Kamkuki
JF-Expert Member
- Feb 1, 2011
- 1,672
- 970
Leo hii yaani Sasa ivi ni dk ya 35, na Simba inaongoza 3 bilaYa lini hii?
Ni ktk Azam sport HD
Leo hii yaani Sasa ivi ni dk ya 35, na Simba inaongoza 3 bilaYa lini hii?
Huo ndiyo ukweli na ni mkakati kutoka juuuHiyo mbumbumbu fc inatumika kisiasa hii mechi itakuwa ni mawazo ya Mo tu
CHADEMA picha zenu sio za kuamini hata siku moja. Mnapenda Sana kujifariji kuliko uharisia.Njama za kuhujumu ujio wa mh Lissu hapa bikini Arusha kuendeleza kampeini zake na cdm zimebuuma.
Ccm walijua kabisa kuwa mh Lissu ana washabiki na wapenzi wengi sana hapa Arusha na wengi wao ni vijana ambao wameichoka ccm.
Hivyo wakaona njia ya kuwa fanya wasiende kwenye mapokezi na mkutano wa mh Lissu ni kuandaa mechi ya kustukiza ya soka kati ya simba na Arusha fc.
Matokeo yake watu wamegoma kwenda uwanjani kutazama mpira ingawa wapo pia wapenzi wa simba lkn wameamua kwenda kumsikiliza rais wao mtarajiwa mh Lissu.
Nawapongeza sana wana wa Arusha.
Hiyo ndiyo hali halisi ya uwanja wa Sheikh Amri Abeid Arusha. View attachment 1554386
Huyo hata ukimwambia hivyo atazidi kukataa tuLeo hii yaani Sasa ivi ni dk ya 35, na Simba inaongoza 3 bila
Ni ktk Azam sport HD
Kwahiyo na hiyo picha iliyo wekwa ni ya uongo?CHADEMA picha zenu sio za kuamini hata siku moja. Mnapenda Sana kujifariji kuliko uharisia.
Kumbe Mikia Fc nimamuruki ehNjama za kuhujumu ujio wa mh Lissu hapa bikini Arusha kuendeleza kampeini zake na cdm zimebuuma.
Ccm walijua kabisa kuwa mh Lissu ana washabiki na wapenzi wengi sana hapa Arusha na wengi wao ni vijana ambao wameichoka ccm.
Hivyo wakaona njia ya kuwa fanya wasiende kwenye mapokezi na mkutano wa mh Lissu ni kuandaa mechi ya kustukiza ya soka kati ya simba na Arusha fc.
Matokeo yake watu wamegoma kwenda uwanjani kutazama mpira ingawa wapo pia wapenzi wa simba lkn wameamua kwenda kumsikiliza rais wao mtarajiwa mh Lissu.
Nawapongeza sana wana wa Arusha.
Hiyo ndiyo hali halisi ya uwanja wa Sheikh Amri Abeid Arusha. View attachment 1554386
Nyie watu mnamatatizo sana, mnasema mechi ni bure na imeandaliwa na serikali, kweli nyie kwa uongo huo ndo mnataka watu wawaamini? upuuzi mtupu, mwisho mtasema serikali imeamua na mke wa Makonda azae mapacha leo ili aongelewe CHADEMA isisikike, afu imekuwaje sikuhizi mikutano yenu mnafanyia vichochoroni?Mkuu kamwe shetani hawezi kushindana na Mungu akashinda.
Naona Radio Zote za Arusha hazijakwenda kwa mkutano pengine ni baada ya TBC kutolewa baru wakati inaonesha live...Njama za kuhujumu ujio wa mh Lissu hapa bikini Arusha kuendeleza kampeini zake na cdm zimebuuma.
Ccm walijua kabisa kuwa mh Lissu ana washabiki na wapenzi wengi sana hapa Arusha na wengi wao ni vijana ambao wameichoka ccm.
Hivyo wakaona njia ya kuwa fanya wasiende kwenye mapokezi na mkutano wa mh Lissu ni kuandaa mechi ya kustukiza ya soka kati ya simba na Arusha fc.
Matokeo yake watu wamegoma kwenda uwanjani kutazama mpira ingawa wapo pia wapenzi wa simba lkn wameamua kwenda kumsikiliza rais wao mtarajiwa mh Lissu.
Nawapongeza sana wana wa Arusha.
Hiyo ndiyo hali halisi ya uwanja wa Sheikh Amri Abeid Arusha. View attachment 1554386
Anashinda kitu gani! Hiyo nyomii ya Kanda ga Kaskazini au? Dar ilibuma!Nimekubali, Lisu anashinda! Watamuibia kura, lkn anashinda!
Acha uongo kabisa. Yaani Simba ikose shabiki hata mmoja? Watu waache kwenda kumwangalia Morsoni?Kwahiyo na hiyo picha iliyo wekwa ni ya uongo?
Habachori tu yule ndiyo anaitumikisha simba vibayaKumbe Mikia Fc nimamuruki eh
Cheki ya chademaNaona Radio Zote za Arusha hazijakwenda kwa mkutano pengine ni baada ya TBC kutolewa baru wakati inaonesha live...
Hivi kuna channel ya utube inaonesha mkutano wa Arusha kwani nimesearch bila majibu....
Ya lini hii?
Mkuu utakuwa unanionea kabisaAcha uongo kabisa. Yaani Simba ikose shabiki hata mmoja? Watu waache kwenda kumwangalia Morsoni?
Tena ukizidisha uongo nakupiga ban humu.
Lema afungashefungashe mwenye jimbo lake keshafika Mrisho Gambo.
Jamaa wame changanyikiwa vibaya sanaUnauliza tarehe ya leo au leo juma ngapi?
Hii ndiyo inayoitwa kuweweseka.
Vipi mbona siku hizi mnafanyia mikutano yenu uchochoroni?Unauliza tarehe ya leo au leo juma ngapi?
Hii ndiyo inayoitwa kuweweseka.