Pole kwa chadema!!!!! Mimi si mwanachadema wala chama chochote lakini nadhani hapana shaka chadema watalirudisha jimbo lao,,,,,,,,wanakubalika sanaaa arusha nimeishi kule naona joto la kisiasa,,,, watu wa arusha huwaambii kitu zaidi ya people's power. Kikubwa wajipange, watafakari ni mgombea gani mzuri wanaweza muweka which i do not doubt maana wana stock ya kutosha. Mzee ndesamburo na timu yake waanza leo mchakato naamini ushindi ni wa chadema bado. Chama tawala kitadhalilika kwa mara nyingine hata kikisimamisha mgombea mchaga kuwazuga wananchi.
Haya tusubiri chaguzi zijazo maana tundu lissu, john mnyika nao wamekalia kuti kavu kwenye kesi zao,,,