Judge atoa hukumu nakusema lema si mbunge tena sijui inakuwaje
Yeye Lema anaruhusiwa kugombea tena??
umeona eeeh! Nakuunga mkono, Au kuna mabilion wanataka kuchakachua then tukiuliza waseme yameenda kweny uchaguz ?mmmmmh,my worry ni bilions ngapi tena ambazo ni kodi zetu zitatumika kuitisha tena uchaguzi mdogo??ina mana ss kila siku tutakuwa tunafanya chaguziituuuuuuu maendeleo lini??aaah!!nimekasirika sana..
Lema kavulia ubunge rasmi...
Hii ni taarifa rasmi toka hapa mahakamani!
Nipo hapa viwanja vya mahakama kuu kanda ya Arusha, Kilaza LEMA kapigwa chini. Semeni sasa nyie magwanda. Chezea CCM nyie!!!!! Niliwaambia jana mkaleta mboyoyo zenu