushnda pipoz pawa!Mbinu zenu zote zilishapitwa na wakati kama mlivyopitwa na wakat ninyi magamba hamna jipya,lema anarud mjengoni kama kawa.Magamba hamtaambulia kitu,na mmeshakufa tayari bado kuwazika na mtazikwa 2015
 
Wakuu tetesi ni kwamba hilo jimbo litakuwa open kwa mda usiojulikana,na wanataka wa make sure wamemuweka Lema nje ya siasi kwa mda mrefu zaidi hata akirudi tena asiwe na nguvu tena ya siasi kama sasa hivi,na wanajisifia wamefanya hivyo kwa makusudi kumpa chance ya yeye kugombea tena ila wakishaona chadema wamempa tena agombee kuna vipingamizi watatoa,so wakuu wa Chadema chezeni part yenu vizuri sana hawa CCM wanaleta ujinga hapa......
 
hilo jimbo linabaki kuwa la CDM milele hata kama magamba yataendelea kuchakachua matokeo kupitia mahakama
 
Hii nchi nadhani inaongoza kwa chaguzi ndogo! lkn kuenguliwa kwa Lema ni mtaji kwa CDM sababu hata uchaguzi urudiwe kesho CDM TUTASHINDA!
 
Wakuu tetesi ni kwamba hilo jimbo litakuwa open kwa mda usiojulikana,na wanataka wa make sure wamemuweka Lema nje ya siasi kwa mda mrefu zaidi hata akirudi tena asiwe na nguvu tena ya siasi kama sasa hivi,na wanajisifia wamefanya hivyo kwa makusudi kumpa chance ya yeye kugombea tena ila wakishaona chadema wamempa tena agombee kuna vipingamizi watatoa,so wakuu wa Chadema chezeni part yenu vizuri sana hawa CCM wanaleta ujinga hapa......

Nafikiria hivyo pia. Sidhana kama CCM ni wajinga kiasi hicho. Either walalamikaji watakata rufaa kuomba Lema asigombee tena kama njia ya ku-delay uchaguzi. Au Wanaweza kumwacha Lema agombee tena halafu CCM watoe pingamizi. Au wanaweza kuchelewesha uchaguzi kwa njia yoyote ile.
 
Uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii...ccm ni ugonjwa mpyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.....ni hatari kuliko yanayotutesa uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.MY LORD GOD REDEEM TANZANIA FROM THIS SATANIC HAND ...Uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii...lolololooooooooooooooooooooooooooooo.......ccm waje hata na mkapa asimame kama mgombea never ever will win the post.........................
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom