Godbless Lema avuliwa ubunge

Godbless Lema avuliwa ubunge

Status
Not open for further replies.
Angalisho liwekwe, maana kama kesi ilikuwa hivyo na hukumu ikawa hivyo, basi kuna mkakati mkubwa sana wa serikali na chama chake (CCM) wa kulitaka jimbo hilo la arusha kwa gharama yoyote

Chadema wawe makini sana na Kumsimamisha Lema, kama mahakama imesema Lema anaweza kugombea basi hapo kuna agenda ya siri inawekwa ili bwana Lema atakapotia jina tu basi Pingamizi litawekwa na kwa Mizengwe waliyoipanga ni lazima pingamizi litapita tu

kwa Mwenendo wa hukumu nzima Chadema inawapasa wawe makini mno, maana sasa wanashindana na nguvu kubwa zaidi

ni mtazamo tu
Kweli mkuu umesema kweli! Lema apewe majukumu mengine ya kukiimarisha chama na asijihusishe kabisa na kugombea tena nafasi hiyo.
kwa vyevyote CCM ni lazima wamwekee pingamizi na hii ndiyo maana hata hukumu haijaliweka bayana hilo.Hii ni ili CHADEMA ijiingize kichwakichwa na Lema baada ya pingamizi mgombea wao apite bila kupingwa.
 
Duh hii tunakoelekea ni pabaya. Kila mwezi uchaguzi na hizo gharama ni kwa sisi wananchi! Inakera sana!
 
hii ni sawa na kumpiga teke chura kumbe unamongezea hatua haki ya mungu lema atarudi bungeni tu tena kwa kura nyingi zaidi.peoples power................................... Mapambano mpaka kieleweke!!!@@@
 
Tunaomba wana Arusha wabaki na wadumishe amani, wasubiri uchaguzi utakaporudiwa, ukweli utajidhihirisha. Lakini nina mashaka na umaarufu wa CCM kushuka kwa kasi sana pale Arusha.
 
Imeniuma sana nimetoka Arumeru juzi tu hii leo tena Arusha,sawa nitarudi kwa nguvu zote japo nipo Mwanza hapa,na kipindi hiki tutawafanya mbaya hawa magamba,kumbe ni wagumu wa kuelewa,na ni vipofu kwelikweli.People's power.
 
Pole sana sana CDM Tujo pamoja nanyi, Nilisha ambiwa na Naibu waziri Mmoja Kutoka Huko Arusha kwamba watashindwa na Kinachofuatiwa ni kwamba sasa Ukabila utanza, na moja ya hoja ni kwamba ni kwanini wachaga waongoze mkoa wa Arusha wakati kuna Waarusha Wenyewe. Utaniambia Kama uachaguzi Ukifanyika Utaona.

Mwendo Ni ule Ule Hakuna kulala Mpaka Kieleweke...
 
Bora hao wanasimamia wanachokiamini kuliko hawa.
Wa nini sasa watu wamesoma na upeo mkubwa afu wanafanya mabaya zaidi kuliko hata wale ambao hawajasoma?
Yaelekea kimekuuma sana,,,,,pole sana, tunataka Tanzania inayoendeshwa kwa misingi mizuri. Kwa personal attack aliyoifanya Lema dhidi ya mpinzani wake hakustahili kabisa kuliwakilisha jimbo lenye hadhi kama Arusha mjini bungeni
 
Leo nimeamuwa niwe msomaji tu hapa, maana ninaweza kupata ban bila sababu.
 
Pole kwa chadema!!!!! Mimi si mwanachadema wala chama chochote lakini nadhani hapana shaka chadema watalirudisha jimbo lao,,,,,,,,wanakubalika sanaaa arusha nimeishi kule naona joto la kisiasa,,,, watu wa arusha huwaambii kitu zaidi ya people's power. Kikubwa wajipange, watafakari ni mgombea gani mzuri wanaweza muweka which i do not doubt maana wana stock ya kutosha. Mzee ndesamburo na timu yake waanza leo mchakato naamini ushindi ni wa chadema bado. Chama tawala kitadhalilika kwa mara nyingine hata kikisimamisha mgombea mchaga kuwazuga wananchi.

Haya tusubiri chaguzi zijazo maana tundu lissu, john mnyika nao wamekalia kuti kavu kwenye kesi zao,,,

Wembe ni uleule majimbo yote ya mjini ni PEOPLE POWER ndugu zetu wa Arusha mashakomaa kisiasa hawatarudishwa nyuma tena.
 
Ime niumiza sana hiyo hukumu kandamizi, lakini Mungu anajua tutakabiliana na michezo michafu yote wanayofanya CCM na tutashinda,
CHADEMA FO LIFE.
 
kuna mtu alieleza hizi habari humu jana, watu wakawa wanamwambia ni habari za bar.........nway ngoja tuone maana ninachojua ni kwamba kuliko arusha waichague ccm, watalichagua jiwe liwaongoze.
 
magamba wameamua kutumia mahakama kupunguza nguvu ya upinzani bungeni haina shaka ngoja tusubiri uchaguzi lazima wagalagazwe kama arumeru

Nilisema mpango wa CCM kufungua kesi nyingi ni MKAKATI wake na MAHAKAMA kulazimisha ushindi kwa majimbo hasa 2 likiwemo la G.Lema na Tundu Lisu alafu kesi nyingine CCM watashindwa. Iwapo hoja itakuwa mahakama inaipendelea CCM basi watasema mbona kesi nyingine walishindwa!!!!!

tatizo sisi wadogo zenu huwa hamtusikilizi humu JF.
 
wewe waache,wanfikiri kuonga hakimu ndo watashinda,badala yake watahaibika zaidi ya arumeru.
 
hamna haja ya kuendelea kujadili hili tunachotakiwa hapa ni kujadili nini kinafuata tuanze kujiandaa mapema kabisa nafikiri chadema kina wanasheria wengi tunahitaji wakae chini watupe all the possible moves na ni vizuri kujua pia ndugu ccm wamejipanga vipi katika hili.
 
Nguvu ya Lowassa kwenye Dola ni kubwa ila nguvu ya wananchi ni sauti ya Mungu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom