Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 58,639
- 220,421
InafikirishaLyatonga (RIP), Lamwai (RIP), Mbatia, Selasini, Mbowe… naona kuna mtiririko fulani
InafikirishaLyatonga (RIP), Lamwai (RIP), Mbatia, Selasini, Mbowe… naona kuna mtiririko fulani
Huyu muongo, wakati wa kesi ya Mbowe yeye Lema alikuwa amekimbilia CanadaTulikuwa pamoja nawe wakati ulipokamatwa na kushtakiwa kwa ugaidi na changamoto mbalimbali nyingi katika uongozi wako. Tulilia. Tulipiga kelele. Tulivunjwa. Tukateswa. Lakini tuliendelea kusimama kwa ajili yako kwa sababu tuliamini ulikuwa kiongozi wa haki.
Mzee aliambiwa akapumzike. Kibaya zaidi press conference ziliendelea kumnanga bila kumpa heshima yake. Huyu Lema alizunguka kwenye Radio kusema jinsi Mbowe alivyovuruga chama na kukiuza. Ni wazi CDM ilikuwa inaondoka moyoni mwa Mbowe kwa njia ngumu. Si jambo rahisi kuwa sehemu ya watu ambao wanaona unawahujumu kwa kuwauza kwa vipande vya fedha.Dah! Watu Bhana! Leo Wanamlilia Mbowe Pamoja Na Yale Yote Waliyoyasema Kipindi Cha Uchaguzi? Yaan Kwa Zile Kashifa Ambazo Hamkuleta Ushahidi Bado Mulitarajia Aendelee Kuwa Na Nyinyi? Kosa Lake Lipi Kuunga Mkono Dira Ya Maendeleo Au Kukaa Kmya?
Watu wanasahau maneno waliyotamka dhidi yakeSi mlimwambia aende likizo ya mda mrefu?
Yupo sabbatical, so binafsi sioni kama anakosea. Lissu mwemyewe alimwambia aende likizo, akapumzike, yeye ni mstaafu sasa. Which means Lissu hakuhitaji chochote hukusu mwamba kwa wakati huu, na huenda akawa likizo ya mwaka mzima...yetu ni macho, wanasiasa hawaaminiki.
Nakumbuka maneno ya Lisu kwamba alipoona kwenye umakamu mwenyekiti anafanyiwa figisu akaamua kupambana na Mbowe kwenye uenyekiti. Sidhani kama kuna dhambi Mbowe kupambana na Lisu pia kwenye nafasi nyingine nchini.Hapana. Hawa ni watu Mbowe aliowapigania. Mbowe alikaa rumande na akafungwa jela pamoja na Heche katika kupigania maslahi ya chama. Heche aliposhindwa uchaguzi wa Uenyekiti wa Kanda Mbowe akamteua kuwa mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama. Mbowe alimpigania Lissu apelekwe nje ya nchi badala ya hospitali za ndani ya nchi. Lema alichukuliwa kama sehemu ya family ya Mbowe. Lakini wote hawa wakamchimba, wakaangalia bila kukemea wakati anazushiwa uongo na wafuasi wao. Hawa hawa walibeza mchango na umuhimu wa Mbowe hadharani. Hawa hawa ndio walichochea tuhuma za kuwa Mbowe amelamba asali na yuko mfukoni mwa Abdul. Hapana, usaliti waliomfanyia Mbowe hautasamehewa kirahisi. Hata kama Mbowe anaongea na Samia kumtetea Lissu hatawaambia maana wameisha dhihirisha unafik wao. Machozi ya mamba ya Lema hayatasaidia kitu. Badala ya kutafuta sympathy ya umma, wamfuate wakaongee nae na kumuomba msamaha kwa yote waliyomtendea. Kama hawaoni kama walimkosea, wamuache aendelee na maisha yake. Au wamfukuze tu kwenye chama.
Amandla...
Mzulumati sana kawazulumu nduguze wakuzaliwaNilishasema huku kuwa Mbowe hana mali alizoanzisha yeye. Zote ni mali za baba yake kuanzia Aishi mpaka Bilicanas. Kuna kiwanja mzee Aikaeli alipewa na Nyerere moshi mjini mpaka leo hajakiendeleza. Mnasema huyu mtu hana njaa ? Kashanunuliwa huyo. Shule ni muhimu sana huko serikalini kumejaa wajinga sana. Lissu kupambana ni kwa sababu yeye ndiyo kiongozi mwenye shule Chadema nzima. Hata ukitaka tuendelee Mbunge awe na sifa ya kuandika master thesis kushirikiana na top international UNIVERSITIES. Kama hana hizo sifa hakuna kugombea. Tutafika mbali sana hauwezi amini.
Nani kamkatalia aje tu mradi uchaguzi huruNakumbuka maneno ya Lisu kwamba alipoona kwenye umakamu mwenyekiti anafanyiwa figisu akaamua kupambana na Mbowe kwenye uenyekiti. Sidhani kama kuna dhambi Mbowe kupambana na Lisu pia kwenye nafasi nyingine nchini.
Pumba yeye ndiye kawakoroga..Chadema walimtukana Mbowe.
..Ccm walimtukana, walimharibia mali zake, walimfunga, walimlipisha faini, walimfungulia kesi ya ugaidi.
..Kati ya Chadema na Ccm ni chama kipi kimemtendea ubaya zaidi Freeman Mbowe?
Tunashauliwa tusibague, lakini kuna watu kuwaamini inahitaji moyo. Mrtu aliyeendesha maisha yake kwa kutegemea casino, wizi wa magari, eti baadaye awe mchungaji, mwanasiasa, sheikh,....WARAKA WA GODBLESS LEMA KWA MBOWE!Mhe. Godbless Lema amemuandikia waraka Mhe. Freeman Mbowe. Kwa kuwa waraka huo umebeba maudhui yenye maslahi mapana, sisi tunauweka hapa kusudi kupanua wigo wa fikra.Je, nini kimekushangaza?
Je, nini maoni yako?Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula Itunge, Dar es Salaam; 17 Julai 2025; saa 2:50 usiku.Mhe. Freeman Aikaeli Mbowe!Kwa heshima, huzuni na uzito wa dhamira, nakuandikia barua hii si kwa hasira, bali kwa mwangwi wa historia inayolilia uaminifu.
Sisi tulisimama nyuma yako kwa gharama kubwa kipindi chote ambacho tulikuamini kuwa wewe ni kiongozi wa matumaini ya kizazi kilichojitoa kwa ajili ya Tanzania mpya wakati ulipokuwa Mwenyekiti wetu.Leo hii umetazamwa ukihudhuria mkutano wa Serikali kuhusu Dira ya Maendeleo ya Taifa, huku Mwenyekiti wetu,
Tundu Lissu, akiwa gerezani akikabiliwa na mashtaka ya uhaini na chama chetu hakiruhusiwi kufanya siasa na wanachama wetu wanapotea, wanateswa, wengine wameuawa na bado hujatokea hata mara moja mahakamani, wala kutoa neno la kukemea udhalimu huu unaoendelea mbele ya macho ya Watanzania.
Tulikuwa pamoja nawe wakati ulipokamatwa na kushtakiwa kwa ugaidi na changamoto mbalimbali nyingi katika uongozi wako. Tulilia. Tulipiga kelele. Tulivunjwa. Tukateswa. Lakini tuliendelea kusimama kwa ajili yako kwa sababu tuliamini ulikuwa kiongozi wa haki.
Leo, unajibu kwa ukimya. Ukimya usio na ujasiri. Ukimya unaogharimu damu nyingine isiyo na hatia.“Mungu hadhihakiwi; kwa maana apandacho mtu ndicho atakachovuna.”Wagalatia 6:7Kaka, imekuwa ikisemwa kwamba unayo hasira dhidi ya baadhi ya maneno yaliyotamkwa na wanachama wakati wa uchaguzi wa ndani wa chama. Lakini je, unaweza kweli kuwa na hasira dhidi ya maneno hayo ya kawaida kuliko kuwa na hasira dhidi ya waliokufunga kwa kukuita gaidi?
Je, unaweza kuwa na uchungu kwa wakosoaji wako wa ndani, lakini ukaishi kwa amani na wale ambao walikutesa na tunao washutumu kwa utekaji, mateso, vifo na dhuluma dhidi ya haki na utu?Ulikuwa Mwenyekiti kwa zaidi ya miaka 20.
Siwezi kuandika hapa majina ya watu waliopoteza maisha kwa sababu waliamini kuwa uongozi wetu ulikuwa na dhamira ya kweli. Tumewazika karibu kila mkoa wa nchi hii, tumewasaidia majeruhi. Tumewaokoa wachache gerezani.
Na wengi wao walipigania jina lako. Waliamini katika mfumo uliouongoza. Leo hii, je tuseme nini kwa familia zao? Wakati wao bado wanalipa gharama ya mapambano . Wakati huo huo, hujawahi hata siku moja kusema au kuandika hadharani kuhusu mateso haya yanayoendelea kwa CHADEMA na viongozi wake haswa kesi mbaya inayo mkabili Mkti wetu Tundu Lissu.“
Kama sauti ya damu ya Abeli ililia kutoka ardhini, ndivyo sauti ya mashujaa wa haki inavyolia kila siku ikitafuta si kisasi, bali uaminifu wa dhamira.” Mwanzo 4:10Kama tuliweza kuamka kwa ajili yako, ulipokuwa kiongozi wa Chama chetu , kwa nini sasa usiweze kusimama kwa ajili ya haki, maana hata kama unapumzika siasa lakini binadamu mwema hawezi kupumzisha dhamira yake juu ya haki na utu.
Unafikiri ni sahihi kukosekana kwa andiko au sauti na uwepo wako mahakamani toka Lissu amekamatwa na kwa ajili ya wengine wengi ambao sasa wako katika hatari kubwa ? Chama ambacho wewe ni Mjumbe wa Kamati Kuu hakiruhusiwi kufanya mikutano ya hadhara. Vijana wake wanapigwa. Mwenyekiti wake yuko jela na viongozi wake wanateswa.
Na bado, hakuna neno kutoka kwako. Hakuna kilio na bado unaweza kushiriki hafla za Serikali bila aibu. Nini kiko nyuma?“Dhamira safi huwa haipumziki katika meza ya heshima, ikiwa vunjiko la haki linapiga kelele mlangoni.”
- Nelson MandelaKwa heshima na unyenyekevu wa historia, tunakuomba, usijitenganishe na damu ya mashujaa waliokuamini. Usikubali jina lako kuwa ukuta wa kusahau damu ya wale waliochinjwa kwa jina la mabadiliko. Usikubali kusimama upande wa utulivu bandia unaozima sauti ya walalia haki.Huu si mwaliko wa ugomvi.
Hii ni sauti ya dhamira. Kilio cha kizazi kilichoumizwa, lakini bado kinabeba matumaini kwamba kuna waliotumwa kusimama kwenye ufa wa taifa.“Haki haipotei, hata ikizikwa kwenye vumbi la kisiasa huibuka tena kwa sauti ya waliojeruhiwa.”
Na hata kama haukumbuki vilio vya waliopotea, kumbuka hili ,mahali ambapo Tundu Lissu anateseka leo Mahakama Kuu ya Tanzania si mbali sana kama Dodoma ulipokuwa ukishiriki kwenye mkutano wa Serikali. Ni safari ya dhamira tu inayotenganisha hatua zako na hatua ya hakika.Godbless Lema, 17 Julai 2025
Tusimlaumu tumwache afuate moyo wake na jukwaa linalomfaa. Akiangukia pua ni hasara kwake.Nani kamkatalia aje tu mradi uchaguzi huru
Mshana umwambie mtani wako na wenzake,hakuna kitu kibaya kama kulewa ukamtukana mtu ambae kesho utamhitaji baada ya ulevi kuisha kichwani.Hawa walimuona Mbowe kama kisrani lakini leo wanamtaka huyo huyo Mbowe.Mbona pale kwenye ule mkutano kulikuwa na watu wengi mpaka na Profesa Mkumbo lakini hazingumziwi.Uliyemtukana anakuwa wa muhimu kwenye shida.Tulikuwa pamoja nawe wakati ulipokamatwa na kushtakiwa kwa ugaidi na changamoto mbalimbali nyingi katika uongozi wako. Tulilia. Tulipiga kelele. Tulivunjwa. Tukateswa. Lakini tuliendelea kusimama kwa ajili yako kwa sababu tuliamini ulikuwa kiongozi wa haki.
Yaani hawa ni mabingwa wa lawama kila kukicha.Wamepewa chama mwaka haujaisha kina pancha kila mahali.Eti wanakuja na maneno ya biblia leo,walipokuwa wanamtukana biblia zilikuwa wapi!!Si mlimtukana matusi ya kila namna mkasema kanunulika, ngoja awaonyeshe sasa.Mliambiwa humu mpunguze ukali wa maneno, hamkuskia, matokeo yake ndo haya sasa
kutoka anakoishi Mbowe na kisitu ni nusu saaa tu ameshindwa kwenda hata mara moja. ila Kutoka Anakoishi Mbowe na Dodoma ni masaa 3ila Mbowe ameenda haaaa Akili za kuambiwa changamya na zakokule kwenu wasio na uchumi mzuri kwani wanasikilizwaga?
Mbowe keshamaliza ngwe yake ya uongozi ndani ya chama, mwacheni apumzike na harakati badala yake kijiti mnacho ninyi endelezeni mapambano. Nampenda sana MZee Mizengo Pinda, yupo kimya kabisa keshamaliza nafasi yake kama kiongozi kawaachia wengine waendeleze pale wao walipoishiaWARAKA WA GODBLESS LEMA KWA MBOWE!Mhe. Godbless Lema amemuandikia waraka Mhe. Freeman Mbowe. Kwa kuwa waraka huo umebeba maudhui yenye maslahi mapana, sisi tunauweka hapa kusudi kupanua wigo wa fikra.Je, nini kimekushangaza?
Je, nini maoni yako?Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula Itunge, Dar es Salaam; 17 Julai 2025; saa 2:50 usiku.Mhe. Freeman Aikaeli Mbowe!Kwa heshima, huzuni na uzito wa dhamira, nakuandikia barua hii si kwa hasira, bali kwa mwangwi wa historia inayolilia uaminifu.
Sisi tulisimama nyuma yako kwa gharama kubwa kipindi chote ambacho tulikuamini kuwa wewe ni kiongozi wa matumaini ya kizazi kilichojitoa kwa ajili ya Tanzania mpya wakati ulipokuwa Mwenyekiti wetu.Leo hii umetazamwa ukihudhuria mkutano wa Serikali kuhusu Dira ya Maendeleo ya Taifa, huku Mwenyekiti wetu,
Tundu Lissu, akiwa gerezani akikabiliwa na mashtaka ya uhaini na chama chetu hakiruhusiwi kufanya siasa na wanachama wetu wanapotea, wanateswa, wengine wameuawa na bado hujatokea hata mara moja mahakamani, wala kutoa neno la kukemea udhalimu huu unaoendelea mbele ya macho ya Watanzania.
Tulikuwa pamoja nawe wakati ulipokamatwa na kushtakiwa kwa ugaidi na changamoto mbalimbali nyingi katika uongozi wako. Tulilia. Tulipiga kelele. Tulivunjwa. Tukateswa. Lakini tuliendelea kusimama kwa ajili yako kwa sababu tuliamini ulikuwa kiongozi wa haki.
Leo, unajibu kwa ukimya. Ukimya usio na ujasiri. Ukimya unaogharimu damu nyingine isiyo na hatia.“Mungu hadhihakiwi; kwa maana apandacho mtu ndicho atakachovuna.”Wagalatia 6:7Kaka, imekuwa ikisemwa kwamba unayo hasira dhidi ya baadhi ya maneno yaliyotamkwa na wanachama wakati wa uchaguzi wa ndani wa chama. Lakini je, unaweza kweli kuwa na hasira dhidi ya maneno hayo ya kawaida kuliko kuwa na hasira dhidi ya waliokufunga kwa kukuita gaidi?
Je, unaweza kuwa na uchungu kwa wakosoaji wako wa ndani, lakini ukaishi kwa amani na wale ambao walikutesa na tunao washutumu kwa utekaji, mateso, vifo na dhuluma dhidi ya haki na utu?Ulikuwa Mwenyekiti kwa zaidi ya miaka 20.
Siwezi kuandika hapa majina ya watu waliopoteza maisha kwa sababu waliamini kuwa uongozi wetu ulikuwa na dhamira ya kweli. Tumewazika karibu kila mkoa wa nchi hii, tumewasaidia majeruhi. Tumewaokoa wachache gerezani.
Na wengi wao walipigania jina lako. Waliamini katika mfumo uliouongoza. Leo hii, je tuseme nini kwa familia zao? Wakati wao bado wanalipa gharama ya mapambano . Wakati huo huo, hujawahi hata siku moja kusema au kuandika hadharani kuhusu mateso haya yanayoendelea kwa CHADEMA na viongozi wake haswa kesi mbaya inayo mkabili Mkti wetu Tundu Lissu.“
Kama sauti ya damu ya Abeli ililia kutoka ardhini, ndivyo sauti ya mashujaa wa haki inavyolia kila siku ikitafuta si kisasi, bali uaminifu wa dhamira.” Mwanzo 4:10Kama tuliweza kuamka kwa ajili yako, ulipokuwa kiongozi wa Chama chetu , kwa nini sasa usiweze kusimama kwa ajili ya haki, maana hata kama unapumzika siasa lakini binadamu mwema hawezi kupumzisha dhamira yake juu ya haki na utu.
Unafikiri ni sahihi kukosekana kwa andiko au sauti na uwepo wako mahakamani toka Lissu amekamatwa na kwa ajili ya wengine wengi ambao sasa wako katika hatari kubwa ? Chama ambacho wewe ni Mjumbe wa Kamati Kuu hakiruhusiwi kufanya mikutano ya hadhara. Vijana wake wanapigwa. Mwenyekiti wake yuko jela na viongozi wake wanateswa.
Na bado, hakuna neno kutoka kwako. Hakuna kilio na bado unaweza kushiriki hafla za Serikali bila aibu. Nini kiko nyuma?“Dhamira safi huwa haipumziki katika meza ya heshima, ikiwa vunjiko la haki linapiga kelele mlangoni.”
- Nelson MandelaKwa heshima na unyenyekevu wa historia, tunakuomba, usijitenganishe na damu ya mashujaa waliokuamini. Usikubali jina lako kuwa ukuta wa kusahau damu ya wale waliochinjwa kwa jina la mabadiliko. Usikubali kusimama upande wa utulivu bandia unaozima sauti ya walalia haki.Huu si mwaliko wa ugomvi.
Hii ni sauti ya dhamira. Kilio cha kizazi kilichoumizwa, lakini bado kinabeba matumaini kwamba kuna waliotumwa kusimama kwenye ufa wa taifa.“Haki haipotei, hata ikizikwa kwenye vumbi la kisiasa huibuka tena kwa sauti ya waliojeruhiwa.”
Na hata kama haukumbuki vilio vya waliopotea, kumbuka hili ,mahali ambapo Tundu Lissu anateseka leo Mahakama Kuu ya Tanzania si mbali sana kama Dodoma ulipokuwa ukishiriki kwenye mkutano wa Serikali. Ni safari ya dhamira tu inayotenganisha hatua zako na hatua ya hakika.Godbless Lema, 17 Julai 2025
WamekomaNdio mkome 😁😁
Kwani Huwa hamjifunzi mbona Kuna movie na theory nyingi sana zinazo elezea Tabia za watu wenye Akili kama ya huyo Mzee DJ , Ukiangalia series kama ya Game of throne hauwezi kuwa mfuasi wa mwanasiasa kiholela holela kamwe