Godbless Lema amlilia Freeman Mbowe kwa waraka mzito

Huu ni waraka wa Godbless Lema au wa Askofu Mwamakula...?

Anyway, whatever.

Muhimu ni ujumbe ambao, kusema kweli ni very strong...

Haiyumkiniki huyu Freeman Mbowe anaweza kuishia pabaya sana in just a minute of a near future...

Ni dhahiri shahiri kuwa, kumbe, wakati ule yeye akiwa incharge wa chama hiki (CHADEMA), alikuwa akiwatumia tu wenzake kama ngazi ya kujipatia manufaa ya kifedha...

Moyo na nafsi ya mwanadamu huficha mengi sana. Mungu muumba pekee ndiye ajuaye moyo wa mwanadamu. Lakini huyu Mungu Yehova hufika nyakati akaachilia ishara za wazi kuwatambua wabaya wako ili kuweza kuchukua maamuzi sahihi before it's too late...

Huyu bwana (Freeman Mbowe) alikuwa muuaji wa ndani kwa ndani lakini ilikuwa ngumu sana kumjua. Lakini sasa ishara ziko wazi mno kumwelewa ni mtu wa namna gani...

Upo wakati unakuja na umekwisha kufika wa mambo ya mtu huyu na walioshirikiana naye iwe waliokuwa ndani ya chama au nje ya chama kuwa wazi na karma kuwalipa sawa sawa na matendo yao...

Mfano:

√ Tulimtetea sana Freeman Mbowe alipotuhumiwa kuhusika na kifo cha Chacha Wangwe miaka kadhaa iliyopita. Kumbe ni kwa kuwa tulikuwa hatimjui mtu huyu...

√ Tulimtetea sana pale alipotuhumiwa kuhusika na jaribio la kuuwawa kwa Tundu Lissu 2017. Lakini ni kwa sbb tu tulikuwa hatumjui mtu huyu...

√ Zipo tuhuma za kuhusika kwake kupotea na pengine kuuwawa kwa Ben Sanane msaidizi wake wa karibu. Tulimtetea sana, lakini pengine hatujui mengi kumhusu huyu mzee..

√ Zipo tuhuma za kuhusika kwake na kifo cha Mzee Ally Kibao. Tulimtetea, lakini kumbe tuliingizwa ktk mtego wa kuutetea muhusika mkuu wa mauaji hayo...

√ Zipo tuhuma za kuhusika kwake na kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu, akishirikiana na CCM na genge la kiharamia linaloteka na kuua chini ya ufadhili wa serikali na Rais Samia...

#Lakini tuseme wazi kuwa, Mungu wa HAKI hatamwacha mwenye HAKI wake apotee bali wadhalimu wote watafedheheshwa, kudharauliwa na kuabishwa na wataachwa uchi si muda mrefu..

Zaburi 71:1-7, 10-13, 19-21, 24 SUV
".....Nimekukimbilia Wewe, BWANA, Nisiaibike milele. Kwa haki yako uniponye, uniopoe, Unitegee sikio lako, uniokoe. Uwe kwangu mwamba wa makazi yangu, Nitakakokwenda sikuzote. Umeamuru niokolewe, Ndiwe genge langu na ngome yangu. Ee Mungu wangu, uniopoe mkononi mwa mkorofi, Katika mkono wake mwovu, mdhalimu, Maana ndiwe taraja langu, Ee Bwana MUNGU, Tumaini langu tokea ujana wangu. Nimekutegemea Wewe tangu kuzaliwa, Ndiwe uliyenitoa tumboni mwa mama yangu, Ninakusifu Wewe daima. Nimekuwa kitu cha ajabu kwa watu wengi, Na Wewe ndiwe kimbilio langu la nguvu.
Kwa maana adui zangu wananiamba, Nao wanaoniotea roho yangu hushauriana. Wakisema, Mungu amemwacha, Mfuatieni, mkamateni, hakuna wa kumponya. Ee Mungu, usiwe mbali nami; Ee Mungu wangu, fanya haraka kunisaidia. Waaibishwe, watoweshwe, adui za nafsi yangu. Wavikwe laumu na aibu wanaonitakia mabaya. Na haki yako, Ee Mungu, Imefika juu sana. Wewe uliyefanya mambo makuu; Ee Mungu, ni nani aliye kama Wewe? Wewe, uliyetuonyesha mateso mengi, mabaya, Utatuhuisha tena. Utatupandisha juu tena Tokea pande za chini ya nchi. Laiti ungeniongezea ukuu! Urejee tena na kunifariji moyo.
Ulimi wangu nao utasimulia Haki yako mchana kutwa. Kwa maana wameaibishwa, Wametahayarika, wanaonitakia mabaya......"

Amen🙏🙏🙏
Acha kuandika upumbavu mtandaoni mkuu
 
WARAKA WA GODBLESS LEMA KWA MBOWE!Mhe. Godbless Lema amemuandikia waraka Mhe. Freeman Mbowe. Kwa kuwa waraka huo umebeba maudhui yenye maslahi mapana, sisi tunauweka hapa kusudi kupanua wigo wa fikra.Je, nini kimekushangaza?

Je, nini maoni yako?Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula Itunge, Dar es Salaam; 17 Julai 2025; saa 2:50 usiku.Mhe. Freeman Aikaeli Mbowe!Kwa heshima, huzuni na uzito wa dhamira, nakuandikia barua hii si kwa hasira, bali kwa mwangwi wa historia inayolilia uaminifu.

Sisi tulisimama nyuma yako kwa gharama kubwa kipindi chote ambacho tulikuamini kuwa wewe ni kiongozi wa matumaini ya kizazi kilichojitoa kwa ajili ya Tanzania mpya wakati ulipokuwa Mwenyekiti wetu.Leo hii umetazamwa ukihudhuria mkutano wa Serikali kuhusu Dira ya Maendeleo ya Taifa, huku Mwenyekiti wetu,

Tundu Lissu, akiwa gerezani akikabiliwa na mashtaka ya uhaini na chama chetu hakiruhusiwi kufanya siasa na wanachama wetu wanapotea, wanateswa, wengine wameuawa na bado hujatokea hata mara moja mahakamani, wala kutoa neno la kukemea udhalimu huu unaoendelea mbele ya macho ya Watanzania.

Tulikuwa pamoja nawe wakati ulipokamatwa na kushtakiwa kwa ugaidi na changamoto mbalimbali nyingi katika uongozi wako. Tulilia. Tulipiga kelele. Tulivunjwa. Tukateswa. Lakini tuliendelea kusimama kwa ajili yako kwa sababu tuliamini ulikuwa kiongozi wa haki.

Leo, unajibu kwa ukimya. Ukimya usio na ujasiri. Ukimya unaogharimu damu nyingine isiyo na hatia.“Mungu hadhihakiwi; kwa maana apandacho mtu ndicho atakachovuna.”Wagalatia 6:7Kaka, imekuwa ikisemwa kwamba unayo hasira dhidi ya baadhi ya maneno yaliyotamkwa na wanachama wakati wa uchaguzi wa ndani wa chama. Lakini je, unaweza kweli kuwa na hasira dhidi ya maneno hayo ya kawaida kuliko kuwa na hasira dhidi ya waliokufunga kwa kukuita gaidi?

Je, unaweza kuwa na uchungu kwa wakosoaji wako wa ndani, lakini ukaishi kwa amani na wale ambao walikutesa na tunao washutumu kwa utekaji, mateso, vifo na dhuluma dhidi ya haki na utu?Ulikuwa Mwenyekiti kwa zaidi ya miaka 20.

Siwezi kuandika hapa majina ya watu waliopoteza maisha kwa sababu waliamini kuwa uongozi wetu ulikuwa na dhamira ya kweli. Tumewazika karibu kila mkoa wa nchi hii, tumewasaidia majeruhi. Tumewaokoa wachache gerezani.

Na wengi wao walipigania jina lako. Waliamini katika mfumo uliouongoza. Leo hii, je tuseme nini kwa familia zao? Wakati wao bado wanalipa gharama ya mapambano . Wakati huo huo, hujawahi hata siku moja kusema au kuandika hadharani kuhusu mateso haya yanayoendelea kwa CHADEMA na viongozi wake haswa kesi mbaya inayo mkabili Mkti wetu Tundu Lissu.“

Kama sauti ya damu ya Abeli ililia kutoka ardhini, ndivyo sauti ya mashujaa wa haki inavyolia kila siku ikitafuta si kisasi, bali uaminifu wa dhamira.” Mwanzo 4:10Kama tuliweza kuamka kwa ajili yako, ulipokuwa kiongozi wa Chama chetu , kwa nini sasa usiweze kusimama kwa ajili ya haki, maana hata kama unapumzika siasa lakini binadamu mwema hawezi kupumzisha dhamira yake juu ya haki na utu.

Unafikiri ni sahihi kukosekana kwa andiko au sauti na uwepo wako mahakamani toka Lissu amekamatwa na kwa ajili ya wengine wengi ambao sasa wako katika hatari kubwa ? Chama ambacho wewe ni Mjumbe wa Kamati Kuu hakiruhusiwi kufanya mikutano ya hadhara. Vijana wake wanapigwa. Mwenyekiti wake yuko jela na viongozi wake wanateswa.

Na bado, hakuna neno kutoka kwako. Hakuna kilio na bado unaweza kushiriki hafla za Serikali bila aibu. Nini kiko nyuma?“Dhamira safi huwa haipumziki katika meza ya heshima, ikiwa vunjiko la haki linapiga kelele mlangoni.”

- Nelson MandelaKwa heshima na unyenyekevu wa historia, tunakuomba, usijitenganishe na damu ya mashujaa waliokuamini. Usikubali jina lako kuwa ukuta wa kusahau damu ya wale waliochinjwa kwa jina la mabadiliko. Usikubali kusimama upande wa utulivu bandia unaozima sauti ya walalia haki.Huu si mwaliko wa ugomvi.

Hii ni sauti ya dhamira. Kilio cha kizazi kilichoumizwa, lakini bado kinabeba matumaini kwamba kuna waliotumwa kusimama kwenye ufa wa taifa.“Haki haipotei, hata ikizikwa kwenye vumbi la kisiasa huibuka tena kwa sauti ya waliojeruhiwa.”

Na hata kama haukumbuki vilio vya waliopotea, kumbuka hili ,mahali ambapo Tundu Lissu anateseka leo Mahakama Kuu ya Tanzania si mbali sana kama Dodoma ulipokuwa ukishiriki kwenye mkutano wa Serikali. Ni safari ya dhamira tu inayotenganisha hatua zako na hatua ya hakika.Godbless Lema, 17 Julai 2025

GwEiNRxXEAA39j_.jpeg
 
Ujumbe huu wa Lema kwa Mbowe naona Mbowe kuna kitu anacho lakini hataki kusema kwasasa,, muda ukifika atakisema..lakin pia Mbowe anawaonesha wenzake kuwa yupo kinyume nao juu ya maamuzi yao na magumu wanayopitia...Pia Mbowe anawaonesha wenzake siasa sio uadui haijarishi mtu kakutendea namna gani likija swala la kitaifa inabidi tuache siasa taifa kwanza...Lakini pia Mbowe anaonesha utiifu kwa serikali yake jambo ambalo hata mimi binafsi nampongeza..yapo mambo mengi kadha wa kadha siwezi kumalizia...Kwa kuhitimisha tu tusubili demokrasia aliyoinesha Mbowe wakati anagombea nafasi ya uenyekiti kwa awamu nyingine.
 
WARAKA WA GODBLESS LEMA KWA MBOWE!Mhe. Godbless Lema amemuandikia waraka Mhe. Freeman Mbowe. Kwa kuwa waraka huo umebeba maudhui yenye maslahi mapana, sisi tunauweka hapa kusudi kupanua wigo wa fikra.Je, nini kimekushangaza?

Je, nini maoni yako?Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula Itunge, Dar es Salaam; 17 Julai 2025; saa 2:50 usiku.Mhe. Freeman Aikaeli Mbowe!Kwa heshima, huzuni na uzito wa dhamira, nakuandikia barua hii si kwa hasira, bali kwa mwangwi wa historia inayolilia uaminifu.

Sisi tulisimama nyuma yako kwa gharama kubwa kipindi chote ambacho tulikuamini kuwa wewe ni kiongozi wa matumaini ya kizazi kilichojitoa kwa ajili ya Tanzania mpya wakati ulipokuwa Mwenyekiti wetu.Leo hii umetazamwa ukihudhuria mkutano wa Serikali kuhusu Dira ya Maendeleo ya Taifa, huku Mwenyekiti wetu,

Tundu Lissu, akiwa gerezani akikabiliwa na mashtaka ya uhaini na chama chetu hakiruhusiwi kufanya siasa na wanachama wetu wanapotea, wanateswa, wengine wameuawa na bado hujatokea hata mara moja mahakamani, wala kutoa neno la kukemea udhalimu huu unaoendelea mbele ya macho ya Watanzania.

Tulikuwa pamoja nawe wakati ulipokamatwa na kushtakiwa kwa ugaidi na changamoto mbalimbali nyingi katika uongozi wako. Tulilia. Tulipiga kelele. Tulivunjwa. Tukateswa. Lakini tuliendelea kusimama kwa ajili yako kwa sababu tuliamini ulikuwa kiongozi wa haki.

Leo, unajibu kwa ukimya. Ukimya usio na ujasiri. Ukimya unaogharimu damu nyingine isiyo na hatia.“Mungu hadhihakiwi; kwa maana apandacho mtu ndicho atakachovuna.”Wagalatia 6:7Kaka, imekuwa ikisemwa kwamba unayo hasira dhidi ya baadhi ya maneno yaliyotamkwa na wanachama wakati wa uchaguzi wa ndani wa chama. Lakini je, unaweza kweli kuwa na hasira dhidi ya maneno hayo ya kawaida kuliko kuwa na hasira dhidi ya waliokufunga kwa kukuita gaidi?

Je, unaweza kuwa na uchungu kwa wakosoaji wako wa ndani, lakini ukaishi kwa amani na wale ambao walikutesa na tunao washutumu kwa utekaji, mateso, vifo na dhuluma dhidi ya haki na utu?Ulikuwa Mwenyekiti kwa zaidi ya miaka 20.

Siwezi kuandika hapa majina ya watu waliopoteza maisha kwa sababu waliamini kuwa uongozi wetu ulikuwa na dhamira ya kweli. Tumewazika karibu kila mkoa wa nchi hii, tumewasaidia majeruhi. Tumewaokoa wachache gerezani.

Na wengi wao walipigania jina lako. Waliamini katika mfumo uliouongoza. Leo hii, je tuseme nini kwa familia zao? Wakati wao bado wanalipa gharama ya mapambano . Wakati huo huo, hujawahi hata siku moja kusema au kuandika hadharani kuhusu mateso haya yanayoendelea kwa CHADEMA na viongozi wake haswa kesi mbaya inayo mkabili Mkti wetu Tundu Lissu.“

Kama sauti ya damu ya Abeli ililia kutoka ardhini, ndivyo sauti ya mashujaa wa haki inavyolia kila siku ikitafuta si kisasi, bali uaminifu wa dhamira.” Mwanzo 4:10Kama tuliweza kuamka kwa ajili yako, ulipokuwa kiongozi wa Chama chetu , kwa nini sasa usiweze kusimama kwa ajili ya haki, maana hata kama unapumzika siasa lakini binadamu mwema hawezi kupumzisha dhamira yake juu ya haki na utu.

Unafikiri ni sahihi kukosekana kwa andiko au sauti na uwepo wako mahakamani toka Lissu amekamatwa na kwa ajili ya wengine wengi ambao sasa wako katika hatari kubwa ? Chama ambacho wewe ni Mjumbe wa Kamati Kuu hakiruhusiwi kufanya mikutano ya hadhara. Vijana wake wanapigwa. Mwenyekiti wake yuko jela na viongozi wake wanateswa.

Na bado, hakuna neno kutoka kwako. Hakuna kilio na bado unaweza kushiriki hafla za Serikali bila aibu. Nini kiko nyuma?“Dhamira safi huwa haipumziki katika meza ya heshima, ikiwa vunjiko la haki linapiga kelele mlangoni.”

- Nelson MandelaKwa heshima na unyenyekevu wa historia, tunakuomba, usijitenganishe na damu ya mashujaa waliokuamini. Usikubali jina lako kuwa ukuta wa kusahau damu ya wale waliochinjwa kwa jina la mabadiliko. Usikubali kusimama upande wa utulivu bandia unaozima sauti ya walalia haki.Huu si mwaliko wa ugomvi.

Hii ni sauti ya dhamira. Kilio cha kizazi kilichoumizwa, lakini bado kinabeba matumaini kwamba kuna waliotumwa kusimama kwenye ufa wa taifa.“Haki haipotei, hata ikizikwa kwenye vumbi la kisiasa huibuka tena kwa sauti ya waliojeruhiwa.”

Na hata kama haukumbuki vilio vya waliopotea, kumbuka hili ,mahali ambapo Tundu Lissu anateseka leo Mahakama Kuu ya Tanzania si mbali sana kama Dodoma ulipokuwa ukishiriki kwenye mkutano wa Serikali. Ni safari ya dhamira tu inayotenganisha hatua zako na hatua ya hakika.Godbless Lema, 17 Julai 2025
Sakata la CHADEMA wamedhihirisha nchi hii ina wapumbavu wengi mno hasa hao wanaojiita wanaharakati.

Huyu Lema mwizi wa magari akiyekubuhu leo hii anampa lecture ya uadilifu Mbowe!

Wamesahau walikuwa wanadai Mbowe ndiye anayewakwamisha kuing'oa CCM sasa anekaa pembeni badala ya kukiwasha wamebaki kumlilia. Endeleeni na harakati zenu za kuzuia uchaguzi kwani kuzuia uchaguzi mnahitaji kibali?

Gambo aliwahi kusema kuwa Lema alikuwa anamfuata kuomba amuunganishe aonane na Rais sasa leo anamlaumu Mbowe kualikwa hafla ya kitaifa.

Chama mmeachiwa, kana kimewashinda kirudisheni.

Lema ungekuwa mzalendo ungewaleta wanao hapa lakini umewaacha Canada halafu unajidai kuwapigania watoto wa watanzania.
 
WARAKA WA GODBLESS LEMA KWA MBOWE!Mhe. Godbless Lema amemuandikia waraka Mhe. Freeman Mbowe. Kwa kuwa waraka huo umebeba maudhui yenye maslahi mapana, sisi tunauweka hapa kusudi kupanua wigo wa fikra.Je, nini kimekushangaza?

Je, nini maoni yako?Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula Itunge, Dar es Salaam; 17 Julai 2025; saa 2:50 usiku.Mhe. Freeman Aikaeli Mbowe!Kwa heshima, huzuni na uzito wa dhamira, nakuandikia barua hii si kwa hasira, bali kwa mwangwi wa historia inayolilia uaminifu.

Sisi tulisimama nyuma yako kwa gharama kubwa kipindi chote ambacho tulikuamini kuwa wewe ni kiongozi wa matumaini ya kizazi kilichojitoa kwa ajili ya Tanzania mpya wakati ulipokuwa Mwenyekiti wetu.Leo hii umetazamwa ukihudhuria mkutano wa Serikali kuhusu Dira ya Maendeleo ya Taifa, huku Mwenyekiti wetu,

Tundu Lissu, akiwa gerezani akikabiliwa na mashtaka ya uhaini na chama chetu hakiruhusiwi kufanya siasa na wanachama wetu wanapotea, wanateswa, wengine wameuawa na bado hujatokea hata mara moja mahakamani, wala kutoa neno la kukemea udhalimu huu unaoendelea mbele ya macho ya Watanzania.

Tulikuwa pamoja nawe wakati ulipokamatwa na kushtakiwa kwa ugaidi na changamoto mbalimbali nyingi katika uongozi wako. Tulilia. Tulipiga kelele. Tulivunjwa. Tukateswa. Lakini tuliendelea kusimama kwa ajili yako kwa sababu tuliamini ulikuwa kiongozi wa haki.

Leo, unajibu kwa ukimya. Ukimya usio na ujasiri. Ukimya unaogharimu damu nyingine isiyo na hatia.“Mungu hadhihakiwi; kwa maana apandacho mtu ndicho atakachovuna.”Wagalatia 6:7Kaka, imekuwa ikisemwa kwamba unayo hasira dhidi ya baadhi ya maneno yaliyotamkwa na wanachama wakati wa uchaguzi wa ndani wa chama. Lakini je, unaweza kweli kuwa na hasira dhidi ya maneno hayo ya kawaida kuliko kuwa na hasira dhidi ya waliokufunga kwa kukuita gaidi?

Je, unaweza kuwa na uchungu kwa wakosoaji wako wa ndani, lakini ukaishi kwa amani na wale ambao walikutesa na tunao washutumu kwa utekaji, mateso, vifo na dhuluma dhidi ya haki na utu?Ulikuwa Mwenyekiti kwa zaidi ya miaka 20.

Siwezi kuandika hapa majina ya watu waliopoteza maisha kwa sababu waliamini kuwa uongozi wetu ulikuwa na dhamira ya kweli. Tumewazika karibu kila mkoa wa nchi hii, tumewasaidia majeruhi. Tumewaokoa wachache gerezani.

Na wengi wao walipigania jina lako. Waliamini katika mfumo uliouongoza. Leo hii, je tuseme nini kwa familia zao? Wakati wao bado wanalipa gharama ya mapambano . Wakati huo huo, hujawahi hata siku moja kusema au kuandika hadharani kuhusu mateso haya yanayoendelea kwa CHADEMA na viongozi wake haswa kesi mbaya inayo mkabili Mkti wetu Tundu Lissu.“

Kama sauti ya damu ya Abeli ililia kutoka ardhini, ndivyo sauti ya mashujaa wa haki inavyolia kila siku ikitafuta si kisasi, bali uaminifu wa dhamira.” Mwanzo 4:10Kama tuliweza kuamka kwa ajili yako, ulipokuwa kiongozi wa Chama chetu , kwa nini sasa usiweze kusimama kwa ajili ya haki, maana hata kama unapumzika siasa lakini binadamu mwema hawezi kupumzisha dhamira yake juu ya haki na utu.

Unafikiri ni sahihi kukosekana kwa andiko au sauti na uwepo wako mahakamani toka Lissu amekamatwa na kwa ajili ya wengine wengi ambao sasa wako katika hatari kubwa ? Chama ambacho wewe ni Mjumbe wa Kamati Kuu hakiruhusiwi kufanya mikutano ya hadhara. Vijana wake wanapigwa. Mwenyekiti wake yuko jela na viongozi wake wanateswa.

Na bado, hakuna neno kutoka kwako. Hakuna kilio na bado unaweza kushiriki hafla za Serikali bila aibu. Nini kiko nyuma?“Dhamira safi huwa haipumziki katika meza ya heshima, ikiwa vunjiko la haki linapiga kelele mlangoni.”

- Nelson MandelaKwa heshima na unyenyekevu wa historia, tunakuomba, usijitenganishe na damu ya mashujaa waliokuamini. Usikubali jina lako kuwa ukuta wa kusahau damu ya wale waliochinjwa kwa jina la mabadiliko. Usikubali kusimama upande wa utulivu bandia unaozima sauti ya walalia haki.Huu si mwaliko wa ugomvi.

Hii ni sauti ya dhamira. Kilio cha kizazi kilichoumizwa, lakini bado kinabeba matumaini kwamba kuna waliotumwa kusimama kwenye ufa wa taifa.“Haki haipotei, hata ikizikwa kwenye vumbi la kisiasa huibuka tena kwa sauti ya waliojeruhiwa.”

Na hata kama haukumbuki vilio vya waliopotea, kumbuka hili ,mahali ambapo Tundu Lissu anateseka leo Mahakama Kuu ya Tanzania si mbali sana kama Dodoma ulipokuwa ukishiriki kwenye mkutano wa Serikali. Ni safari ya dhamira tu inayotenganisha hatua zako na hatua ya hakika.Godbless Lema, 17 Julai 2025
Kama hadi huyu kakubali basi no hatari sana huyu FAM
Screenshot_20250717_222246_Chrome.jpg

NB: Mabadiliko ya kweli yatatoka kwa watanzania wenyewe kwa wingi wetu.

So far kwa sasa bado bado.
 
Leo ndio anatambua umuhimu wa Mbowe? Mtu ambae alihesabiwa kama sehemu ya jamii yake lakini aliangalia tu wakati Mbowe anatukanwa, anasingiziwa uongo, anafitinishwa na chama chake. Si huyu huyu ndie aliyetoa tamko kuwa Lissu hataki vikao vya gizani mara baada ya Mbowe kumtembelea Lissu gerezani? Leo hii anajifanya kumhitaji Mbowe. Huu ni inafik wa kupitiliza.

Amandla...
 
Dah! Watu Bhana! Leo Wanamlilia Mbowe Pamoja Na Yale Yote Waliyoyasema Kipindi Cha Uchaguzi? Yaan Kwa Zile Kashifa Ambazo Hamkuleta Ushahidi Bado Mulitarajia Aendelee Kuwa Na Nyinyi? Kosa Lake Lipi Kuunga Mkono Dira Ya Maendeleo Au Kukaa Kmya?
Chadema siyo CCM eti mwenyekiti hasemwi na kwamba yeye ni wa kusifiwa tuuu

Hapana
 
Walisema akae pembeni..ameishiwa sera...awapishe...amewapisha kwa amani bado leo mnamwandama(hakika binadamu hawana jema);pambaneni na hali zenu...kila zama na kitabu chake...Kama maji yamezidi unga mfuateni; muombe msamaha arudi awasidie kama mmeshindwa mapema hivi..Kinyume na hapo mwacheni Mbowe apumzike aendelee na maisha yake
 
WARAKA WA GODBLESS LEMA KWA MBOWE!Mhe. Godbless Lema amemuandikia waraka Mhe. Freeman Mbowe. Kwa kuwa waraka huo umebeba maudhui yenye maslahi mapana, sisi tunauweka hapa kusudi kupanua wigo wa fikra.Je, nini kimekushangaza?

Je, nini maoni yako?Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula Itunge, Dar es Salaam; 17 Julai 2025; saa 2:50 usiku.Mhe. Freeman Aikaeli Mbowe!Kwa heshima, huzuni na uzito wa dhamira, nakuandikia barua hii si kwa hasira, bali kwa mwangwi wa historia inayolilia uaminifu.

Sisi tulisimama nyuma yako kwa gharama kubwa kipindi chote ambacho tulikuamini kuwa wewe ni kiongozi wa matumaini ya kizazi kilichojitoa kwa ajili ya Tanzania mpya wakati ulipokuwa Mwenyekiti wetu.Leo hii umetazamwa ukihudhuria mkutano wa Serikali kuhusu Dira ya Maendeleo ya Taifa, huku Mwenyekiti wetu,

Tundu Lissu, akiwa gerezani akikabiliwa na mashtaka ya uhaini na chama chetu hakiruhusiwi kufanya siasa na wanachama wetu wanapotea, wanateswa, wengine wameuawa na bado hujatokea hata mara moja mahakamani, wala kutoa neno la kukemea udhalimu huu unaoendelea mbele ya macho ya Watanzania.

Tulikuwa pamoja nawe wakati ulipokamatwa na kushtakiwa kwa ugaidi na changamoto mbalimbali nyingi katika uongozi wako. Tulilia. Tulipiga kelele. Tulivunjwa. Tukateswa. Lakini tuliendelea kusimama kwa ajili yako kwa sababu tuliamini ulikuwa kiongozi wa haki.

Leo, unajibu kwa ukimya. Ukimya usio na ujasiri. Ukimya unaogharimu damu nyingine isiyo na hatia.“Mungu hadhihakiwi; kwa maana apandacho mtu ndicho atakachovuna.”Wagalatia 6:7Kaka, imekuwa ikisemwa kwamba unayo hasira dhidi ya baadhi ya maneno yaliyotamkwa na wanachama wakati wa uchaguzi wa ndani wa chama. Lakini je, unaweza kweli kuwa na hasira dhidi ya maneno hayo ya kawaida kuliko kuwa na hasira dhidi ya waliokufunga kwa kukuita gaidi?

Je, unaweza kuwa na uchungu kwa wakosoaji wako wa ndani, lakini ukaishi kwa amani na wale ambao walikutesa na tunao washutumu kwa utekaji, mateso, vifo na dhuluma dhidi ya haki na utu?Ulikuwa Mwenyekiti kwa zaidi ya miaka 20.

Siwezi kuandika hapa majina ya watu waliopoteza maisha kwa sababu waliamini kuwa uongozi wetu ulikuwa na dhamira ya kweli. Tumewazika karibu kila mkoa wa nchi hii, tumewasaidia majeruhi. Tumewaokoa wachache gerezani.

Na wengi wao walipigania jina lako. Waliamini katika mfumo uliouongoza. Leo hii, je tuseme nini kwa familia zao? Wakati wao bado wanalipa gharama ya mapambano . Wakati huo huo, hujawahi hata siku moja kusema au kuandika hadharani kuhusu mateso haya yanayoendelea kwa CHADEMA na viongozi wake haswa kesi mbaya inayo mkabili Mkti wetu Tundu Lissu.“

Kama sauti ya damu ya Abeli ililia kutoka ardhini, ndivyo sauti ya mashujaa wa haki inavyolia kila siku ikitafuta si kisasi, bali uaminifu wa dhamira.” Mwanzo 4:10Kama tuliweza kuamka kwa ajili yako, ulipokuwa kiongozi wa Chama chetu , kwa nini sasa usiweze kusimama kwa ajili ya haki, maana hata kama unapumzika siasa lakini binadamu mwema hawezi kupumzisha dhamira yake juu ya haki na utu.

Unafikiri ni sahihi kukosekana kwa andiko au sauti na uwepo wako mahakamani toka Lissu amekamatwa na kwa ajili ya wengine wengi ambao sasa wako katika hatari kubwa ? Chama ambacho wewe ni Mjumbe wa Kamati Kuu hakiruhusiwi kufanya mikutano ya hadhara. Vijana wake wanapigwa. Mwenyekiti wake yuko jela na viongozi wake wanateswa.

Na bado, hakuna neno kutoka kwako. Hakuna kilio na bado unaweza kushiriki hafla za Serikali bila aibu. Nini kiko nyuma?“Dhamira safi huwa haipumziki katika meza ya heshima, ikiwa vunjiko la haki linapiga kelele mlangoni.”

- Nelson MandelaKwa heshima na unyenyekevu wa historia, tunakuomba, usijitenganishe na damu ya mashujaa waliokuamini. Usikubali jina lako kuwa ukuta wa kusahau damu ya wale waliochinjwa kwa jina la mabadiliko. Usikubali kusimama upande wa utulivu bandia unaozima sauti ya walalia haki.Huu si mwaliko wa ugomvi.

Hii ni sauti ya dhamira. Kilio cha kizazi kilichoumizwa, lakini bado kinabeba matumaini kwamba kuna waliotumwa kusimama kwenye ufa wa taifa.“Haki haipotei, hata ikizikwa kwenye vumbi la kisiasa huibuka tena kwa sauti ya waliojeruhiwa.”

Na hata kama haukumbuki vilio vya waliopotea, kumbuka hili ,mahali ambapo Tundu Lissu anateseka leo Mahakama Kuu ya Tanzania si mbali sana kama Dodoma ulipokuwa ukishiriki kwenye mkutano wa Serikali. Ni safari ya dhamira tu inayotenganisha hatua zako na hatua ya hakika.Godbless Lema, 17 Julai 2025
Sasa naamini kabisa walio kuwa wakisema DJ mbowe ni tapeli la siasa ,hili kweli ni tapeli, mbowe ana roho ngumu si haba kuna upande kanyonyea upareni.
 
Dah! Watu Bhana! Leo Wanamlilia Mbowe Pamoja Na Yale Yote Waliyoyasema Kipindi Cha Uchaguzi? Yaan Kwa Zile Kashifa Ambazo Hamkuleta Ushahidi Bado Mulitarajia Aendelee Kuwa Na Nyinyi? Kosa Lake Lipi Kuunga Mkono Dira Ya Maendeleo Au Kukaa Kmya?
Unacho takiwa kuelewa wewe kiazi ni kwamba mbowe haliliwi bali anathibitishiwa ubinafsi wake na unafiki wake na roho yake mbaya aliyo nayo full stop, hakuna wa kumlilia mbowe kwa kipi wakati kumbe alikuwa tapeli na wakala wa CCM huku wengine wakiuawa kwa qjili yake
 
Kwenye siasa maneno ni kawaida, Maneno yalikuwa pande zote tu...kuzira chama kisa kashindwa uchaguzi sio sawa
Hapana. Hawa ni watu Mbowe aliowapigania. Mbowe alikaa rumande na akafungwa jela pamoja na Heche katika kupigania maslahi ya chama. Heche aliposhindwa uchaguzi wa Uenyekiti wa Kanda Mbowe akamteua kuwa mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama. Mbowe alimpigania Lissu apelekwe nje ya nchi badala ya hospitali za ndani ya nchi. Lema alichukuliwa kama sehemu ya family ya Mbowe. Lakini wote hawa wakamchimba, wakaangalia bila kukemea wakati anazushiwa uongo na wafuasi wao. Hawa hawa walibeza mchango na umuhimu wa Mbowe hadharani. Hawa hawa ndio walichochea tuhuma za kuwa Mbowe amelamba asali na yuko mfukoni mwa Abdul. Hapana, usaliti waliomfanyia Mbowe hautasamehewa kirahisi. Hata kama Mbowe anaongea na Samia kumtetea Lissu hatawaambia maana wameisha dhihirisha unafik wao. Machozi ya mamba ya Lema hayatasaidia kitu. Badala ya kutafuta sympathy ya umma, wamfuate wakaongee nae na kumuomba msamaha kwa yote waliyomtendea. Kama hawaoni kama walimkosea, wamuache aendelee na maisha yake. Au wamfukuze tu kwenye chama.

Amandla...
 
Acha kuandika upumbavu mtandaoni mkuu
Bila shaka wewe ndiye "upumbavu" wenyewe

Halafu kumbuka kuwa mimi ni "mkuu" wako maana umeni - address hivyo mwenyewe japo sijakutaka ufanye hivyo..

Kwa hiyo, niheshimu kama "mkuu" wako...!!
 
Chadema siyo CCM eti mwenyekiti hasemwi na kwamba yeye ni wa kusifiwa tuuu

Hapana
Hakuna mtu anayepinga kukosolewa. Kinachopingwa ni kuendesha kampeni iliyojaa uongo, fitna na uzandik. Kampeni kama hizo zikifanywa dhidi ya chama pinzani inaeleweka lakini sio kwa mwanachama mwenzenu mliyeshuhudia alivyopitia magumu kwa ajili ya chama chenu. Mambo kama hayo yakifanywa na Samia inaeleweka lakini sio Lissu na Lema. Acha akasirike. Na bila shaka mnazidi kumuudhi mnavyomchokonoa chokonoa. Hata akiamua kuhama hicho chama ni halali yake.

Amandla...
 
Hapana. Hawa ni watu Mbowe aliowapigania. Mbowe alikaa rumande na akafungwa jela pamoja na Heche katika kupigania maslahi ya chama. Heche aliposhindwa uchaguzi wa Uenyekiti wa Kanda Mbowe akamteua kuwa mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama. Mbowe alimpigania Lissu apelekwe nje ya nchi badala ya hospitali za ndani ya nchi. Lema alichukuliwa kama sehemu ya family ya Mbowe. Lakini wote hawa wakamchimba, wakaangalia bila kukemea wakati anazushiwa uongo na wafuasi wao. Hawa hawa walibeza mchango na umuhimu wa Mbowe hadharani. Hawa hawa ndio walichochea tuhuma za kuwa Mbowe amelamba asali na yuko mfukoni mwa Abdul. Hapana, usaliti waliomfanyia Mbowe hautasamehewa kirahisi. Hata kama Mbowe anaongea na Samia kumtetea Lissu hatawaambia maana wameisha dhihirisha unafik wao. Machozi ya mamba ya Lema hayatasaidia kitu. Badala ya kutafuta sympathy ya umma, wamfuate wakaongee nae na kumuomba msamaha kwa yote waliyomtendea. Kama hawaoni kama walimkosea, wamuache aendelee na maisha yake. Au wamfukuze tu kwenye chama.

Amandla...
Kumbe wewe Fundi Mchundo hujui kuwa, hata shetani aweza kukutendea wema kiasi fulani ili kukupumbaza lengo lake ikiwa kukusogeza uelekee mahala pa machinjioni, akuchinje kiulaini...

Bahati mbaya ni kuwa, hila zake zimegundulika, zimefahamika na ameeleweka. Mtego umeteguka, haujanasa kitoweo chake..

Zaburi 124:7-8 SUV
"....Nafsi yetu imeokoka kama ndege Katika mtego wa wawindaji, Mtego umevunjika, nasi tumeokoka. Msaada wetu u katika jina la BWANA, Aliyezifanya mbingu na nchi..."

Mwindaji ana ghadhabu kweli baada ya mtego wake kushindwa kunasa...

Baya dogo hufuta mazuri yote especially yaliyofanyika kwa hila na si kwa upendo wa dhati ya moyo...
 
Kwenye siasa maneno ni kawaida, Maneno yalikuwa pande zote tu...kuzira chama kisa kashindwa uchaguzi sio sawa

yale hayakuwa maneno, zilikua ni shutumu za kashfa nzito zikiambatana na matusi. Yeye naye ni binaadamu kinyogo ni lazima.
 
Back
Top Bottom