Uchaguzi 2020 Godbless Lema: Arusha leo kuna Mechi ya Simba bure na Tamasha la Wasanii bure ili kuhujumu Mkutano wa Tundu Lissu

Hakika CCM wanacheza ngoma za CHADEMA, wanajaribu kuwahujumu lakini wapi bwana.

Arusha wameleta mpira bure ili mashabiki waende lakini wapi. Tamasha la mziki nalo hoi.

Huko serengeti wamebadilisha matumizi ya uwanja. Tunasubiri CCM wacheze ngoma ya CHADEMA huko Mwanza.

Arusha wamekata umeme, ila smarti zina chaji na majenereta yapo labda wakate network
Screenshot_20200831-165439.png
 
Njama za kuhujumu ujio wa mh Lissu hapa bikini Arusha kuendeleza kampeini zake na cdm zimebuuma.

Ccm walijua kabisa kuwa mh Lissu ana washabiki na wapenzi wengi sana hapa Arusha na wengi wao ni vijana ambao wameichoka ccm.

Hivyo wakaona njia ya kuwa fanya wasiende kwenye mapokezi na mkutano wa mh Lissu ni kuandaa mechi ya kustukiza ya soka kati ya simba na Arusha fc.

Matokeo yake watu wamegoma kwenda uwanjani kutazama mpira ingawa wapo pia wapenzi wa simba lkn wameamua kwenda kumsikiliza rais wao mtarajiwa mh Lissu.

Nawapongeza sana wana wa Arusha.
Hiyo ndiyo hali halisi ya uwanja wa Sheikh Amri Abeid Arusha. View attachment 1554386
Ukiangalia anga nalo jeupe peee....hata ndege wamekataa kukatiza.
 
Hakika CCM wanacheza ngoma za CHADEMA, wanajaribu kuwahujumu lakini wapi bwana.

Arusha wameleta mpira bure ili mashabiki waende lakini wapi. Tamasha la mziki nalo hoi.

Huko serengeti wamebadilisha matumizi ya uwanja. Tunasubiri CCM wacheze ngoma ya CHADEMA huko Mwanza.

Arusha wamekata umeme, ila smarti zina chaji na majenereta yapo labda wakate networkView attachment 1554387
Me ningekuwa apo Arusha ninge wakabidhi card yangu ya Simba waichome moto!
 
Back
Top Bottom