Preta kesho maandamano...si umepata sms eeh?...kama kawa pale NMC, tujadili hatima yetu wanaaArusha na wanademokrasia kwa ujumla!hapa ndio napishana na gari la u.p.u.p.u...limekosa wateja linaenda kulala.....ha ha ha....hawashwi mtu leo....kudadadeki...
By [B said:MAGAMBA MATATU[/B]] Baada ya mahakama ya Arusha kumvua ubunge aliyekuwa mbunge wa Arusha mh Lema, pia mahakama imemwambia sheria inamruhusu kugombea tena bila kipingamizi na ametakiwa kulipa gharama zote za kesi iliyoendeshwa, na LEMA kakubali hukumu na kufurahi kuwa mahakama imemruhusu kugombea na kasema atalipa hizo gharama za kesi.
SOURCE: WANDISHI WA HABARI WA MAGIC FM WALIOKUWA MAHAKAMANI ARUSHA.
Hata kunywa walikuwa wanakunywa MERU-INN, sasa hivi wote wanajificha Sekei, Twiga & Kaizari Club kule na !..tena wana kaunta yao peke yao!
hapa ndio napishana na gari la u.p.u.p.u...limekosa wateja linaenda kulala.....ha ha ha....hawashwi mtu leo....kudadadeki...
Preta kesho maandamano...si umepata sms eeh?...kama kawa pale NMC, tujadili hatima yetu wanaaArusha na wanademokrasia kwa ujumla!
Usisahau ile laptop yetu ya kazi!
Formula ni ileile, piga kura linda kura.
Wakuu tetesi ni kwamba hilo jimbo litakuwa open kwa mda usiojulikana,na wanataka wa make sure wamemuweka Lema nje ya siasi kwa mda mrefu zaidi hata akirudi tena asiwe na nguvu tena ya siasi kama sasa hivi,na wanajisifia wamefanya hivyo kwa makusudi kumpa chance ya yeye kugombea tena ila wakishaona chadema wamempa tena agombee kuna vipingamizi watatoa,so wakuu wa Chadema chezeni part yenu vizuri sana hawa CCM wanaleta ujinga hapa......
Nafikiria hivyo pia. Sidhani kama CCM ni wajinga kiasi hicho. Either walalamikaji watakata rufaa kuomba Lema asigombee tena kama njia ya ku-delay uchaguzi. Au Wanaweza kumwacha Lema agombee tena halafu CCM watoe pingamizi. Au wanaweza kuchelewesha uchaguzi kwa njia yoyote ile.
CCM ni chama cha wahuni,wajinga,mazezeta,mafisadi na majambazi waliokubuhu.
Hayo yote yanawezekana maana wao ndiyo wameshika makali. Wanaweza kuchelewesha Uchaguzi kwa kudai kuwa hawana fedha za kuendeshea Uchaguzi mdogo wa Jimbo hili au wakaweka pingamizi pindi Lema atakapoamua kugombea tena. Ilimradi tu ni hujuma za kutaka kumkomoa Lema na CHADEMA.
Mpaka sasa kuna kesi nyingi tu za kupinga Ubunge wa Wabunge wa CDM sehemu mbalimbali nchini na inaelekea kuwa Mahakama zimepewa maelekezo maalumu na Serikali ya Magamba kutengua Ubunge wowote wa CHADEMA ulioko Mahakamani! Yote hii ni kujaribu kupunguza idadi ya Wabunge wa CDM Bungeni na hivyo kutaka kudhoofisha nguvu ya CDM ndani na nje ya Bunge. Huo ndo mpango kamili.
CDM lazima ichukue hatua za kimkakati kuzuia ujinga huu.Vinginevo mpaka 2015 Wabunge wa CDM wanaweza kuwa wamepunguzwa zaidi ya nusu na hakutakuwa na kurudia Chaguzi hizo kwa kisingizio cha ukata wa Serikali which is not true. Wanaweza kuruhusu chaguzi kurudiwa pale tu ambapo wana uhakika wa KUSHINDA KWA KUIBA KURA na si vinginevo.
Mahama?? Kwani huyo Jaji Kateuliwa na nani??Mahakama