Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,703
- 218,246
Hii ndio Taarifa mpya ambayo imepatikana leo, kwamba kwenye uzinduzi wa Mikutano ya hadhara, Makamanda hawa watakuwepo, kwa vile tayari maandalizi ya kurejea nyumbani kutoka huko waliko yanaendelea.
Chanzo: Mwananchi
Ikumbukwe kwamba watu hawa waliondoka Nchini Tanzania ili kuepuka Mauaji yaliyopangwa dhidi yao baada ya Spana kabambe walizozitoa kwenye kilichoitwa uchaguzi Mkuu wa 2020.
Tundu Lissu aliondolewa Nchini kwa msaada wa Jopo zito la Mabalozi wa kigeni wakiongozwa na balozi wa Marekani nchini Tanzania, huku Godbless Lema akipita Nairobi ambako aliwekewa kinga na Serikali ya Nchi hiyo kwa Msaada wa Mwanasheria nguli Profesa Rastafarian George Wajakhoya, ambaye baadaye alikuwa Mgombea Urais wa Kenya.
Taarifa kutoka vyanzo vya Uhakika zinadokeza kwamba kama Lissu na Lema wasingepata ujasiri wa kuondoka haraka, basi Maisha yao yangekuwa Historia.
Tunamuomba Mwenyezi Mungu awarudishie wema wao wale wote waliowezesha viongozi hawa kunusurika.