Godbless Lema avuliwa ubunge

Godbless Lema avuliwa ubunge

Status
Not open for further replies.
Mh.Godbless Lema ndani ya miaka miwili tu, ameweza kufanya mambo makubwa lakini watu wamekuwa wakifikiri tofauti kwakuwa hawajui majukumu ya mbunge ni yapi...!
1.Godbless Lema Kupitia mradi wake wa ARDF ameweza kusomesha watoto na kulipia ada zaidi ya 1000, sidhani kama kuna mbunge ndani ya bunge la Tanzania amefikia rekodi hiyo..! na tena hana hata mfadhili zaidi ya yeye mwenye kujitolea pesa zake za ubunge ambazo alipewa kwaajili ya kununulia gari..!
2.Godbless Lema amekuwa kiongozi wa kwanza kwenda Gerezani na kujua kitu gani kinachoendelea Huko gerezani..,baada ya kusema bungeni manyanyaso wanayopata wafungwa, jinsi hata wafungwa wa kike wanaishi gerezani bila hata kupewa pedi...!
3.Godbless Lema ameweza Watanzania kujua jinsi gani kulivyokuwa na uozo jeshi la polisi, ambako watanzania wengi wemekuwa wakibambikiziwa kesi bila sababu za msingi...!

Jamani ni vigumu GODBLESS LEMA baada ya kufanyiwa mizengwe na CCM kwenye harakati zake za kuwatumikia wananchi..,mfano kwenye uchanguzi wa Meya mh.Mbunge alipigwa kama mwizi na polisi baada ya uchaguzi wa umeya kufanyika bila halali, na vile vile SERIKALI YA MAPINDUZI KWA MAKUSUDI walizuia MAANDAMANO YA CHADEMA ili POLISI KUINGILIA NA KUFANYA FUJO KWA KUPIGA MABOMU WANANCHI...!

CCM NDIO WANAPENDA FUJO NA MATUTSI, KWA KUTUMIA JESHI LA POLISI, NA WABUNGE WAO WAMEKUWA WAKITUMIA PESA KUWALAGHAI WANANCHI TOFAUTI NA MH.LEMA ANAPIGANIA HAKI, KULIKO KUMPA MTU ELFU KUMI ALAFU KESHO HANA KITU, KULIKO HAKI ITAMLINDA MTU MAISHA YAKE YOTE

Hakuna Mtanzania anaye hitaji nini kafanya Lema, ingekuwa tunahoji utendaji wa Viongozi CCM ingekuwa imekufa maana ndani ya miaka hamsini wamefanya vitu vidogo sana
 
Napenda kuuliza swali, hivi kama adhabu ya mbunge aliyetoa matusi kwenye kampeni ni kutenguliwa ushindi, je aliyetukana halafu akashindwa kwenye uchaguzi adhabu yake nini?

Reply



adam Mbugi
05/04/2012 3:01am



Pole lema. Tatizo letu hatuelezi sera za vyama vyetu. tumejaa matusi jukwaani na kuwadharirisha watu wengine.Andaeni sera na achana na siasa za kitoto za kupigana na kutoa matusi



 
Lema ni rais wa ARUSHA mjini hakuna wa kumtoa,harafu hata CHADEMA waweke mbwa harafu CCM waweke viongozi wao wote bado CHADEMA watashinda kwa kishindo.
 
Baada ya kuenguliwa ubunge wa Arusha,sasa bwana GODLESS LEMA anakabiliwa na pigo lingine kubwa ambalo wadadisi wa mambo wanaamini linaweza likamfanya ashindwe kutetea kiti chake na hivyo kushindwa kuingia bungeni! PIGO hilo linahusiana na yeye kuwaambia WANAARUSHA tangu achaguliwe miaka miwili iliyopita ameshawafanyia nini wanaARUSHA mpaka sasa? LEMA amekuwa akihaha huku na huko,kushiriki maandamano yasiyo na TIJA baada ya kujikita katika kuleta maendeleo na kutimiza ahadi, inadaiwa mpaka sasa lema hajafanya chochote arusha, utalii umeshuka kutokana na maandamano yake ya mara kwa mara,hili kwa kweli ni PIGO SANA KWAKE NA CHAMA KWA UJUMLA!
MYTAKE: KAMA CHADEMA WANAWEZA WAMSIMAMISHE MTU MWINGINE ARUSHA
CCM mmeshaanza kuhaha na kuanza kampeni kwamba Lema hafai, hiyo mbinu katumieni kwenye kampeni labda itwasaidia angalau msipate 0.
Msiwe na haraka, mziki mkubwa unakuja!!
 
Hata mumsimamishe Slaa, hampati kitu hapa. CCM tumejipanga kulichukua hili jimbo hata kwa bilion 900. Mtajibeba!!!

Kama ndo budget yenu Katika Ile three Trilion mtakuwa mmebakiza 1.2 trilion kwa kuwa mshatumia kama hivyo arumeru east na Igunga mnashindwa tena afu tunaelekea segerea mkiwa na 300! Come 2015 mtakuwa mnadaiwa kila mahali gademit
 
toyo
05/04/2012 1:06am



mmh jaman ila lemma kazidi amekaa kiugomvi ugomvi kila dakika.bora hata kama atagombea tena atakuwa amejifunza hawezi kutukana tena.kama vip arudi akaeendelee kuiba magari

Reply



SALUM EDWARD
05/04/2012 1:09am



KUMBE KASHFA ALIANZA MWENYEWE ALIYOSEMA LUSINDE YAMEMRUDIA

Reply



Peter Kulwa
05/04/2012 1:11am



Wananchi wa Arusha ninachowaomba tukatoe hukumu ya haki katika uchaguzi wa marudio.Haya yote ni matokeo ya katiba mbovu,Lema usikate tamaa tuko pamoja rudi kwenye uchaguzi tutakupa zaidi ya kura ulizopata mwaka 2010.Cha kushangaza mbona wahusika wakuu lowasa na burian hawakutonekana kutoa ushaidi wao kama yaliyosemwa yalikuwa ni uongo??? Huyu Jaji machozi ya wana arusha hayatapita bure, Kina Dito wako wapiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii



 
kama suala ni kurudia uchaguzi si bora mahakama isitoe hukumu ya kumwachisha Lema? maana ccm watakuwa wanafanya kazi kugeuza chapati
 
Lema alishajua ni jinsi gani kesi ilivyokuwa imepangwa na dhahiri uhamuzi ulikuwa ni mahakama kumpiga chini kwa vyovyote vile:

Akiongea via Star TV mara baada ya hukumu kutolewa Lema ameeleza yafuatavyo ktk kudhibitisha hilo.

1. Lema amesema; kabla ya kwenda mahakamani asubuhi amepitia ofisini kwake kama kawaida lkn alishangaa kukuta kundi la askari polisi zaidi ya 50 wakizunguka ofisi yake kana kwamba kuna jambazi wanamvizia- swala hilo limemfanya afikilie kwamba hao askari polisi tayari walikuwa na majibu juu ya hukumu na wakiamini kuwa haitawependezesha wapiga kura hivyo kuhamua kuweka ulinzi mkali.

2. Wakati wko Bungeni Lema alimtakia Waziri mkuu kwamba amesema uongo Bungeni; jambo ambalo lilimfanya Mh. Lukuvi amwambie Lema kwamba hana nidhamu na kwa vile kesi yake hiko Mahakamani basi watatafuta namna ya kumwadabisha.

3. Mh. Rais mwaka 2007 alimuita Lema na kumuomba agombee Ubunge jimbo la Arusha mjini kupitia tiketi ya CCM jambo ambalo Lema hakuliafiki na tangu siku hiyo mahusiano hayakuwa mazuri kati ya Lema na viongozi wakuu wa CCM.
4......

Kwa kauli yake Lema anasema hawezi kutishika na huu uhamuzi uliojaa mizengwe; kwa vile mahakama haijamuzuia kugombea tena, nafasi aliyonayo nayo ni kubwa kuendelea kuwatumikia wananchi wa Arusha. Lakini anashangaa kwanini Judiciary Machinery inaingiliwa na State Machinery.

Ni muda mfupi CCM itajutia maamuzi yake kupitia mahakama.
 
Ktika kuchangia mijadala juu ya kufutwa Ubunge kwa Godbless Lema imedhihirika kuwa hakuna utoa habari kamili.
Ili kumnufaisha kila mmoja anayetembelea JF ninaomba walioifuatilia kesi watoe habari:
Je, Lema alisema maneno yapi?
Je, maneno hayo aliyesema katika maeneo gani?
Je, mashahidi wa upande wa utetezi walikuwa na hoja gani ya kujitetea?

Naomba tukumbuke kuwa swala hili lina pande mbili yaani siasa na sheria. Hata hivyo mpaka sasa mijadala mingi imejikita kwenye siasa tena za kishabiki zaidi badala ya uchambuzi. Hivyo basi ndugu zetu wansheria nao waje watuchambulie priciples za torts zilivyotumika.


Ninaomba tuwe ki-habari na kiuchambuzi zaidi kuliko kishabiki. Hii ni kwasaabu pamoja na mengine yote, hii ni fursa kwetu kujifunza jambo/mambo. Tuitumie vizuri.
 
Ndeshimbirwa N.
05/04/2012 2:02am




Yasiofaa kusemwa mbele ya watoto yalitolewa ushahidi mahakamani na ndio yamemvua ubunge LEMA,. Ya Lusinde ilikuwa ni Remix tu wala CCM hawana matusi linajulikana hivyo.
Bado Mbeya, wananchi jitokezeni mumfungulie kesi Sugu na ANTIVIRUS yake.

Reply



Lema,Juniour
05/04/2012 1:31am



Ilaah wananchi wa A-Town Big up sana hamja leta fuja mlipo tajiwa hiyo hukumu safi sana (Tuta rudi na tuta shinda kwa kishindo kama Arumeru.)PeoplezzZ Power..

Reply



Mama Edna
05/04/2012 1:31am




"IWENI NA HEKIMA, VURUGU ZOTE ZA ARUSHA HUANZISHWA NA SERIKALI YENYEWE KWA KUTUMIA TAASISI ZAKE KUFANYA MAAMUZI MABOVU YASIYO NA TIJA KWA TAIFA. MUNGU WETU, UWE UPANDE WETU, NA UWAWEZESHE WANA CHADEMA KULIBEBA JAMBO HILI KWA BUSARA ILI KUSUDI BAYA LA CCM NA SERIKALI YAKE LA KULETA FUJO ARUSHA LISITIMIE.''

SERIKALI TUMIENI BUSARA,KILA KUKICHA VURUGU!



 
yan safari hii naenda kushona gwanda ni arusha tu mpaka kieleweke.naaga kabisa jamani naenda kwenye kampeni Arusha na sitaki malipo ni kwa pesa yangu.Mungu ibariki CHADEMA!Mungu mbariki LEMA!Peoples Powerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
 
Wembe gani!
Mkitaka CDM ifutike mumcague agombee tena! Wale madiwani 5 wa CDM waliofukuzwa tutawatumia vyema this time maana walikuwa na bifu na LEMA


wale wana bifu na Lema....sisi tuna bifu nao.....hebu niambie wataongea na mwananchi gani wamshauri asimchague Lema.....?
Kutembea mtaani yenyewe ilikuwa tatizo....ndio leo wafanye kampeni...?....
fikiria mara mbili jombaaa........

 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom