Godbless Lema avuliwa ubunge

Status
Not open for further replies.
Siku zote mchimba kaburi lazima aingie mwenyewe! ccm hawatapata mbunge Arusha mjini hadi pele historia ya ccm itakapo fika tamati.
 
Jaman wanajf embu naomben kujua kuwa kosa lilifanyika lini au ndo tokea 2010???
 
Kimsingi Uchaguzi Utarudiwa, Lema ataruhusiwa kugombea na atashinda kwa kishindo atapata 84% ya kura zote halali
 
Wanapoteza muda na ilo zao tu,hapo hata akisimamishwa nani na cdm lazima ashinde!je Lema anaruhusiwa kugombea tena?hakuna haja ya kukata rufaha turudini kwenye uchaguzi!

yap kwa mujibu wa mahakama anaruhusiwa kugombea tena na amesema hatakata rufaa wakutane tena ulingoni...source magic fm
 
Sasa Lema ataenda Dodoma wiki ijayo ama??? na uwaziri wake kivuli nao kaupoteza?? Shangingi la Ubunge je??
 
CCM ingejua chaguzi ndogo ni kaburi lao ingejitahidi kuziepuka lakini ndio hivyo tena..
Wanasema sikio la kufa halisikii dawa. Lakini hizi chaguzi ndogo zikiendelea mpaka 2015 zitatuimaisha CDM na kutuweka pamoja zaidi na hivo kutufanya tushinde uchaguzi mkuu kilaini. Mungu ibariki CDM Mungu ibariki Tanzania.
 
Haki imetendeka!
Lakini cha msingi ni kuwa CHADEMA watazidi kupata umaarufu dhidi ya CCM,
Hukumu haikuangalia hali halisi ya matokeo ya uchaguzi, tofauti ya kura na kuthibitisha madai.
Tuendako, Mgombea CCM ni Felix Mrema ( Mbunge kabla ya 2010) dhidi ya G. Lema CHADEMA (Mbunge baada ya 2010)
Na hii ni gharama ya DEMOKRASIA, bila kujali hali ya maisha ya kawaida ya mTZ, na matumizi mabaya ya fedha za UMMA.
 
Rwakibarira hajawahi kuwa judge! Anazeeka vibaya sana! CCM wanachotaka hilo jimbo kiwe wazi till 2015..... CDM wasikate rufaa! Uchaguzi urudiwe bila hivyo rufaa itapelekea dana dana hadi 2015.
 
kuna wakati wa kulia na wakati wa kucheka
Victory then crisis , then will be followed by victory...
 
Yaelekea kimekuuma sana,,,,,pole sana, tunataka Tanzania inayoendeshwa kwa misingi mizuri. Kwa personal attack aliyoifanya Lema dhidi ya mpinzani wake hakustahili kabisa kuliwakilisha jimbo lenye hadhi kama Arusha mjini bungeni

Kuliko lusinde??
 
Azimio la arusha lilizaliwa arusha,M4C imezaliwa arusha,mapinduzi yanakwenda kuanzia arusha 2012-2015.peopleeez!poweeer
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom