Shine
JF-Expert Member
- Feb 5, 2011
- 11,481
- 1,371
Kwahiyo na shangingi linarudi pia au?
are you sound mind?
Kwahiyo na shangingi linarudi pia au?
Nawashauri sisiem wasilete timu uwanjani, tuwachapa kinoma, alafu hiyo pr yetu itakuwa juu balaa!
Kwa wana Arusha ni kama vile wamepewa likizo ya muda mfupi lkn likizo ikiisha wataibukia mulemule kwenye M4C labda viwekwe vikwazo vingine:Hii ni zawadi ya pasaka kwa wana-Arusha.
Pole kwa chadema!!!!! Mimi si mwanachadema wala chama chochote lakini nadhani hapana shaka chadema watalirudisha jimbo lao,,,,,,,,wanakubalika sanaaa arusha nimeishi kule naona joto la kisiasa,,,, watu wa arusha huwaambii kitu zaidi ya people's power. Kikubwa wajipange, watafakari ni mgombea gani mzuri wanaweza muweka which i do not doubt maana wana stock ya kutosha. Mzee ndesamburo na timu yake waanza leo mchakato naamini ushindi ni wa chadema bado. Chama tawala kitadhalilika kwa mara nyingine hata kikisimamisha mgombea mchaga kuwazuga wananchi.
Haya tusubiri chaguzi zijazo maana tundu lissu, john mnyika nao wamekalia kuti kavu kwenye kesi zao,,,
MODERATORS pls biga ban huyu
Mkuu PakaJimmy,
Nilijua Lema atapigwa chini ushahidi wa wanaCCM ulikuwa mzito sana sijui kama ataruhusiwa kugombea walioko mahakamani tafadhali mtujuze kinachoendelea.