Godbless Lema amlilia Freeman Mbowe kwa waraka mzito

Naamini Mbowe ana nguvu bado na hata akifanya mkutano na waandishi wa habari akakemea hata namna kesi inavyoendeshwa nadhani italeta tofauti kidogo. Ila kibinadamu namna alivyoshughulikiwa na viongozi hao na wafuasi wengine walioamua kusimama na viongozi hawa walio madarakani sidhani kuandika waraka mzrefu kutoka kwake leo ukambadilishe Mbowe msimamo wake. Lugha zilikuwa ngumu sana na wakashawishiwa hadi wafuasi wengine kwenda kinyume nae.Walikosa Imani na utendaji wake Ila walikoseana kambi zote.Kama wangetibu majeraha kwanza au kukemea kejeli na kuwaunganisha wanachama nadhani hata Mwamba angeweza kupata nguvu ya kujitokeza. Pengine hakuwaza kushindwa na ni kama aibu kuja kupangiwa majukumu na vijana aliowapika na wakamkebehi wakati wa uchaguzi
Mkuuu.....
 
Mbowe alisema akishindwa uchaguzi ataenda kuendeleza biashara zake (kama sijakosea).
Alishindwa akakubali akaenda kwenye biashara zake.
Leo kaenda kuzindua dira kama mdau wa sekta binafsi (biashara zake zinahusika, hata siasa).
Wale waliosema astaafu wanataka aendelee kuwapambania (kuna shida mahali).
 
Unacho takiwa kuelewa wewe kiazi ni kwamba mbowe haliliwi bali anathibitishiwa ubinafsi wake na unafiki wake na roho yake mbaya aliyo nayo full stop, hakuna wa kumlilia mbowe kwa kipi wakati kumbe alikuwa tapeli na wakala wa CCM huku wengine wakiuawa kwa qjili yake
Ndio mkome 😁😁

Kwani Huwa hamjifunzi mbona Kuna movie na theory nyingi sana zinazo elezea Tabia za watu wenye Akili kama ya huyo Mzee DJ , Ukiangalia series kama ya Game of throne hauwezi kuwa mfuasi wa mwanasiasa kiholela holela kamwe
 
Dah! Watu Bhana! Leo Wanamlilia Mbowe Pamoja Na Yale Yote Waliyoyasema Kipindi Cha Uchaguzi? Yaan Kwa Zile Kashifa Ambazo Hamkuleta Ushahidi Bado Mulitarajia Aendelee Kuwa Na Nyinyi? Kosa Lake Lipi Kuunga Mkono Dira Ya Maendeleo Au Kukaa Kmya?
Lema anajiona ana akili sana na Lisu.Walisema wakimuondoa Mbowe Chama kitapiga hatua kubwa mno na wakamtukana sana sana,leo eti wanamhitaji na kutaka kumpangia pa kwenda.Shida ya watu wa mhemko ndio ndio hii.Siasa za uadui zitaumiza sana Chadema ya sasa.
 
Ameamua kujiweka wazi kabisa kua yeye yupo upande gani hata mkimpa maneno gani hakuna kitakachomuingia. Mpotezeeni tu
 
WARAKA WA GODBLESS LEMA KWA MBOWE!Mhe. Godbless Lema amemuandikia waraka Mhe. Freeman Mbowe. Kwa kuwa waraka huo umebeba maudhui yenye maslahi mapana, sisi tunauweka hapa kusudi kupanua wigo wa fikra.Je, nini kimekushangaza?

Je, nini maoni yako?Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula Itunge, Dar es Salaam; 17 Julai 2025; saa 2:50 usiku.Mhe. Freeman Aikaeli Mbowe!Kwa heshima, huzuni na uzito wa dhamira, nakuandikia barua hii si kwa hasira, bali kwa mwangwi wa historia inayolilia uaminifu.

Sisi tulisimama nyuma yako kwa gharama kubwa kipindi chote ambacho tulikuamini kuwa wewe ni kiongozi wa matumaini ya kizazi kilichojitoa kwa ajili ya Tanzania mpya wakati ulipokuwa Mwenyekiti wetu.Leo hii umetazamwa ukihudhuria mkutano wa Serikali kuhusu Dira ya Maendeleo ya Taifa, huku Mwenyekiti wetu,

Tundu Lissu, akiwa gerezani akikabiliwa na mashtaka ya uhaini na chama chetu hakiruhusiwi kufanya siasa na wanachama wetu wanapotea, wanateswa, wengine wameuawa na bado hujatokea hata mara moja mahakamani, wala kutoa neno la kukemea udhalimu huu unaoendelea mbele ya macho ya Watanzania.

Tulikuwa pamoja nawe wakati ulipokamatwa na kushtakiwa kwa ugaidi na changamoto mbalimbali nyingi katika uongozi wako. Tulilia. Tulipiga kelele. Tulivunjwa. Tukateswa. Lakini tuliendelea kusimama kwa ajili yako kwa sababu tuliamini ulikuwa kiongozi wa haki.

Leo, unajibu kwa ukimya. Ukimya usio na ujasiri. Ukimya unaogharimu damu nyingine isiyo na hatia.“Mungu hadhihakiwi; kwa maana apandacho mtu ndicho atakachovuna.”Wagalatia 6:7Kaka, imekuwa ikisemwa kwamba unayo hasira dhidi ya baadhi ya maneno yaliyotamkwa na wanachama wakati wa uchaguzi wa ndani wa chama. Lakini je, unaweza kweli kuwa na hasira dhidi ya maneno hayo ya kawaida kuliko kuwa na hasira dhidi ya waliokufunga kwa kukuita gaidi?

Je, unaweza kuwa na uchungu kwa wakosoaji wako wa ndani, lakini ukaishi kwa amani na wale ambao walikutesa na tunao washutumu kwa utekaji, mateso, vifo na dhuluma dhidi ya haki na utu?Ulikuwa Mwenyekiti kwa zaidi ya miaka 20.

Siwezi kuandika hapa majina ya watu waliopoteza maisha kwa sababu waliamini kuwa uongozi wetu ulikuwa na dhamira ya kweli. Tumewazika karibu kila mkoa wa nchi hii, tumewasaidia majeruhi. Tumewaokoa wachache gerezani.

Na wengi wao walipigania jina lako. Waliamini katika mfumo uliouongoza. Leo hii, je tuseme nini kwa familia zao? Wakati wao bado wanalipa gharama ya mapambano . Wakati huo huo, hujawahi hata siku moja kusema au kuandika hadharani kuhusu mateso haya yanayoendelea kwa CHADEMA na viongozi wake haswa kesi mbaya inayo mkabili Mkti wetu Tundu Lissu.“

Kama sauti ya damu ya Abeli ililia kutoka ardhini, ndivyo sauti ya mashujaa wa haki inavyolia kila siku ikitafuta si kisasi, bali uaminifu wa dhamira.” Mwanzo 4:10Kama tuliweza kuamka kwa ajili yako, ulipokuwa kiongozi wa Chama chetu , kwa nini sasa usiweze kusimama kwa ajili ya haki, maana hata kama unapumzika siasa lakini binadamu mwema hawezi kupumzisha dhamira yake juu ya haki na utu.

Unafikiri ni sahihi kukosekana kwa andiko au sauti na uwepo wako mahakamani toka Lissu amekamatwa na kwa ajili ya wengine wengi ambao sasa wako katika hatari kubwa ? Chama ambacho wewe ni Mjumbe wa Kamati Kuu hakiruhusiwi kufanya mikutano ya hadhara. Vijana wake wanapigwa. Mwenyekiti wake yuko jela na viongozi wake wanateswa.

Na bado, hakuna neno kutoka kwako. Hakuna kilio na bado unaweza kushiriki hafla za Serikali bila aibu. Nini kiko nyuma?“Dhamira safi huwa haipumziki katika meza ya heshima, ikiwa vunjiko la haki linapiga kelele mlangoni.”

- Nelson MandelaKwa heshima na unyenyekevu wa historia, tunakuomba, usijitenganishe na damu ya mashujaa waliokuamini. Usikubali jina lako kuwa ukuta wa kusahau damu ya wale waliochinjwa kwa jina la mabadiliko. Usikubali kusimama upande wa utulivu bandia unaozima sauti ya walalia haki.Huu si mwaliko wa ugomvi.

Hii ni sauti ya dhamira. Kilio cha kizazi kilichoumizwa, lakini bado kinabeba matumaini kwamba kuna waliotumwa kusimama kwenye ufa wa taifa.“Haki haipotei, hata ikizikwa kwenye vumbi la kisiasa huibuka tena kwa sauti ya waliojeruhiwa.”

Na hata kama haukumbuki vilio vya waliopotea, kumbuka hili ,mahali ambapo Tundu Lissu anateseka leo Mahakama Kuu ya Tanzania si mbali sana kama Dodoma ulipokuwa ukishiriki kwenye mkutano wa Serikali. Ni safari ya dhamira tu inayotenganisha hatua zako na hatua ya hakika.Godbless Lema, 17 Julai 2025
Lema umesahau hili: Zuio haramu la viongozi wa chadema kutoka nje ya nchi
 
Kichwa pumbu, umepoteza muda wako wote kuandika huu upupu..
Halafu unamsingizia Lema...
 
mbowe alibanwa mapumbu kisawasawa na akaona serikali haina mzaha kumpeleka shimoni kwenye biashara zake akaona ajisalimishe
 
Haisaidii chochote. Tuliwaambia sana sana. Ufipa ni saccoss hamkusikia. Mlishupaza shingo. Tuliwaambia nyie CHADEMA mnatumika kwaajili ya kuharibu hii nchi. Hamkuelewa. Mbowe kaelewa. Mwacheni aende kwenye mlengo wa kulisaidia taifa. Lissu watoto wake wako Marekani wanasoma shule nzuri, wanakula nzuri. Mbowe watoto wake wako hapa hapa. Lema huyu huyu mnafiki watoto wake wako Canada 🇨🇦 na mke wake. So nyie mpo kwaajili ya maslahi ya wazungu ili mkinukishe mlete maafa kwa taifa. Nyie mnanufaika na hela za mzungu. Watanzania masikini wafe nyie mnenepe. Mbowe kafikiria kaona Ana watoto na familia ya kulisha. Kachagua chaguo sahihi. Mwacheni atumikie taifa. Hayo maneno ya laana. Na yakawe juu yenu
Hii pumba uliyotema inaonyesha kiasi gani ulivo kiazi
 
Hakuna mtu anayepinga kukosolewa. Kinachopingwa ni kuendesha kampeni iliyojaa uongo, fitna na uzandik. Kampeni kama hizo zikifanywa dhidi ya chama pinzani inaeleweka lakini sio kwa mwanachama mwenzenu mliyeshuhudia alivyopitia magumu kwa ajili ya chama chenu. Mambo kama hayo yakifanywa na Samia inaeleweka lakini sio Lissu na Lema. Acha akasirike. Na bila shaka mnazidi kumuudhi mnavyomchokonoa chokonoa. Hata akiamua kuhama hicho chama ni halali yake.

Amandla...
Ahame tu heshima legacy yake ishavurugwa amekua tapeli
 
Mbowe anawapa wakina Lema darsa la bure la siasa. Unachagua vita yako hasa kama katika nafasi ya uonge.
Mbowe alipotoka rumande alikubali mualiko wa Samia akaenda moja kwa moja. Baada ya kikao chao wakapiga picha ya pamoja na kutoa tamko kuhusu umuhimu wa haki. Hakuonyesha kinyongo kwa uonevu aliofanyiwa.

Baada ya kikao yakaanza mazungumzo kuhusu maridhiano. Matokeo ya mazungumzo hayo wakina Lissu wakaweza kurudi nyumbani, wafuasi wa Chadema wakaachiwa na mikutano ya hadhara ikaruhusiwa. Yote haya yasingetokea kama Mbowe angekataa kuonana na Rais.

Lema hapa anamlaumu Mbowe kwa kuitikia mualiko wa Rais kwenda Dodoma. Alitaka awe mstari wa mbele kuikemea serikali na angekuwa mahakamani siku zote ambazo kesi ya Lissu inapo sikilizwa. Angependa angeshinda Maria Space akirushia madongo serikali kwa imani kuwa hiyo ndio namna pekee ya Lissu kutoka rumande.

Badala yake Mbowe ameenda Dodoma. Ameshikana mkono na Rais na Rais amempa heshima ambao wengine hawakupewa. Matokeo ya haya ni Lissu kuachiwa kwa sababu tu Samia anamheshimu Mbowe kwa sababu ingawa ni mpinzani ameendelea kumpa heshima yake.

Mbowe anajua hii ni term ya mwisho ya Samia na akicheza karata zake vizuri Samia ataridhia mabadiliko ya Katiba ili ajenge legacy yake.

Amandla...
Haha we ni james mbowe nn maana mlifurushwa kweli kweli kwa utapeli wenu wa upinzani feki muda unakimbiae mbowe sasa hivi anakuwa level za lyatonga Mrema, lipumba, cheyo😀😀
 
Too late

Nilipoona Mzee Ruksa kamtembelea Tundu Lisu Nairobi hospital na kisha kuonana na Rais Kenyata nikajua kapeleka angalizo 😁🙏🇹🇿
Mbowe aliamini yeye ndo chadema na chadema ni Mbowe, kitendo cha kumpiga chini kwenye uenyekiti huku watu wa karibu kama lema wakimsaliti na kuwa team lissu hakika kitendo hicho hawezi kuwasamehe. Walionesha unafiki wakati akipambana kumbe alikuwa hana wafuasi waaminifu kwake! Kuleni matunda ya usaliti achaneni nae atafute marafiki wapya.
 
Naamini Mbowe ana nguvu bado na hata akifanya mkutano na waandishi wa habari akakemea hata namna kesi inavyoendeshwa nadhani italeta tofauti kidogo. Ila kibinadamu namna alivyoshughulikiwa na viongozi hao na wafuasi wengine walioamua kusimama na viongozi hawa walio madarakani sidhani kuandika waraka mzrefu kutoka kwake leo ukambadilishe Mbowe msimamo wake. Lugha zilikuwa ngumu sana na wakashawishiwa hadi wafuasi wengine kwenda kinyume nae.Walikosa Imani na utendaji wake Ila walikoseana kambi zote.Kama wangetibu majeraha kwanza au kukemea kejeli na kuwaunganisha wanachama nadhani hata Mwamba angeweza kupata nguvu ya kujitokeza. Pengine hakuwaza kushindwa na ni kama aibu kuja kupangiwa majukumu na vijana aliowapika na wakamkebehi wakati wa uchaguzi
Kwa namna lissu alivyopiga kelele yeye alivyofungwa? Mwanaume Kuna wakati unafanya kitu chenye masilahi huku ukiwa na maumivu. Nikisimama na wewe kwenye shida natarajia kukuona ukisimama na Mimi nikipata shida.
 
Back
Top Bottom