Godbless Lema avuliwa ubunge

Godbless Lema avuliwa ubunge

Status
Not open for further replies.
Two things wakuu. Walipanga kufanya hila na hujuma Arumeru Mashariki ili washinde huku pia wakituwinda Arusha Mjini ili wafanye kama walivyofanya. Thinking yao ikiwa ni kulenga total demoralization kwa chama mbadala CHADEMA na upinzani wenye nguvu kwa ujumla dhidi ya Watawala. Arumeru Mashariki ikashindikana.

Bahati mbaya risk calculation zao ni mbovu sana. Hazifanyia kazi sawasawa kwa sababu wamefika mwisho. Huwezi kutegemea mahakama kushinda ubunge Arusha Mjini dhidi ya CHADEMA. Watu wa Arusha wanaamini kwa dhati katika hii struggle. Wanakiamini na kukipenda chama chao. Wako pamoja na mbunge wao. Wasubiri waone.
Makene

Mimi nililiona hilo mapema kabisa walitaka wapige double blow, imeshindikana.Kitu wasichojua ni kwamba wanafanya publicity ya bure kwa CDM. CDM wasiwe wanyonge kwa hili kwa sababu siasa si kukaa ofisini siasa ni kuwa karibu na wananchi kuongea nao. Hasara za kuvuliwa Lema kichama ni CCM na serikali yake kwa sababu inazidi kudumaza maendeleo ya wana Arusha hivyo kuongeza hasira za wananchi dhidi ya serikali ya CCM.

Ushauri wangu kwa chama na Lema asikate rufaa kwani miezi mitatu si mingi, kwa sababu nina uhakika uchaguzi ukirudiwa atashinda vizuri ya alivyofanya last time. Hii itakuwa ni advantage kwa CDM, itavunja rekodi yake kwa kushinda chaguzi ndogo mfululizo, kwa hiyo watu watazidi kukiamini.

Ushauri mwingine ni kuwa, strategically kampeni za Arusha mjini zitajipiga zenyewe, nguvu kubwa (50-60%) kama ni kwenye budget au mali watu ipelekwe kwenye ulinzi wa kura, vituo vijulikane mapema na wapiga kura wajulikane mapema, nafikiri kama ni mtaji wa vijana basi Arusha mjini mnao mkubwa kuliko Arumeru Mashariki.
 
Hapana, Lema asikate rufaa mahakamani bali kwa wananchi!
CCM haiwezi kwa vyovyote kushnda arusha mjini!
Tukisema akate rufaa still akishnda atakuwa mbunge,lakini tukirud kwenye uchaguzi itakuwa fundisho kwa magamba kuibua kesi za kijinga na mahakama kutumika kisiasa.
 
Makene

Mimi nililiona hilo mapema kabisa walitaka wapige double blow, imeshindikana.Kitu wasichojua ni kwamba wanafanya publicity ya bure kwa CDM. CDM wasiwe wanyonge kwa hili kwa sababu siasa si kukaa ofisini siasa ni kuwa karibu na wananchi kuongea nao. Hasara za kuvuliwa Lema kichama ni CCM na serikali yake kwa sababu inazidi kudumaza maendeleo ya wana Arusha hivyo kuongeza hasira za wananchi dhidi ya serikali ya CCM.

Ushauri wangu kwa chama na kwa Lema asikate rufaa kwani miezi mitatu si mingi,kwa sababu nina uhakika uchaguzi ukirudiwa atashinda vizuri ya alivyofanya lasttime. Hii itakuwa ni advantage kwa CDM, itavunja rekodi yake ya kushinda chaguzi ndogo mfululizo, kwa hiyo watu watazidi kukiamini.

Ushauri mwingine ni kuwa, strategically kampeni za Arusha mjini zitajipiga zenyewe, nguvu kubwa (50-60%) kama ni kwenye budget au mali watu ipelekwe kwenye ulinzi wa kura, vituo vijulikane mapema na wapiga kura wajulikane mapema, nafikiri kama ni mtaji wa vijana basi Arusha mjini mnao mkubwa kuliko Arumeru Mashariki.
Mkuu, umesomeka vema....
 
Ni mawazo mazuri.

Lakini mtazamo kama huu wa kukiona CCM kama vile ni chama chenye mbinu nyingi, chenye "uwezo wa kipekee", chenye makali n.k., kiasi kwamba tunakiwa tunakiogopa, siyo mzuri. Halafu kibaya zaidi, kama tunafahamu hivyo, nini tunafanya? Je, tunaendelea kukubaliana na hali hiyo? Hivi mbona tunasahau kwamba sisi ndiyo wenye nchi!?! Inasikitisha kwa kweli.

Sidhani kama ni mtazamo chanya sana, kama sisi ambao "angalau" tuna mwanga mwanga kiasi, tunawaza hivyo, je wale ambao bado wako gizani kabisa, si wanakiona CCM kama mungu-chama!!

Kwa hali ya sasa CCM haina ujanja wowote, zaidi ya kutumia "uwoga" wa watanzania wengi, kama inavyojidhihirisha hapa JF mara kadhaa.

Mkuu mimi sijasema hivyo kwa kukiogopa chama tawala. Jambo la msingi hapa ni kwamba do not take anything for granted. Ni muhimu kuchukua precautions zote badala ya kwenda kichwa kichwa simply because unaamini kuwa the other party is weak.

Kuhusu Chadema ifanye nini sasa nimesema kwenye post yangu ya awali kuwa inabidi wanasheria wa Chadema waingie library kuchambue sheria zote husika kabla ya ku-make a conclusion ya kukata au kutokata rufaa. Hapa Chadema wanahitaji ushauri wa kisheria na sio ushauri wa kisiasa.
 
nini maji ya uhai....nakuja na maski na ovaroli.... M4C...
Wala usihangaike na overoli...kombati zetu ziko fiti kwa kazi yoyote baby!
mnyika.jpg
 
Hakuna haja ya rufaa, hakimu ni hao hao na mahakama za Tanzania ni hizo hizo, Uchaguzi urudiwe
 
Formula ni ileile, piga kura linda kura.

This time tutakuwa ndani 100M mazeeeeeee habanduki mtu na magari yote ya kubeba kura twayasindikiza bira ubishi tutalinda kona zote hadi wapiga kura kwani tunajinua wakazi wa maeneo yetu toka huko uje kupiga kura hapa tuakuchanachana fasterr.


 
Mi nilidhani akate rufaaa kwani:
  1. Hao hao CCM wanaweza kumgeuzia kibao baadaye kuwa anamakosa hatakiwi kugombea (sijui sheria inasemaje?
  2. Kwa sababu asipokata rufaa atakuwa amekubali kuwa alitukana
Ila sema kwa huyu jaji mganda nadhani akikata rufaa tena atatafutwa mganda aje amkandamize. Basi kutokana na igezo hapo juu, hakuna cha kukata rufaa bali uchaguzi urudiwe!
Lema kata rufaa kwa wananchi, tutakuchagua.
 
Taarifa Hii ya LEMA kuvuliwa Ubunge inasikitisha, Sababu hasa nini maana sikuwa nafuatilia Kesi yake. Hata hivyo hizi chaguzi mbona zinagharimu Taifa fedha nyingi! Kwani ni fedha za walipa kodi. Je uchumi wetu utakuwa kwa jinsi hii?:fear:
 
nitarudi kupiga kura arusha, nitapiga kura ya hasira thidi ya madhalimu ccm
 


Mimi nililiona hilo mapema kabisa walitaka wapige double blow,

Unless kuna linginge limejificha aliyewashauri CCM watumie hii strategy watakuwa walikosea ile mbaya. Kwa sababu sasa itawageukia na kuwa double blow kwao. Yaani ningependa sana kujua ni nani hasa aliwashauri CCM kutumia hii ill advised strategy.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom