Troll JF
Platinum Member
- Feb 6, 2015
- 10,447
- 15,253
Baada ya kufanya aliyoyafanya na kukimbilia Nchini Kenya John Pambalu alikumbuka na Kurudi nyumbani akijua kuwa Vyombo vya Ulinzi na usalama vitakua vimesahau mara baada ya kuwasili nchini akitumia mpaka wa Namanga vyombo vya ulinzi na usalama kwa kutumia chanzo kilichopo ndani ya CHADEMA kiliambiwa kuwa Pambalu anatarajia kukinukisha Arusha.
Taarifa hizo zilikua na msaada mkubwa wa kumkamata mtu ayeisababishia harasa nchi kwa kuratibu kuchoma mali za watu na miundombinu.
Nikupongeze ndugu Godbless Lema kwa kufanya kazi ya kizalendo
Taarifa hizo zilikua na msaada mkubwa wa kumkamata mtu ayeisababishia harasa nchi kwa kuratibu kuchoma mali za watu na miundombinu.
Nikupongeze ndugu Godbless Lema kwa kufanya kazi ya kizalendo