Godbless Lema amlilia Freeman Mbowe kwa waraka mzito

Si mlimwambia aende likizo ya mda mrefu?

Yupo sabbatical, so binafsi sioni kama anakosea. Lissu mwemyewe alimwambia aende likizo, akapumzike, yeye ni mstaafu sasa. Which means Lissu hakuhitaji chochote hukusu mwamba kwa wakati huu, na huenda akawa likizo ya mwaka mzima...yetu ni macho, wanasiasa hawaaminiki.
Haahaa alichofanya mbowe kimeibua maswali mengi kuliko majibu, Hivi mwenyekiti mstaafu kikwete anaweza kijitenga na mambo ya ccm?
 
Naamini Mbowe ana nguvu bado na hata akifanya mkutano na waandishi wa habari akakemea hata namna kesi inavyoendeshwa nadhani italeta tofauti kidogo. Ila kibinadamu namna alivyoshughulikiwa na viongozi hao na wafuasi wengine walioamua kusimama na viongozi hawa walio madarakani sidhani kuandika waraka mzrefu kutoka kwake leo ukambadilishe Mbowe msimamo wake. Lugha zilikuwa ngumu sana na wakashawishiwa hadi wafuasi wengine kwenda kinyume nae.Walikosa Imani na utendaji wake Ila walikoseana kambi zote.Kama wangetibu majeraha kwanza au kukemea kejeli na kuwaunganisha wanachama nadhani hata Mwamba angeweza kupata nguvu ya kujitokeza. Pengine hakuwaza kushindwa na ni kama aibu kuja kupangiwa majukumu na vijana aliowapika na wakamkebehi wakati wa uchaguzi
Kwenye siasa maneno ni kawaida, Maneno yalikuwa pande zote tu...kuzira chama kisa kashindwa uchaguzi sio sawa
 
Ndio mkome kupoteza muda wenu na kuwaamini wanasiasa

Mnakaa mnawafuata Wana siasa wa Africa na kuweka maisha yenu rehani mkidhani kwamba wata wakomboa

Enyi watu wangu ninani aliyewaroga !!

Wanasiasa wa -Africa tabia zao ni kama Mwanamke Malaya huwaga Hawana msimamo Leo Sasa ndio mtawaelewa vyema watu kama kina peter msigwa ,

Mbowe hakuwa anafanya siasa kwaajili ya Lengo la kuifanya CDM iweze kuchukua kiti Cha kuliongoza Taifa , Bali alikuwa anafanya siasa Kwa Lengo la biashara na kujinufaisha binafsi ndio maana hakuwa tayari kuondoka ktk nafasi ya kuwa mwenye kiti maana hapo ndio upigaji pesa ulipo pesa zote za chama lazima zipitie Kwa mwenye kiti mkuu so you guys what do you expect!? 🤣🤣

Siasa na hivyo vyama ni mitaji ya watu
 
Haahaa alichofanya mbowe kimeibua maswali mengi kuliko majibu, Hivi mwenyekiti mstaafu kikwete anaweza kijitenga na mambo ya ccm?
Kipindi cha Magu alijitenga, au hukuwepo Tanzania?
 
WARAKA WA GODBLESS LEMA KWA MBOWE!Mhe. Godbless Lema amemuandikia waraka Mhe. Freeman Mbowe. Kwa kuwa waraka huo umebeba maudhui yenye maslahi mapana, sisi tunauweka hapa kusudi kupanua wigo wa fikra.Je, nini kimekushangaza?

Je, nini maoni yako?Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula Itunge, Dar es Salaam; 17 Julai 2025; saa 2:50 usiku.Mhe. Freeman Aikaeli Mbowe!Kwa heshima, huzuni na uzito wa dhamira, nakuandikia barua hii si kwa hasira, bali kwa mwangwi wa historia inayolilia uaminifu.

Sisi tulisimama nyuma yako kwa gharama kubwa kipindi chote ambacho tulikuamini kuwa wewe ni kiongozi wa matumaini ya kizazi kilichojitoa kwa ajili ya Tanzania mpya wakati ulipokuwa Mwenyekiti wetu.Leo hii umetazamwa ukihudhuria mkutano wa Serikali kuhusu Dira ya Maendeleo ya Taifa, huku Mwenyekiti wetu,

Tundu Lissu, akiwa gerezani akikabiliwa na mashtaka ya uhaini na chama chetu hakiruhusiwi kufanya siasa na wanachama wetu wanapotea, wanateswa, wengine wameuawa na bado hujatokea hata mara moja mahakamani, wala kutoa neno la kukemea udhalimu huu unaoendelea mbele ya macho ya Watanzania.

Tulikuwa pamoja nawe wakati ulipokamatwa na kushtakiwa kwa ugaidi na changamoto mbalimbali nyingi katika uongozi wako. Tulilia. Tulipiga kelele. Tulivunjwa. Tukateswa. Lakini tuliendelea kusimama kwa ajili yako kwa sababu tuliamini ulikuwa kiongozi wa haki.

Leo, unajibu kwa ukimya. Ukimya usio na ujasiri. Ukimya unaogharimu damu nyingine isiyo na hatia.“Mungu hadhihakiwi; kwa maana apandacho mtu ndicho atakachovuna.”Wagalatia 6:7Kaka, imekuwa ikisemwa kwamba unayo hasira dhidi ya baadhi ya maneno yaliyotamkwa na wanachama wakati wa uchaguzi wa ndani wa chama. Lakini je, unaweza kweli kuwa na hasira dhidi ya maneno hayo ya kawaida kuliko kuwa na hasira dhidi ya waliokufunga kwa kukuita gaidi?

Je, unaweza kuwa na uchungu kwa wakosoaji wako wa ndani, lakini ukaishi kwa amani na wale ambao walikutesa na tunao washutumu kwa utekaji, mateso, vifo na dhuluma dhidi ya haki na utu?Ulikuwa Mwenyekiti kwa zaidi ya miaka 20.

Siwezi kuandika hapa majina ya watu waliopoteza maisha kwa sababu waliamini kuwa uongozi wetu ulikuwa na dhamira ya kweli. Tumewazika karibu kila mkoa wa nchi hii, tumewasaidia majeruhi. Tumewaokoa wachache gerezani.

Na wengi wao walipigania jina lako. Waliamini katika mfumo uliouongoza. Leo hii, je tuseme nini kwa familia zao? Wakati wao bado wanalipa gharama ya mapambano . Wakati huo huo, hujawahi hata siku moja kusema au kuandika hadharani kuhusu mateso haya yanayoendelea kwa CHADEMA na viongozi wake haswa kesi mbaya inayo mkabili Mkti wetu Tundu Lissu.“

Kama sauti ya damu ya Abeli ililia kutoka ardhini, ndivyo sauti ya mashujaa wa haki inavyolia kila siku ikitafuta si kisasi, bali uaminifu wa dhamira.” Mwanzo 4:10Kama tuliweza kuamka kwa ajili yako, ulipokuwa kiongozi wa Chama chetu , kwa nini sasa usiweze kusimama kwa ajili ya haki, maana hata kama unapumzika siasa lakini binadamu mwema hawezi kupumzisha dhamira yake juu ya haki na utu.

Unafikiri ni sahihi kukosekana kwa andiko au sauti na uwepo wako mahakamani toka Lissu amekamatwa na kwa ajili ya wengine wengi ambao sasa wako katika hatari kubwa ? Chama ambacho wewe ni Mjumbe wa Kamati Kuu hakiruhusiwi kufanya mikutano ya hadhara. Vijana wake wanapigwa. Mwenyekiti wake yuko jela na viongozi wake wanateswa.

Na bado, hakuna neno kutoka kwako. Hakuna kilio na bado unaweza kushiriki hafla za Serikali bila aibu. Nini kiko nyuma?“Dhamira safi huwa haipumziki katika meza ya heshima, ikiwa vunjiko la haki linapiga kelele mlangoni.”

- Nelson MandelaKwa heshima na unyenyekevu wa historia, tunakuomba, usijitenganishe na damu ya mashujaa waliokuamini. Usikubali jina lako kuwa ukuta wa kusahau damu ya wale waliochinjwa kwa jina la mabadiliko. Usikubali kusimama upande wa utulivu bandia unaozima sauti ya walalia haki.Huu si mwaliko wa ugomvi.

Hii ni sauti ya dhamira. Kilio cha kizazi kilichoumizwa, lakini bado kinabeba matumaini kwamba kuna waliotumwa kusimama kwenye ufa wa taifa.“Haki haipotei, hata ikizikwa kwenye vumbi la kisiasa huibuka tena kwa sauti ya waliojeruhiwa.”

Na hata kama haukumbuki vilio vya waliopotea, kumbuka hili ,mahali ambapo Tundu Lissu anateseka leo Mahakama Kuu ya Tanzania si mbali sana kama Dodoma ulipokuwa ukishiriki kwenye mkutano wa Serikali. Ni safari ya dhamira tu inayotenganisha hatua zako na hatua ya hakika.Godbless Lema, 17 Julai 2025
Haisaidii chochote. Tuliwaambia sana sana. Ufipa ni saccoss hamkusikia. Mlishupaza shingo. Tuliwaambia nyie CHADEMA mnatumika kwaajili ya kuharibu hii nchi. Hamkuelewa. Mbowe kaelewa. Mwacheni aende kwenye mlengo wa kulisaidia taifa. Lissu watoto wake wako Marekani wanasoma shule nzuri, wanakula nzuri. Mbowe watoto wake wako hapa hapa. Lema huyu huyu mnafiki watoto wake wako Canada 🇨🇦 na mke wake. So nyie mpo kwaajili ya maslahi ya wazungu ili mkinukishe mlete maafa kwa taifa. Nyie mnanufaika na hela za mzungu. Watanzania masikini wafe nyie mnenepe. Mbowe kafikiria kaona Ana watoto na familia ya kulisha. Kachagua chaguo sahihi. Mwacheni atumikie taifa. Hayo maneno ya laana. Na yakawe juu yenu
 
Huu ni waraka wa Godbless Lema au wa Askofu Mwamakula...?

Anyway, whatever.

Muhimu ni ujumbe ambao, kusema kweli ni very strong...

Haiyumkiniki huyu Freeman Mbowe anaweza kuishia pabaya sana in just a minute of a near future...

Ni dhahiri shahiri kuwa, kumbe, wakati ule yeye akiwa incharge wa chama hiki (CHADEMA), alikuwa akiwatumia tu wenzake kama ngazi ya kujipatia manufaa ya kifedha...

Moyo na nafsi ya mwanadamu huficha mengi sana. Mungu muumba pekee ndiye ajuaye moyo wa mwanadamu. Lakini huyu Mungu Yehova hufika nyakati akaachilia ishara za wazi kuwatambua wabaya wako ili kuweza kuchukua maamuzi sahihi before it's too late...

Huyu bwana (Freeman Mbowe) alikuwa muuaji wa ndani kwa ndani lakini ilikuwa ngumu sana kumjua. Lakini sasa ishara ziko wazi mno kumwelewa ni mtu wa namna gani...

Upo wakati unakuja na umekwisha kufika wa mambo ya mtu huyu na walioshirikiana naye iwe waliokuwa ndani ya chama au nje ya chama kuwa wazi na karma kuwalipa sawa sawa na matendo yao...

Mfano:

√ Tulimtetea sana Freeman Mbowe alipotuhumiwa kuhusika na kifo cha Chacha Wangwe miaka kadhaa iliyopita. Kumbe ni kwa kuwa tulikuwa hatimjui mtu huyu...

√ Tulimtetea sana pale alipotuhumiwa kuhusika na jaribio la kuuwawa kwa Tundu Lissu 2017. Lakini ni kwa sbb tu tulikuwa hatumjui mtu huyu...

√ Zipo tuhuma za kuhusika kwake kupotea na pengine kuuwawa kwa Ben Sanane msaidizi wake wa karibu. Tulimtetea sana, lakini pengine hatujui mengi kumhusu huyu mzee..

√ Zipo tuhuma za kuhusika kwake na kifo cha Mzee Ally Kibao. Tulimtetea, lakini kumbe tuliingizwa ktk mtego wa kuutetea muhusika mkuu wa mauaji hayo...

√ Zipo tuhuma za kuhusika kwake na kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu, akishirikiana na CCM na genge la kiharamia linaloteka na kuua chini ya ufadhili wa serikali na Rais Samia...

#Lakini tuseme wazi kuwa, Mungu wa HAKI hatamwacha mwenye HAKI wake apotee bali wadhalimu wote watafedheheshwa, kudharauliwa na kuabishwa na wataachwa uchi si muda mrefu..

Zaburi 71:1-7, 10-13, 19-21, 24 SUV
".....Nimekukimbilia Wewe, BWANA, Nisiaibike milele. Kwa haki yako uniponye, uniopoe, Unitegee sikio lako, uniokoe. Uwe kwangu mwamba wa makazi yangu, Nitakakokwenda sikuzote. Umeamuru niokolewe, Ndiwe genge langu na ngome yangu. Ee Mungu wangu, uniopoe mkononi mwa mkorofi, Katika mkono wake mwovu, mdhalimu, Maana ndiwe taraja langu, Ee Bwana MUNGU, Tumaini langu tokea ujana wangu. Nimekutegemea Wewe tangu kuzaliwa, Ndiwe uliyenitoa tumboni mwa mama yangu, Ninakusifu Wewe daima. Nimekuwa kitu cha ajabu kwa watu wengi, Na Wewe ndiwe kimbilio langu la nguvu.
Kwa maana adui zangu wananiamba, Nao wanaoniotea roho yangu hushauriana. Wakisema, Mungu amemwacha, Mfuatieni, mkamateni, hakuna wa kumponya. Ee Mungu, usiwe mbali nami; Ee Mungu wangu, fanya haraka kunisaidia. Waaibishwe, watoweshwe, adui za nafsi yangu. Wavikwe laumu na aibu wanaonitakia mabaya. Na haki yako, Ee Mungu, Imefika juu sana. Wewe uliyefanya mambo makuu; Ee Mungu, ni nani aliye kama Wewe? Wewe, uliyetuonyesha mateso mengi, mabaya, Utatuhuisha tena. Utatupandisha juu tena Tokea pande za chini ya nchi. Laiti ungeniongezea ukuu! Urejee tena na kunifariji moyo.
Ulimi wangu nao utasimulia Haki yako mchana kutwa. Kwa maana wameaibishwa, Wametahayarika, wanaonitakia mabaya......"

Amen🙏🙏🙏
 
WARAKA WA GODBLESS LEMA KWA MBOWE!Mhe. Godbless Lema amemuandikia waraka Mhe. Freeman Mbowe. Kwa kuwa waraka huo umebeba maudhui yenye maslahi mapana, sisi tunauweka hapa kusudi kupanua wigo wa fikra.Je, nini kimekushangaza?

Je, nini maoni yako?Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula Itunge, Dar es Salaam; 17 Julai 2025; saa 2:50 usiku.Mhe. Freeman Aikaeli Mbowe!Kwa heshima, huzuni na uzito wa dhamira, nakuandikia barua hii si kwa hasira, bali kwa mwangwi wa historia inayolilia uaminifu.

Sisi tulisimama nyuma yako kwa gharama kubwa kipindi chote ambacho tulikuamini kuwa wewe ni kiongozi wa matumaini ya kizazi kilichojitoa kwa ajili ya Tanzania mpya wakati ulipokuwa Mwenyekiti wetu.Leo hii umetazamwa ukihudhuria mkutano wa Serikali kuhusu Dira ya Maendeleo ya Taifa, huku Mwenyekiti wetu,

Tundu Lissu, akiwa gerezani akikabiliwa na mashtaka ya uhaini na chama chetu hakiruhusiwi kufanya siasa na wanachama wetu wanapotea, wanateswa, wengine wameuawa na bado hujatokea hata mara moja mahakamani, wala kutoa neno la kukemea udhalimu huu unaoendelea mbele ya macho ya Watanzania.

Tulikuwa pamoja nawe wakati ulipokamatwa na kushtakiwa kwa ugaidi na changamoto mbalimbali nyingi katika uongozi wako. Tulilia. Tulipiga kelele. Tulivunjwa. Tukateswa. Lakini tuliendelea kusimama kwa ajili yako kwa sababu tuliamini ulikuwa kiongozi wa haki.

Leo, unajibu kwa ukimya. Ukimya usio na ujasiri. Ukimya unaogharimu damu nyingine isiyo na hatia.“Mungu hadhihakiwi; kwa maana apandacho mtu ndicho atakachovuna.”Wagalatia 6:7Kaka, imekuwa ikisemwa kwamba unayo hasira dhidi ya baadhi ya maneno yaliyotamkwa na wanachama wakati wa uchaguzi wa ndani wa chama. Lakini je, unaweza kweli kuwa na hasira dhidi ya maneno hayo ya kawaida kuliko kuwa na hasira dhidi ya waliokufunga kwa kukuita gaidi?

Je, unaweza kuwa na uchungu kwa wakosoaji wako wa ndani, lakini ukaishi kwa amani na wale ambao walikutesa na tunao washutumu kwa utekaji, mateso, vifo na dhuluma dhidi ya haki na utu?Ulikuwa Mwenyekiti kwa zaidi ya miaka 20.

Siwezi kuandika hapa majina ya watu waliopoteza maisha kwa sababu waliamini kuwa uongozi wetu ulikuwa na dhamira ya kweli. Tumewazika karibu kila mkoa wa nchi hii, tumewasaidia majeruhi. Tumewaokoa wachache gerezani.

Na wengi wao walipigania jina lako. Waliamini katika mfumo uliouongoza. Leo hii, je tuseme nini kwa familia zao? Wakati wao bado wanalipa gharama ya mapambano . Wakati huo huo, hujawahi hata siku moja kusema au kuandika hadharani kuhusu mateso haya yanayoendelea kwa CHADEMA na viongozi wake haswa kesi mbaya inayo mkabili Mkti wetu Tundu Lissu.“

Kama sauti ya damu ya Abeli ililia kutoka ardhini, ndivyo sauti ya mashujaa wa haki inavyolia kila siku ikitafuta si kisasi, bali uaminifu wa dhamira.” Mwanzo 4:10Kama tuliweza kuamka kwa ajili yako, ulipokuwa kiongozi wa Chama chetu , kwa nini sasa usiweze kusimama kwa ajili ya haki, maana hata kama unapumzika siasa lakini binadamu mwema hawezi kupumzisha dhamira yake juu ya haki na utu.

Unafikiri ni sahihi kukosekana kwa andiko au sauti na uwepo wako mahakamani toka Lissu amekamatwa na kwa ajili ya wengine wengi ambao sasa wako katika hatari kubwa ? Chama ambacho wewe ni Mjumbe wa Kamati Kuu hakiruhusiwi kufanya mikutano ya hadhara. Vijana wake wanapigwa. Mwenyekiti wake yuko jela na viongozi wake wanateswa.

Na bado, hakuna neno kutoka kwako. Hakuna kilio na bado unaweza kushiriki hafla za Serikali bila aibu. Nini kiko nyuma?“Dhamira safi huwa haipumziki katika meza ya heshima, ikiwa vunjiko la haki linapiga kelele mlangoni.”

- Nelson MandelaKwa heshima na unyenyekevu wa historia, tunakuomba, usijitenganishe na damu ya mashujaa waliokuamini. Usikubali jina lako kuwa ukuta wa kusahau damu ya wale waliochinjwa kwa jina la mabadiliko. Usikubali kusimama upande wa utulivu bandia unaozima sauti ya walalia haki.Huu si mwaliko wa ugomvi.

Hii ni sauti ya dhamira. Kilio cha kizazi kilichoumizwa, lakini bado kinabeba matumaini kwamba kuna waliotumwa kusimama kwenye ufa wa taifa.“Haki haipotei, hata ikizikwa kwenye vumbi la kisiasa huibuka tena kwa sauti ya waliojeruhiwa.”

Na hata kama haukumbuki vilio vya waliopotea, kumbuka hili ,mahali ambapo Tundu Lissu anateseka leo Mahakama Kuu ya Tanzania si mbali sana kama Dodoma ulipokuwa ukishiriki kwenye mkutano wa Serikali. Ni safari ya dhamira tu inayotenganisha hatua zako na hatua ya hakika.Godbless Lema, 17 Julai 2025

Kwenye siasa maneno ni kawaida, Maneno yalikuwa pande zote tu...kuzira chama kisa kashindwa uchaguzi sio sawa
Yuko sahihi .
Muacheni afanye shughuli zake.

Chama kina viongozi wengi wapambane kujenga chama.

Afanye kazi zake namuunga mkono.

Isitoshe aliondolewa kwa Aibu na Fedheha Muacheni apate muda wa kukaa na familia Yake.
 
Lisu is a character man kasema hataki huruma kana kwamba ana kosa.Huyu traitor amejimaliza mwenyewe kisiasa hata akihamia ccm ataongea mini hata watu wamwelewe? Ile legacy aliyojijengea akiwa mwenyekiti kwisha.
 
Huyu amezidisha dozi ya bangi, ht hivyo chadema hakuna mwenye akili amebaki, wenye akilu wote wameondoka, lile ni tukio la kitaifa, dira ni ya Taifa, msitake kulamisha kila mtanzania awe mpumbavu km nyie. Mbowe ni national figure amealikwa na mkuu wa nchi, yule ni mzalendo na mkomavu siyo km hao ndondocha. Mbowe anaweza ht akaondoka Chadema ni hiari yake kufanya anachokiamini, acheni siasa za kulialia na kulazimishana. Mbowe hakumtuma huyo mpumbavu kupayuka hovyo×2, hakumtuma kufanya uhaini, kila nafsi ipambane na makosa yake. Ht Mbowe alitukanwa na kudhalilishwa sn na huyo mpumbavu, hana adabu huyo mbwa wenu.
 
Back
Top Bottom