Uchaguzi 2020 Godbless Lema: Arusha leo kuna Mechi ya Simba bure na Tamasha la Wasanii bure ili kuhujumu Mkutano wa Tundu Lissu

Wakuu Salamu toka Arusha na vitongoji vyake.

Uwanja wa Shekh Amri Abeid na tamasha uwanja wa Kilombero hakuna watu ni aibu tupu kama si fedhehea.

Wana Arusha wapo uwanja wa Relini wamejaa tele hakuna nafasi ya kutema mate.Hakuna nafasi ya kujigeuza wala kujinasi ni nyomi ya kutosha na kusikitisha kwa wenye hila na hiyana.

Mkuu wa Wilaya njoo na style nyingine hii imebuma vibaya mno,tamasha tuwekee kesho leo tunasikiliza sera na miongozo ya Mh Lissu mmekata umeme lakini haisaidii asilani.
Kapicha kamanda au picha nayo mpaka viongozi wa edit?
Watu waliofulika napo hakuna picha mnaogopa nini?
 
Angalia mechi hii Azam TV utaona hata ukidondosha sindano utaiona.
Jamaa hataki kukubali kuwa wana Arusha tumesusa kwenda kutazama soka na kuamua kwenda kumsikiliza rais mtarajiwa mh Lissu
photo%20266%2012-18-0.jpg
 
Wakuu Salamu toka Arusha na vitongoji vyake.

Uwanja wa Shekh Amri Abeid na tamasha uwanja wa Kilombero hakuna watu ni aibu tupu kama si fedhehea.

Wana Arusha wapo uwanja wa Relini wamejaa tele hakuna nafasi ya kutema mate.Hakuna nafasi ya kujigeuza wala kujinasi ni nyomi ya kutosha na kusikitisha kwa wenye hila na hiyana.

Mkuu wa Wilaya njoo na style nyingine hii imebuma vibaya mno,tamasha tuwekee kesho leo tunasikiliza sera na miongozo ya Mh Lissu mmekata umeme lakini haisaidii asilani.
Yaani nchi hii tunaongozwa na mapunguani!
 
Nianze kuweka sawa kuwa Mimi Ni Simba damudamu!

Nimeshangazwa na namna Klabu ya Simba ilivyoshiriki Siasa chafu Leo kule Arusha!

Eti kucheza Bure I kuwazuia watu wasiende kumsikiluza Tundu Lissu!

Hii Ni kushiriki dhuluma Dhidi ya umma!

Na kwa kuwa mmepambana na nguvu ya Mungu ...lazima muadhibiwe kwenye Ligi Mwaka huu!

Dewji acha kuongoza Simba kwenye laana!
 
Back
Top Bottom